Mkataba wa Bandari, Wabunge wasema waliburuzwa

Wewe ni mjinga

Bandari haikuletei chakula mezani, wala kukulipia umeme au maji.

Fanya kazi
Au kaandamane
Kama ndivyo hakuna haja ya uwekezaji ibaki kama ilivyo tuendelee na maisha yetu ya kila siku kwa kuwa hakuna faida yoyote kwetu wananchi cha kushangaza mnalazimisha.
 
Mawazo ya maskini kabisa wa akili haya yaani hujui connection iliyopo kati ya bandari na mwananchi kitumbini huko hujui kabisa kama hata kama huyo maskini yupo huko kitumbini lakini anaguswa na sera mbovu za bandari hujui kabisa

Kweli watanzania wengi akili ni ndogo sana
Achana na huyo mlevi kasha bugia konyagi za kutosha mchana huu anaona dunia yote ni sawa
 
Hili limenishangaza, kunishtua na kukatisha tamaa kabisa.

Nilikuwa na mazungumzo na wabunge wawili, mmoja ni mwanasheria, tena mzuri sana kwenye mambo ya corporate, akiwa amesoma miongoni mwa vyuo vikubwa na bora kabisa Duniani. Na mwingine alikuwa Naibu Waziri, kwa sasa yupo nje ya Baraza.

Hoja kubwa ilikuwa mjadala wa bandari, majibu yao, mmoja alisema hivi:

"hivi bwana ..........., unaamini, mimi na akili yangu, naweza kuunga mkono mkataba kama ule? Watu wanasema tu huko nje, hawajui kilichopo huku ndani. Ukiwa huku, unakuwa ni kama mtumwa. Tumeitwa kwenye kikao cha chama, tena tukaambiwa ni maelekezo. Bungeni pale kuna wachache, tena wale watu wao waliowekwa sawa, ndio waliokuwa wanaongea. Nakuhakikishia, wote ambao hatukuongea, kila mmoja alikuwa hataki, lakini kwa salama yako, unaamua kukaa kimya. Hawa watu wamejipanga hasa, na kila siku wanaoonekana ni kisiki mahali popote, wanaondolewa".

Mwingine aliyewahi kuwa naibu waziri, akasema:

"Wengine tumeondolewa, kwa sababu ya kuhisiwa tu kuwa tunaweza tusiunge mkono kila kitu. Tukawekwa pembeni. Na hapa, kwa hawa watu, si ajabu sisi wengine mwaka 2025, tukaondolewa kabisa hata kwenye ubunge. Na wakiwa wenyewe kabisa, itakuwa mbaya zaidi, maana hatutajua kabisa wanayopanga, hata wanayofanya. Kwa hiyo kwa namna fulani, ni afadhali hata ubakie kinafikinafiki, angalao tufahamu wanachofanya. Shida pia, ni wananchi wetu. Sisi tunapozitoa taarifa hizi, kuvujisha siri, tunatarajia wananchi waamke, lakini wananchi nao inakuwa kimya. Sasa ukiwa kimbelembele, upo pekee yako, nyuma yako hakuna watu, utafika wapi? Kwa kweli tumekwisha. Sasa hivi kila mahali wanapachikwa watu wao ili wapitishe haya. Na hao waarabu wanazidi kumiminika, wanapewa kila kitu, ukitazama mikataba yao, inatisha"

Walisema mengi, mpaka nashindwa kuelewa hii nchi kama hali ni hii, mwanga uko wapi?

Wananchi wanataka wabunge wafanye kitu kwa maslahi ya nchi na umma, wabunge nao wanatarajia wananchi ndio wafanye kitu kuiondoa nchi kwenye mkwamo, nao wananchi hawafanyi chochote. Na kama hali ni hiyo, sasa bunge ni la kazi gani?

Jamani, tupambane tupate katiba mpya lakini katiba yenyewe nayo tutaipataje wakati sisi sote ni waoga? Hata ikipatikana katiba mpya, wakiamua kutokuifuata, na watu tukawa waoga kuwawajibisha viongozi wanaoikiuka, itakuwa na msaada mkubwa? Uoga wetu, umekuwa mtaji mkubwa kwa watawala wenye dhamira mbaya ya kujineemesha wao na jamaa zao.
Hiyo ndiyo hali halisi Serikalini watu ni waoga na wanafiki...na huu Ndio mzizi wa Rushwa,wizi,ubnafisi na baba lao Ufisadi!
 
