Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,142
- 7,402
ha ha ha ha leonard robert kwa msuli wa kudesa
ha ha ha ha hatari tupu..
ha ha ha ha leonard robert kwa msuli wa kudesa
natumai hajaajiriwa bali AMEJIAJIRI let's say kafungua ata kakiwanda kadogo
Angalia hiyo tu kwanza...
Hana unanja huo huyo,hapo atakua anasubiri kifundisha ud
Wakuu. Si wanasemaga Record ya Lipumba kwenye field hiyo ya Economics haijavunjwa mpk leo.. kwani alikua na G.P.A ya ngapi Bwana lipumba aiseee.??
Hilo ndo tatizo hasa la hii system yetu ya Elimu but jamaa alienda kusoma Chuo kikubwa kama ckosei Marekani kusomea udoctor