polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 4,127
- 7,608
Nikikuchunguza wewe utakuwa muislamu si bure 🤣🤣🤣🤣Ndo wewe uchambue bandari toka imekuwepo imekusaidia kukuletea chakula?
Badala mfanye kazi mnakaa bandari bandari bandari
Nikikuchunguza wewe utakuwa muislamu si bure 🤣🤣🤣🤣Ndo wewe uchambue bandari toka imekuwepo imekusaidia kukuletea chakula?
Badala mfanye kazi mnakaa bandari bandari bandari
Ila uchawa utakujengea nyumba.Tafuta maisha kwa ajili ya familia yako, bandari haitakujengea nyumba
Pumba iziWewe ni mjinga
Bandari haikuletei chakula mezani, wala kukulipia umeme au maji.
Fanya kazi
Au kaandamane
Je kupinga ndo kutakujengea nyumba?Ila uchawa utakujengea nyumba.
Tuko kazini tukipasha kwenda kuwabashiaNaona [emoji304] mko kazini.
Ww usiyepinga weka picha ya nyumba yako hapa, kisha uweke verified I'd ili tuone mafanikio yako, na wapi sisi tunakwama.Je kupinga ndo kutakujengea nyumba?
Poor uvccmHii habari yako Ni ya kutunga ,ya uongo na isiyo na ukweli wowote ule Zaid ya kutaka tu kuwadhalilisha waheshimiwa wabunge wetu.
Hakuna ushahidi wala hoja ya kuonyesha ukweli wa hoja yako,unasema waarabu wanaendelea kumiminika hapa nchini pasipo kuweka ushahidi wa namna ya wanavyoingia hapa nchini,hujaeleza wanaingia nchini kwa kufuata sheria au kwa kuvunja Sheria,hujaeleza Ni lini na kwa Tangazo lipi la serikali na la Tarehe ngapi na kupitia Nani lilipiga marufuku wageni wanaokuja kisheria nchini kuingia nchini.
Kwani Ni lini imekuwa jinai kwa mtu kuingia nchini kwa kuwa na vibali vyote na sababu ya kuja nchini? Watanzania wangapi wanasafiri kila Siku kwenda nje ya nchi? Wafanyabiashara wangapi wanaokwenda nje ya mipaka ya nchi? Je sisi watanzania hatutaki wafanyabiashara wa kigeni? Hatutaki wawekezaji wanaokuja kwa kufuata taratibu zote? Hatutaki wawekezaji? Hatutaki bidhàa zetu zipate soko nje ya nchi?
Mbona hujaeleza Kama hao wageni wanaoingia Kama wanavunja Sheria au wanazingatia Sheria? Nani kakwambia kuwa Tanzania haipokei watu wanaotaka kuja Tanzania? Hao wanaokuja ni magaidi? Wateka nyara? Ni majangili? Kama Ni watu wema na wanakuja kwa vihali rasimi kwanini unapata hofu na kusema wanamiminika? Na wanamiminikia wapi hapo ulipowakuta wamejikusanya na unashindwa hata kuwapiga picha au kutoa taarifa yenye ushahidi kuwa wamiminikaji wapo kinyume na sheria nchini
Mbona kipindi Cha corona ambapo baadhi ya nchi ziliposema raia wake wasije nchini kutokana na hofu ya Corona kwanini mlishangilia kwa kukenua meno yenu kuwa tunatengwa na Dunia na uchumi wetu utapolomoka? Kwanini leo wanapoingia kwa kufuata sheria unaanza Tena kulalama? Kwanini iwe nongwa? Kwanini iwe jinai mtu kuja kufanya biashara na Tanzania na kutoa fursa za ajira na kulipa Kodi?
Acheni unafiki wenu na kuandika vihabari vya kuokoteza na kuunga unga kwa maslahi yenu binafsi,Acheni chuki zenu binafsi,acheni kutumika kijinga ,acheni uchonganishi wenu wa kitoto na kijinga,acheni ushamba wenu, acheni kuishi nyuma ya wakati na acheni ukasuku.
Usipoteze muda kusikiliza hao WAHUNI....kama nikweli walilazimishiwa kwanini hakusema beforeHili limenishangaza, kunishtua na kukatisha tamaa kabisa.
