Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,295
- 18,892
Watu wa Chalinze hawahitaji reli, na rais ni mtu wa Chalinze kwa hiyo hata tukipiga kelele namna gani, Kawambwa hajambo tu; kona zote zinazomzunguka ziko imara kumlinda.
Jambo la kushangaza ni kuwa Kawamba ni mtu mwenye akili sana. Alipokuwa mwalimu pale Engineering, alikuwa mtu anayetegemewa kwa mambo mengi hata yale yaliyo nje ya taaluma yake. Sasa hivi baada ya kuwa mwanasiasa, amefuata njia ile ile waliyopitia wengi waliomtangulia kutokea taasisi za elimu ya juu: Sarungi, Msola, Kapuya, Malima, Mbilinyi, na wengineo.