Wanafiki wakubwa hao, kwani wamepelekwa bungeni na hao wanaowatisha? Kama ndivyo bora tuwe na wagombea binafsi ili akili zijitegemee
 
Hili limenishangaza, kunishtua na kukatisha tamaa kabisa.

Nilikuwa na mazungumzo na wabunge wawili, mmoja ni mwanasheria, tena mzuri sana kwenye mambo ya corporate, akiwa amesoma miongoni mwa vyuo vikubwa na bora kabisa Duniani. Na mwingine alikuwa Naibu Waziri, kwa sasa yupo nje ya Baraza.

Hoja kubwa ilikuwa mjadala wa bandari, majibu yao, mmoja alisema hivi:

"hivi bwana ..........., unaamini, mimi na akili yangu, naweza kuunga mkono mkataba kama ule? Watu wanasema tu huko nje, hawajui kilichopo huku ndani. Ukiwa huku, unakuwa ni kama mtumwa. Tumeitwa kwenye kikao cha chama, tena tukaambiwa ni maelekezo. Bungeni pale kuna wachache, tena wale watu wao waliowekwa sawa, ndio waliokuwa wanaongea. Nakuhakikishia, wote ambao hatukuongea, kila mmoja alikuwa hataki, lakini kwa salama yako, unaamua kukaa kimya. Hawa watu wamejipanga hasa, na kila siku wanaoonekana ni kisiki mahali popote, wanaondolewa".

Mwingine aliyewahi kuwa naibu waziri, akasema:

"Wengine tumeondolewa, kwa sababu ya kuhisiwa tu kuwa tunaweza tusiunge mkono kila kitu. Tukawekwa pembeni. Na hapa, kwa hawa watu, si ajabu sisi wengine mwaka 2025, tukaondolewa kabisa hata kwenye ubunge. Na wakiwa wenyewe kabisa, itakuwa mbaya zaidi, maana hatutajua kabisa wanayopanga, hata wanayofanya. Kwa hiyo kwa namna fulani, ni afadhali hata ubakie kinafikinafiki, angalao tufahamu wanachofanya. Shida pia, ni wananchi wetu. Sisi tunapozitoa taarifa hizi, kuvujisha siri, tunatarajia wananchi waamke, lakini wananchi nao inakuwa kimya. Sasa ukiwa kimbelembele, upo pekee yako, nyuma yako hakuna watu, utafika wapi? Kwa kweli tumekwisha. Sasa hivi kila mahali wanapachikwa watu wao ili wapitishe haya. Na hao waarabu wanazidi kumiminika, wanapewa kila kitu, ukitazama mikataba yao, inatisha"

Walisema mengi, mpaka nashindwa kuelewa hii nchi kama hali ni hii, mwanga uko wapi?

Wananchi wanataka wabunge wafanye kitu kwa maslahi ya nchi na umma, wabunge nao wanatarajia wananchi ndio wafanye kitu kuiondoa nchi kwenye mkwamo, nao wananchi hawafanyi chochote. Na kama hali ni hiyo, sasa bunge ni la kazi gani?

Jamani, tupambane tupate katiba mpya lakini katiba yenyewe nayo tutaipataje wakati sisi sote ni waoga? Hata ikipatikana katiba mpya, wakiamua kutokuifuata, na watu tukawa waoga kuwawajibisha viongozi wanaoikiuka, itakuwa na msaada mkubwa? Uoga wetu, umekuwa mtaji mkubwa kwa watawala wenye dhamira mbaya ya kujineemesha wao na jamaa zao.
Mwananchi unataka afanyeje apigwe virungu na police ukiandamana?

Mbunge ana nafasi ya kuwasaidia wananchi akiwa pungeni.
1.Kama atafukuzwa uanachama kwa kusema ukweli ,akiahamia chama kingine wale wananchi watamchagua haraka sana.Tofauti na mwananchi akiandama au akiwa na Domo ataishia kupigwa marungu na police.

