Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 81,320
- 94,246
Hakuna mkataba duniani japo mimi siyo mwanasheria ambao unaandaliwa bila kumjua aliyeuandaa vinginevyo ni ujinga na atakushinda mahakamani, kama kuna mtu atuonyeshe mikabata ya hivyo ya kimataifaMkuu Fuma, Fumadilu Kalimanzila , naomba kukiri udhaifu, ni kweli LL.B yangu haijanisaidia kwenye hili la kujua ile IGA imeandaliwa na nani, kwenye mikataba ya wenzetu ni lazima uone majina ya whoever alie draft.
maadam mwanzo nimekiri udhaifu, naomba kukiri udhaifu
Huku sasa ni kuwatukana Watanzania matusi ya reja reja!. Serikali yote ya Tanzania wanamwelewa, ina maana hawana akili timamu?.
Bunge letu Tukufu la JMT limemwelewa, limeunga mkono, limeridhia!, ina maana Bunge letu lote hawana akili timamu?.
Chama tawala CCM, kimemwelewa na kinamuunga mkono!, ina maana CCM hawana akili timamu?.
Wananchi wa kawaida wa JMT, mamia kwa ma elfu, and probably mamilioni, wanamwelewa!, ina maana hawana akili timamu?.
Duh...!
Naunga mkono hoja, let's wait and see!.
P