Bubu,Huu ni usanii wa hali ya juu na udhaifu mkubwa wa kiutendaji. Mbona Lowassa alivunja mkataba na wale wasanii wa Dar City waliowekeza kwenye huduma za maji na walifungua mashtaka UK kutaka kulipwa fidia kwa kuvunja mkataba na Tanzania ilishinda kesi ile!? Kwanini leo Serikali iogope kuvunja huu mkataba na hawa matapele wa RITES ambao kuna ushahidi wa kutosha kwamba kazi ya kuendesha TRL imewashinda kabisa? Hii Serikali inasikitisha na kuudhi mno!
Huu ni usanii wa hali ya juu na udhaifu mkubwa wa kiutendaji. Mbona Lowassa alivunja mkataba na wale wasanii wa Dar City waliowekeza kwenye huduma za maji na walifungua mashtaka UK kutaka kulipwa fidia kwa kuvunja mkataba na Tanzania ilishinda kesi ile!? Kwanini leo Serikali iogope kuvunja huu mkataba na hawa matapele wa RITES ambao kuna ushahidi wa kutosha kwamba kazi ya kuendesha TRL imewashinda kabisa? Hii Serikali inasikitisha na kuudhi mno!
Indeed Lowasa is very good at thattrust me, huu mkataba....from day one ulikuwa "FYONGO" kwa upande wetu.......
........when it come to serious issues to takle na NIA IKO......Lowassa is very good at that..........
Tumelogwa na aliyetuloga keshakufa, there is no way tunaweza kuamka usingizini.Hapa kuna namna ya docs ya kuunganisha ili kupata picha halisi,. inahuzunisha kuwa TRL matatizo, ATC matatizo, TTCL Matatizo, sasa hivi sisi Watanzania tuna Nini??
Indeed Lowasa is very good at that
Eti matatizo ya kuvunja mikataba anayajua kipindi alipokuwa waziri wa maji....huu ni upuuzi.Hivi kweli huyu ni mbunge wa jimbo gani kweli? Naombeni kujua ili mashambulizi tuyahamishie jimboni kwake.
Marehemu kabla ya kufa huwezi jua uzuri wake mpaka wakati wa mazishi walisoma Risala yake ndio utajua uzuri wake.Leo ndo mnakumbuka EL teh teh teh
Huyu mbunge wa Bwagamoyo kama sijakosea.
Usomi wa mtu hausaidii lolote hapa ni wisdom and knowledge na falsafa ya kuelewa mambo ndio vinatumika. Hakuitaji Maths kwenye hili.Yaani bora hata ilivyokuwa TRC.Yaani hawa wawekezaji wana lao jambo.YAANI USOMI WA KAWAMBWA ndo analea ufyongo namna hii?hatari kweli kweli
Kawambwa siamini kama ndo wewe hebu jiweke katika viatu vya wananchi then upime hayo maneno uliyotamka hapo"Wananchi wawe wavumilivu kwa kuwa hali ya sasa ya TRL ni ya mpito ambayo itarekebishwa na kupatiwa ufumbuzi wa kudumu," alisema Bw. Kawambwa.
Kawambwa siamini kama ndo wewe hebu jiweke katika viatu vya wananchi then upime hayo maneno uliyotamka hapo
Leo ndo mnakumbuka EL teh teh teh
Huyu mbunge wa Bwagamoyo kama sijakosea.
hivi si ndio yeye alimrithi mkubwa wa nchi lile jimbo la Chalinze?
trust me, huu mkataba....from day one ulikuwa "FYONGO" kwa upande wetu.......
........when it come to serious issues to takle na NIA IKO......Lowassa is very good at that..........