Nilikuwa na mazungumzo na wabunge wawili, mmoja ni mwanasheria, tena mzuri sana kwenye mambo ya corporate, akiwa amesoma miongoni mwa vyuo vikubwa na bora kabisa Duniani. Na mwingine alikuwa Naibu Waziri, kwa sasa yupo nje ya Baraza.
Hoja kubwa ilikuwa mjadala wa bandari, majibu yao, mmoja alisema hivi:
"hivi bwana ..........., unaamini, mimi na akili yangu, naweza kuunga mkono mkataba kama ule? Watu wanasema tu huko nje, hawajui kilichopo huku ndani. Ukiwa huku, unakuwa ni kama mtumwa. Tumeitwa kwenye kikao cha chama, tena tukaambiwa ni maelekezo. Bungeni pale kuna wachache, tena wale watu wao waliowekwa sawa, ndio waliokuwa wanaongea. Nakuhakikishia, wote ambao hatukuongea, kila mmoja alikuwa hataki, lakini kwa salama yako, unaamua kukaa kimya. Hawa watu wamejipanga hasa, na kila siku wanaoonekana ni kisiki mahali popote, wanaondolewa".
Mwingine aliyewahi kuwa naibu waziri, akasema:
"Wengine tumeondolewa, kwa sababu ya kuhisiwa tu kuwa tunaweza tusiunge mkono kila kitu. Tukawekwa pembeni. Na hapa, kwa hawa watu, si ajabu sisi wengine mwaka 2025, tukaondolewa kabisa hata kwenye ubunge. Na wakiwa wenyewe kabisa, itakuwa mbaya zaidi, maana hatutajua kabisa wanayopanga, hata wanayofanya. Kwa hiyo kwa namna fulani, ni afadhali hata ubakie kinafikinafiki, angalao tufahamu wanachofanya. Shida pia, ni wananchi wetu. Sisi tunapozitoa taarifa hizi, kuvujisha siri, tunatarajia wananchi waamke, lakini wananchi nao inakuwa kimya. Sasa ukiwa kimbelembele, upo pekee yako, nyuma yako hakuna watu, utafika wapi? Kwa kweli tumekwisha. Sasa hivi kila mahali wanapachikwa watu wao ili wapitishe haya. Na hao waarabu wanazidi kumiminika, wanapewa kila kitu, ukitazama mikataba yao, inatisha"
Walisema mengi, mpaka nashindwa kuelewa hii nchi kama hali ni hii, mwanga uko wapi?
Wananchi wanataka wabunge wafanye kitu kwa maslahi ya nchi na umma, wabunge nao wanatarajia wananchi ndio wafanye kitu kuiondoa nchi kwenye mkwamo, nao wananchi hawafanyi chochote. Na kama hali ni hiyo, sasa bunge ni la kazi gani?
Jamani, tupambane tupate katiba mpya lakini katiba yenyewe nayo tutaipataje wakati sisi sote ni waoga? Hata ikipatikana katiba mpya, wakiamua kutokuifuata, na watu tukawa waoga kuwawajibisha viongozi wanaoikiuka, itakuwa na msaada mkubwa? Uoga wetu, umekuwa mtaji mkubwa kwa watawala wenye dhamira mbaya ya kujineemesha wao na jamaa zao.
Akili kama hizi ni laana kwa taifa letu. Umeandika Nini hapo?? Nini maana ya raslimali za taifa na amani ya nchi.Tafuta maisha kwa ajili ya familia yako, bandari haitakujengea nyumba
Siyo laana tu bali ndizo zinafanya Afrika iwe ilipo. Hizi ni low IQ na sidhani hata kama shule itasaidia. Huyo jamaa na ngedere hakuna aliyempita mwenzake kiakili.Akili kama hizi ni laana kwa taifa letu. Umeandika Nini hapo?? Nini maana ya raslimali za taifa na amani ya nchi.
Jibu hoja acha ujinga wewePoor uvccm
Katafute maisha kwa ajili ya familia yako, hakuna rasilimali itayokuletea chakula kwako kama hufanyi kazi.Akili kama hizi ni laana kwa taifa letu. Umeandika Nini hapo?? Nini maana ya raslimali za taifa na amani ya nchi.
Hao wabunge kwani wanahitaji watu wawahaibishe?mbona wanajiabisha wenyewe kwa mambo mengi tu wanayoyafanya bungeniHii habari yako Ni ya kutunga ,ya uongo na isiyo na ukweli wowote ule Zaid ya kutaka tu kuwadhalilisha waheshimiwa wabunge wetu.