SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 7,438
- 7,049
Bila ya mtiririko maalum...
Baada ya kifo cha Hayati yalitokea maharamia yaliyomjaza SSH uongo kwa hila tena kwa kumkosoa kwa ukali kuhusu watu waliomzunguka. Huko kulimpeleka awe anapanga na kupangua na hatimaye kujitenga au kutenganishwa na vigogo wengine kwenye chama chake. Na uhakika hili ndilo lililompeleka kutafuta bakuli la Uchaguzi kwa njia anayejua yeye au lah
Mimi nafananisha(kuh:Bakuli) na yale ya Benjamin Mkapa(R.I.P) na $100m
Matokeo yake ni Historia sasa. Kwa kifupi SSH ndiye aliyeburuzwa kufikia maamuzi aliyofikia kwa kutumia kofia zake, kwanza ya Chama. na Pili Amiri Jeshi Mkuu.
Haijalishi....
Ni dhahiri sasa wale waliotengwa ndio walikuwa wanamshauri vizuri na wala sio vinginevyo. Wamezira kwa kuwa hawakusikilizwa? au kwa sababu wameburuzwa? Unafanyaje?
Hatahivyo Mlifikiria SSH akimbilie wapi kama sio kwa nduguze? BAMS na wenzake?
nafikiri hata wale walio ndani ya CCM bado wanashangazwa na hili, na wale waliojenga Uhasama bandia(Kina BAMS) ...ila basi Mama anaupiga mwingi, kawazidi kete waliomlaghah (kina BAMS)wakati wao ndio waliotegemea wapewe ushawishi na nyeti zingine
... wamekosa!
Mmetukusesha Watanzania nanyi mmekosa.
Aliyeburuzwa kwenye hili suala ni SSH na sisemi hivyo kumtetea, kwani bado naona angeweza kugawa Rasilimali za CCM badala ya za Umma.