Labda sisi wananchi ni kuamka na kumkataa mbungu Fulani wa chama Fulani kupitia Sanduku la kura na kulinda kura

Nasikiaga pale Arusha GLema mwaka 2010 alipelekewa 900,000,000 alipotaka kuzichukua wananchi wakamwambia tunakuua wewe na mkeo na watoto wako.😀😀😀😀😀
 
Huyo aliyekuwa naibu waziri ndio mjinga kabisa. Kwamba yeye analaumu wananchi wakati yeye anafanya nini? Kashindwa kusimama kiume kupigania wananchi aongee wazi wazi eti analaumu wananchi. Yeye kaufyata hata huko bungeni ambako wanalindwa alafu anataka eti wananchi wapambane

Hii nchi ngumu Sana
Hujamwelewa huyo Naibu Waziri wala usimlaumu tafadhali. Soma tena umwelewe anachosema.
 
Hii habari yako Ni ya kutunga ,ya uongo na isiyo na ukweli wowote ule Zaid ya kutaka tu kuwadhalilisha waheshimiwa wabunge wetu.

Hakuna ushahidi wala hoja ya kuonyesha ukweli wa hoja yako,unasema waarabu wanaendelea kumiminika hapa nchini pasipo kuweka ushahidi wa namna ya wanavyoingia hapa nchini,hujaeleza wanaingia nchini kwa kufuata sheria au kwa kuvunja Sheria,hujaeleza Ni lini na kwa Tangazo lipi la serikali na la Tarehe ngapi na kupitia Nani lilipiga marufuku wageni wanaokuja kisheria nchini kuingia nchini.

Kwani Ni lini imekuwa jinai kwa mtu kuingia nchini kwa kuwa na vibali vyote na sababu ya kuja nchini? Watanzania wangapi wanasafiri kila Siku kwenda nje ya nchi? Wafanyabiashara wangapi wanaokwenda nje ya mipaka ya nchi? Je sisi watanzania hatutaki wafanyabiashara wa kigeni? Hatutaki wawekezaji wanaokuja kwa kufuata taratibu zote? Hatutaki wawekezaji? Hatutaki bidhàa zetu zipate soko nje ya nchi?

Mbona hujaeleza Kama hao wageni wanaoingia Kama wanavunja Sheria au wanazingatia Sheria? Nani kakwambia kuwa Tanzania haipokei watu wanaotaka kuja Tanzania? Hao wanaokuja ni magaidi? Wateka nyara? Ni majangili? Kama Ni watu wema na wanakuja kwa vihali rasimi kwanini unapata hofu na kusema wanamiminika? Na wanamiminikia wapi hapo ulipowakuta wamejikusanya na unashindwa hata kuwapiga picha au kutoa taarifa yenye ushahidi kuwa wamiminikaji wapo kinyume na sheria nchini

Mbona kipindi Cha corona ambapo baadhi ya nchi ziliposema raia wake wasije nchini kutokana na hofu ya Corona kwanini mlishangilia kwa kukenua meno yenu kuwa tunatengwa na Dunia na uchumi wetu utapolomoka? Kwanini leo wanapoingia kwa kufuata sheria unaanza Tena kulalama? Kwanini iwe nongwa? Kwanini iwe jinai mtu kuja kufanya biashara na Tanzania na kutoa fursa za ajira na kulipa Kodi?

Acheni unafiki wenu na kuandika vihabari vya kuokoteza na kuunga unga kwa maslahi yenu binafsi,Acheni chuki zenu binafsi,acheni kutumika kijinga ,acheni uchonganishi wenu wa kitoto na kijinga,acheni ushamba wenu, acheni kuishi nyuma ya wakati.
Poor uvccm
 
Wao wamepewa uwanja waongee Bungeni wanaogopa wanakuja kuleta majungu Ili wananchi mpambane wao waendelee kula posho za burebure pumbavu sana . Kama kweli wanajali wananchi Kwa nini wasijilipue na ubunge wenyewe waukose tujue wanajali wananchi. Tatizo asilimia 60 ya wabunge walipata Kwa mbereko yanabakia kupiga majungu tu.
 
Ishapita hiyo, hata upige kelele vipi ishazama
 
Tafuta maisha kwa ajili ya familia yako, bandari haitakujengea nyumba
Aisee, ujumbe modeli hii kuna siku utawafikia wote ukiwemo mpashaji ndipo labda tutakapoelewana vyema. Manake kila anayejikuta penye neema ana shoot mipasho ya kukera tu. Ndio mambo za kutesa kwa zamu.

