HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,316
- 103,577
Ata sjafka uko mm mwsho la 2Acha kujiaibisha, kuna uwezeno wewe ni la saba kweli
Ata sjafka uko mm mwsho la 2Acha kujiaibisha, kuna uwezeno wewe ni la saba kweli
We kaandamane kama una uchunguTaifa likiwa na watu wengi wa aina yako, maendeleo itakuwa ni ndoto. Tunahitaji watu webye akili, upeo na weledi angalao mara 4 yako, ndipo tuone mwanga wa kulipeleka Taifa kwenye maendeleo.
Wewe hata sikuelewi unachokiongea ni nini? Unaongelea "human rights" wapi huko? Mbeya au Paris?Huko human rights ni zakutafuta na tochi.
Basi fanyeni mnaloweza ndo ishaondoka hivyoNi ujinga wa kiwango cha juu kudhani anaepinga jambo anataka aletewe chakula mezani!! Nyie ndio walewale wa katiba mpya haiwez mletea ugali bibi kule kijijin!! Shubaamit
Ndiyo inaniletea chakula mezaniWe bandari imewahi kukuletea chakula mezani?
Wenye akili wanapigania rasilimali za taifa na wewe ukiwepo zisiuzwe na hao mabwana zako waliokuweka mjini wewe unaleta hoja dhaifu tena ya kijinga eti bandari haikujengei nyumba, kwa kuwa wewe unaishi nyumba ya shemeji yako ndio maana una mawazo mgando ya kujenga nyumba, acha ujinga tena nyie machawa ndio choka mbaya kinoma mmepigika kimaisha.Namtegemea mama yako
Afu kuwa na heshima na baba zako
Dubai mlikopata wachumbaWewe hata sikuelewi unachokiongea ni nini? Unaongelea "human rights" wapi huko? Mbeya au Paris?
Endelea pigania, wenye akili wanazitumbua kwa ukimya.Wenye akili wanapigania rasilimali za taifa na wewe ukiwepo zisiuzwe na hao mabwana zako waliokuweka mjini wewe unaleta hoja dhaifu ya tena ya kijinga ya kujenga nyumba kwa kuwa wewe unaishi nyumba ya shemeji ndio maana una mawazo mgando acha ujinga tena nyie machawa ndio choka mbaya kinoma mmepigika kimaisha.
Tunajua hamjawah kua na uzalendo na rasilimali za Tanzania! But kila jambo linamwisho wake!Basi fanyeni mnaloweza ndo ishaondoka hivyo
Uwahi wapi wewe si uko huko tayari ni kijakazi wao,endelea kuneng'eneka hapa mke wa boss akukute na kibarua kiote mbawa kabisa.Mihemko kawaida hiyo, nataka kuwahi eyapoti Emirates ya kutokea Dubai inaingia saa nane mchana.
Wageni wenye Dirham zao wasiwahiwe na wachaga huko.
Niwe na uzalendo kwamba uzalendo utaninufaisha na kipi?Tunajua hamjawah kua na uzalendo na rasilimali za Tanzania! But kila jambo linamwisho wake!
Sasa kila mtu akiwa na mawazo kama haya sijui itakuwajeTafuta maisha kwa ajili ya familia yako, bandari haitakujengea nyumba
Good! Ushaonyesha rangi yako, mjadala naufunga rasmi!!Niwe na uzalendo kwamba uzalendo utaninufaisha na kipi?
We kuwa mzalendo ila mi siwezi kywa mzalendo
Sawa, lenye mwanzo lina mwisho na siku za mwizi ni arobaini na kwa hili hamchomoki, mbwa nyie.Endelea pigania, wenye akili wanazitumbua kwa ukimya.
Wapiga kelele wote ni sababu hawafaidiki
Yaani Hilo jamaa jinga saanaSasa kila mtu akiwa na mawazo kama haya sijui itakuwaje
Pole sanaSawa, lenye mwanzo lina mwisho na siku za mwizi ni arobaini.
Naenda kuwapokea mabosi wewe.Uwahi wapi wewe si uko huko tayari ni kijakazi wao,endelea kuneng'eneka hapa mke wa boss akukute na kibarua kiote mbawa kabisa.
Huyu mtu ufahamu wake mdogo sanaNdo wewe uchambue bandari toka imekuwepo imekusaidia kukuletea chakula?
Badala mfanye kazi mnakaa bandari bandari bandari
Msiba huu yaani mtu hajui hata maana ya uzalendo!Niwe na uzalendo kwamba uzalendo utaninufaisha na kipi?
We kuwa mzalendo ila mi siwezi kywa mzalendo