Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
inauma sana na nakumbuka wakato wa mchakato wa kupata hii zabuni...walikuwepo south Africa Railways na Mozambique...SAL walikuwa wanaelekea ki win tender nikashangaa ghafla wamepigwa chini inasikitisha sana.....maana nahisi wenzetu SAR wako juu hata kwa technologia na wako serious kwenye uwekezaji....hawa nina mashaka naoo
Unajua ukiangalia hawa jamaa ni waendeshaji, manake sio wawekezaji au nimekosea kusoma kale kadondoo ka mkataba kao?? Inawezekana mimi ndio sikuelewa huu mkataba wao lakini umefananafanana na ule wa NetGroup pale Samora Avenue zamani (sasa Ubungo).
Ni kwamba sielewi elewi hii maneno Wakuu..............
inauma sana na nakumbuka wakato wa mchakato wa kupata hii zabuni...walikuwepo south Africa Railways na Mozambique...SAL walikuwa wanaelekea ki win tender nikashangaa ghafla wamepigwa chini inasikitisha sana.....maana nahisi wenzetu SAL wako juu hata kwa technologia na wako serious kwenye uwekezaji....hawa nina mashaka naoo
...true story...mara Ya Kwanza Rites ...walikuja Tanzania Miaka Kama 5 Iliyopita Kwa Mkataba Maalum Wa Kiufundi Uliofadhiliwa Na Bank Ya Dunia[100 Wagons Rehabilitation Project]...wakati Serikali Inatafuta Mbia Wa Kuendesha Na Kuwekeza Trc...nao Wakaamua Kuomba ...jambo Hili Lilifanya Makampuni Mengine Yajitoe Kwa Sababu Kimsingi Tayari Rites Walikuwa Na Mkataba Wa Kiufundi Na Serikali Trc..kwa Hiyo Ushiriki Wao Kwenye Tenda Uliwaogofya Washiriki Wengine Kuhisi Haki Haitatendeka Kwa Kuwa Rites Walikuwa Pia Washauri Wa Kiufundi Kwenye Kurugenzi Ya Trc Wakati Huo..ndio Maana Washiriki Wa Tenda Ile Woote Walijitoa Ikabakia Rites Peke Yao...
Kumbukeni Rites Kwa Kiasi Kikubwa Walisaidiwa Na Wahindi Wazawa ...andy Chande..na Subash Patel Kushinda Hii Tenda ..na Hadi Sasa Subash Patel Kupitia Kampuni Yake Ya Mm Grooup Ana Interest Kwenye Trl[through Rites]..chende Pia Ana Interest Lakini Sasa Sina Uhakika Sana Hasa Baada Ya Kampuni Yake Ya Gapco Ambayo Ilikuwa Pia Iwe Mbia Au Ni Mbia Wa Rites Kupata Matatizo Na Bank.........
Hao Wenyeji Wa Rites Subash ..mnajua Uhusiano Wake...na Chende Mnajua Uhusiano Wake Na Makampuni Ya Serikali Kama Njumbe Kwenye Bodi Nyingi...