Mkasa!

Aseme ni mkojo wake yeye mwenyewe:lol::lol:, hivi ukiangalia mkojo kwa macho utajua huu ni wa mwanamke au huu ni wa mwanaume???

Kabeba kipimio kilichopimiwa mimba mfukoni mwa suruale yake na si mkojo kama mkojo. sasa toka lini mwanamume akapima mimba? ndio ajibu sasa
 
hahaha!aendeleze cheating siyo?ajabu nyingine alitembea na mkojo wa nini!:nono:
Labda alikuwa anam-feel sana huyo mwanamke hadi akaamua kutembea na hicho kipimo halafu sijaelewa what was the purpose ya kutembea na hicho kipimo, ndio hivyo yameishamkuta
 
Labda alikuwa anam-feel sana huyo mwanamke hadi akaamua kutembea na mkojo wake halafu sijaelewa what was the purpose ya kutembea na huo mkojo ndio hivyo yameishamkuta
sio mkojo bali kipimo cha mimba na ubaya kinaonesha positive.Mimi naona asiseme ukweli adanganye kuwa kategeshewa na mbaya wake kumharibia.Mtoto akizaliwa na kuwa na 5 years hapo aweke ukweli hadharani.
Inauma zaidi kuambiwa nimempa mimba flani zaidi ya kuambiwa nilizaa na flani miaka flani iliyopita.

Siku zote za mwizi 40,hivi watu hamkumbuki protection ???:embarassed2:
kina Asprin msaidieni huyu Infiii...
Jesus Christ
 
Unaweza ukala ugali wa muhogo na maharagwe kila siku pasipo kubadilisha radha weye?

Mmmmmh mi unadhani nawabishia siku hizi?
Namtafuta Luthu katika ya Sodoma na Gomora tu sasa hivi Fidel sijui atapatikana lini?
 
Mmmmmh mi unadhani nawabishia siku hizi?
Namtafuta Luthu katika ya Sodoma na Gomora tu sasa hivi Fidel sijui atapatikana lini?

Yawezekana mke wake mautundu na maujuzi yamepungua kwa kitaalam tunasema amekosa ubunifu kwa kungonoka ndo maana jamaa ameamua kumega nje
 
Siku zote za mwizi 40,hivi watu hamkumbuki protection ???:embarassed2:
kina Asprin msaidieni huyu Infiii...
Jesus Christ
Mama mkwe "MSAADA HAUNA RISITI" ila kwa huyu risiti inabidi ziwepo tena zile zenye amount ya EURO
 
Alivyotungisha mimba nje alikua anategemea nini?Wakati anatoka nje ya ndoa aliomba ushauri?Nashindwa kuelewa watu wengine wanaoa ili iweje?Kama hawajatosheka na mambo ya dunia si wahangaike mpaka watakapoona imetosha?Nwyz nakasirishwa sana na watu wanaingia kwenye ndoa wakijua fika utulivu hawana!Aseme ukweli tu maana kama mtoto atazaliwa hawezi kumficha milele.Alafu kwanzia sasa hivi muwe mnaomba ushauri kabla ya kucheat sio mpaka kigeuke ndo muanze kutoa machozi ya mamba!
Lizzy,
Ninavyojua jamaa kusema ukweli au kukubali kosa ni ngumu, maana mkewe ni full kimeo...Ni mkorofi mbaya kabisa, na anaweza kusababisha tukio la mwaka akigundua jamaa ana mahusiano ya nje kikweli!
Ni njiapanda ya mwaka hii!
 
Labda alikuwa anam-feel sana huyo mwanamke hadi akaamua kutembea na hicho kipimo halafu sijaelewa what was the purpose ya kutembea na hicho kipimo, ndio hivyo yameishamkuta

hivi kumbe ni kipimio na c mkojo!!hujambo lkn?
 
Daahh
Eehh huyo
Kapatikana kweli

Mie naona atoke clean
hapo akidanganya itambidi
Awe anadanganya kila siku ku
cover it up..(plan A)

Au anaweza achukue
plan B ambayo ni kukana
mpka kifo duuuuhhh..
halafu hapondo ndo
Wajuku wakutan e kwenye mazishi lol

Both plans comes
With extra package
my opinion take
Plan A
Sasa best labda ueleze, hapa atakana kwa msingi upi, maana amekutwa live na kipimo mfukoni, na yeye si daktari wala mfamasia...je akane kwamba suruwali si yake, au kuwa hafahamu kipimo kilifikaje mfukoni?
Kwakweli hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Siku zote za mwizi 40,hivi watu hamkumbuki protection ???:embarassed2:
kina Asprin msaidieni huyu Infiii...
Jesus Christ

Hahaha...angefuata zile sheria mama za infii yasingemkuta

Labda jinsi ya kumsaidia ni mpaka PJ aniambie huyu bwana profesheni yake ni nini? Ana mabinti? Ana hausigelo.....kama ni daktai/nesi...kesi kwisha. kama ana mabinti/hausigelo....kuna ubaya gani wa baba kupima kama bintiye/hausigelo kujua kama ana mimba? Na atapimaje bila kuwa na kipimio.

Will be right back!
 
Wakuu, nimepata message toka kwa jamaa yangu tunayeheshimiana sana akieleza mkasa uliompata jioni ya leo...
.

Wonders will never end kwa kweli!
Jamani, nashindwa nianzie wapi kumshauri huyu broda cha kufanya!...ha ha haaa!
Hebu jameni pimeni situation hii, na kutoa ushauri kwa huyu raia!
PJ... Huyo jamaa nampa pole kwa kutokua mwangalifu.. lakini sisiw anaume lazima tuwe smart na kama yamemkuta hayo, ushauri wangu ni kwamba muachie ayamalize mwenyewe

we need to learn to be as smart as women, they rarely get caught!!
 
Hahaha...angefuata zile sheria mama za infii yasingemkuta

Labda jinsi ya kumsaidia ni mpaka PJ aniambie huyu bwana profesheni yake ni nini? Ana mabinti? Ana hausigelo.....kama ni daktai/nesi...kesi kwisha. kama ana mabinti/hausigelo....kuna ubaya gani wa baba kupima kama bintiye/hausigelo kujua kama ana mimba? Na atapimaje bila kuwa na kipimio.

Will be right back!
Ni mtumishi wa sirikali kwenye shirika fulani la hifadhi za jamii(Idara ya Rasilimali -Watu)...
Halafu ishu ya kuwapima mahausigeli bila consultation na mother-house imekaaje hii?
 
Wakuu, nimepata message toka kwa jamaa yangu tunayeheshimiana sana akieleza mkasa uliompata jioni ya leo...
.

Wonders will never end kwa kweli!
Jamani, nashindwa nianzie wapi kumshauri huyu broda cha kufanya!...ha ha haaa!
Hebu jameni pimeni situation hii, na kutoa ushauri kwa huyu raia!

Kyabu haoni tatizo hapo ... The Creator alituagiza "..zaeni mkaongezeke.." Wanawake wa "kisasa" wanataka kuzaa watoto kwa "mahesabu" na hayo ndiyo matokeo yake. Hana haja ya kuomba msamaha bali ni kumwambia mkewe kuwa tunatarajia kupata mtoto mwingine muda mfupi ujao ... Mwanamke lazima aheshimu maamuzi ya Mwanamume!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom