Mkataba una mapungufu mengi sana. Serikali ikae nq wataalam wa mikataba ya uwekezaji wenye uzalendo wa juu. Wapitie vifungu tata...virekebishwe na uletwe tena bungeni kupitiwa na kupitishwa.
Si uungwana kuchanganya siasa na dini. Madhara yake ni makubwa sana.
Waprotestanti, Wakatoriki na Waislamu ni kitu kimoja. Dini tulizoletewa zisitugawe.
Samia ndie rais wetu. Hatuna mwingine!!!
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app