Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,587
- 20,481
HeheheKwanza shetani hayupo.
Hao wanaokuingiza na kukusainisha mkataba ni binadamu kama wewe.
Sio shetani.
Sasa wewe umepewa masharti na binadamu halafu unasema ni shetani?
Au unafikiri hao binadamu wanaokupa hizo mali wao hawataki kuwa nazo?
Wakupe burebure tu bila masharti?
SatanMkataba na Shetani(Deal with the devil) inasemwa ni kitendo cha mtu kuingia mkataba na Shetani apewe umaarufu, pesa, mamlaka, afya njema nk, kisha yeye anampa Shetani nafsi yake(yaani anajitoa kuwa mali ya Shetani. . . ?)
Mfano mmoja ni kitendo cha Shetani kumshawishi Yesu amsujudie, na yeye Shetani kumuahidi kumpatia Yesu utajiri na mamlaka, akidai hivyo vyote ni vyake anaweza kumpa yeyote anpendaye.
Mifano mingine ni wasanii wengi maarufu. Kuna msanii kama Jimi Hendrix. Huyu anachukuliwa kama mpiga gitaa nguli wa muda wote. Lakini umaarufu wake uliibuka ghafla, ukadumu kwa miaka mitatu na akafariki hata miaka 30 hajafika. Wanasema aliuza roho yake kwa Shetani. Akapewa umaarufu na baada ya miaka mitatu Shetani akaja kuchukua malipo yake.
Msanii mwingine ni Leroy Johnson. Huyu naye aliibuka ghafla kuwa nguli wa gitaa. Kafa na miaka 27 tu. Zaidi ni kuwa aliimba sana nyimbo kuhusu mkataba wake na Shetani. Mmoja aliuita Me and The Devil. Akizungumzia Shetani kumtembelea na kumuambia kuwa muda wa kuondoka umefika.
Kuna ushahidi wowote wa kuonyesha kuwa mkataba na Shetani upo?
Kuna mashetani wanadamu kwahiyo ushetani ni cheoKwanza shetani hayupo.
Hao wanaokuingiza na kukusainisha mkataba ni binadamu kama wewe.
Sio shetani.
Sasa wewe umepewa masharti na binadamu halafu unasema ni shetani?
Au unafikiri hao binadamu wanaokupa hizo mali wao hawataki kuwa nazo?
Wakupe burebure tu bila masharti?
Shetani na ushetani ni dhana za kufikirika tu.Kuna mashetani wanadamu kwahiyo ushetani ni cheo
Huo Ni mtazamo wakoShetani na ushetani ni dhana za kufikirika tu.
Hazipo katika uhalisia.
nikisia kaul kama hizi za shetan ni dhana ya kufikirika nacheka sana, yaani h dunia ina watu wasiopenda maarifa kabisa.Shetani na ushetani ni dhana za kufikirika tu.
Hazipo katika uhalisia.
Shetani ni Roho, je unawezaje kuingia mkataba na kitu kisicho na mwili?Mkataba na Shetani(Deal with the devil) inasemwa ni kitendo cha mtu kuingia mkataba na Shetani apewe umaarufu, pesa, mamlaka, afya njema nk, kisha yeye anampa Shetani nafsi yake(yaani anajitoa kuwa mali ya Shetani. . . ?)
Mfano mmoja ni kitendo cha Shetani kumshawishi Yesu amsujudie, na yeye Shetani kumuahidi kumpatia Yesu utajiri na mamlaka, akidai hivyo vyote ni vyake anaweza kumpa yeyote anpendaye.
Mifano mingine ni wasanii wengi maarufu. Kuna msanii kama Jimi Hendrix. Huyu anachukuliwa kama mpiga gitaa nguli wa muda wote. Lakini umaarufu wake uliibuka ghafla, ukadumu kwa miaka mitatu na akafariki hata miaka 30 hajafika. Wanasema aliuza roho yake kwa Shetani. Akapewa umaarufu na baada ya miaka mitatu Shetani akaja kuchukua malipo yake.
Msanii mwingine ni Leroy Johnson. Huyu naye aliibuka ghafla kuwa nguli wa gitaa. Kafa na miaka 27 tu. Zaidi ni kuwa aliimba sana nyimbo kuhusu mkataba wake na Shetani. Mmoja aliuita Me and The Devil. Akizungumzia Shetani kumtembelea na kumuambia kuwa muda wa kuondoka umefika.
Kuna ushahidi wowote wa kuonyesha kuwa mkataba na Shetani upo?
Hata na ninyi kusema kuna mkataba na shetani ni mitazamo yenu tu.Huo Ni mtazamo wako
Leta uthibitisho wa uwepo wa huyo shetani.nikisia kaul kama hizi za shetan ni dhana ya kufikirika nacheka sana, yaani h dunia ina watu wasiopenda maarifa kabisa.
Unataka nikuletee udhibitisho hapa Jamii Forum? nafikiri tafurta maarifa zaidi uache hekaya hizo za VijweniLeta uthibitisho wa uwepo wa huyo shetani.
Unacheka halafu huna uthibitisho wa uwepo wa huyo shetani!
Unataka kuleta stori za vijiweni mnazo pumbazana huko kwenye kahawa zenu.
Wewe ndio inabidi utafute maarifa uachane na hekaya za kusaidikika za kuamini uwepo wa shetani.Unataka nikuletee udhibitisho hapa Jamii Forum? nafikiri tafurta maarifa zaidi uache hekaya hizo za Vijweni
Sawa MkuuWewe ndio inabidi utafute maarifa uachane na hekaya za kusaidikika za kuamini uwepo wa shetani.
wewe unaamini kile kinachoonekana tu, kisichoonekana hukiamini kabisa.Hata na ninyi kusema kuna mkataba na shetani ni mitazamo yenu tu.
Hakuna kiumbe kiitwacho shetani unachoweza kufanya mkataba nacho.