Awamu ya tano machawa wa enzi hizo walikuwa wakitupasha tuachane na katiba mpya haitatuwekea ugali mezani tena ni dili ya Mbowe kuitaka Ikulu kiroho mbaya. Leo wengi wao tuko nao upande mmoja.

Sasa awamu hii machawa mnatuasa tuachane na bandari! Next… huenda ikawa tuachane na nchi kabisa kwani hatutazikwa nayo au tunaweza kujikuta wakimbizi wa tozo tukiwa Burundi! So well, so good. 🤔
 
Kwa hali ilivyo hata katiba ya Warioba haitoshi! Inabidi tudhibiti hawa viongozi kwa Katiba kali zaidi.
 
Hili limenishangaza, kunishtua na kukatisha tamaa kabisa.

Nilikuwa na mazungumzo na wabunge wawili, mmoja ni mwanasheria, tena mzuri sana kwenye mambo ya corporate, akiwa amesoma miongoni mwa vyuo vikubwa na bora kabisa Duniani. Na mwingine alikuwa Naibu Waziri, kwa sasa yupo nje ya Baraza.

Hoja kubwa ilikuwa mjadala wa bandari, majibu yao, mmoja alisema hivi:

"hivi bwana ..........., unaamini, mimi na akili yangu, naweza kuunga mkono mkataba kama ule? Watu wanasema tu huko nje, hawajui kilichopo huku ndani. Ukiwa huku, unakuwa ni kama mtumwa. Tumeitwa kwenye kikao cha chama, tena tukaambiwa ni maelekezo. Bungeni pale kuna wachache, tena wale watu wao waliowekwa sawa, ndio waliokuwa wanaongea. Nakuhakikishia, wote ambao hatukuongea, kila mmoja alikuwa hataki, lakini kwa salama yako, unaamua kukaa kimya. Hawa watu wamejipanga hasa, na kila siku wanaoonekana ni kisiki mahali popote, wanaondolewa".

Mwingine aliyewahi kuwa naibu waziri, akasema:

"Wengine tumeondolewa, kwa sababu ya kuhisiwa tu kuwa tunaweza tusiunge mkono kila kitu. Tukawekwa pembeni. Na hapa, kwa hawa watu, si ajabu sisi wengine mwaka 2025, tukaondolewa kabisa hata kwenye ubunge. Na wakiwa wenyewe kabisa, itakuwa mbaya zaidi, maana hatutajua kabisa wanayopanga, hata wanayofanya. Kwa hiyo kwa namna fulani, ni afadhali hata ubakie kinafikinafiki, angalao tufahamu wanachofanya. Shida pia, ni wananchi wetu. Sisi tunapozitoa taarifa hizi, kuvujisha siri, tunatarajia wananchi waamke, lakini wananchi nao inakuwa kimya. Sasa ukiwa kimbelembele, upo pekee yako, nyuma yako hakuna watu, utafika wapi? Kwa kweli tumekwisha. Sasa hivi kila mahali wanapachikwa watu wao ili wapitishe haya. Na hao waarabu wanazidi kumiminika, wanapewa kila kitu, ukitazama mikataba yao, inatisha"

Walisema mengi, mpaka nashindwa kuelewa hii nchi kama hali ni hii, mwanga uko wapi?

Wananchi wanataka wabunge wafanye kitu kwa maslahi ya nchi na umma, wabunge nao wanatarajia wananchi ndio wafanye kitu kuiondoa nchi kwenye mkwamo, nao wananchi hawafanyi chochote. Na kama hali ni hiyo, sasa bunge ni la kazi gani?

Jamani, tupambane tupate katiba mpya lakini katiba yenyewe nayo tutaipataje wakati sisi sote ni waoga? Hata ikipatikana katiba mpya, wakiamua kutokuifuata, na watu tukawa waoga kuwawajibisha viongozi wanaoikiuka, itakuwa na msaada mkubwa? Uoga wetu, umekuwa mtaji mkubwa kwa watawala wenye dhamira mbaya ya kujineemesha wao na jamaa zao.
Mwongo mkubwa. Wabunge siyo wapumbavu kama wewe bwege wewe
 
Back
Top Bottom