Mkasa wangu

Mkasa wangu

Yaan maraiaa mngekuwa na munkari wa moto mliomuwashia huyu jamaa katika kutafuta pesa! Hakuna kijana angekuwa masikini aisee
 
Nimerud mkuu,nimeomba maelekezo ya kupost tena pale mwanzo,hakuna alienielewesha

Fanya kama una edit post yako then endelezea,sjajua unatumia device gani lakini ihold hyo sehemu ulo post itakuletea option ya ku edit kama skosei
 
teh nmependa hapo pa utaendelea badae cm inakata chaji
 
khakhakhaaa acha upashkuna mie tena mama nspitwe ningeshakileta zamaniiiiiiii. Vipi wewe hujafika chuo??

nmeingia chimbo lazma ntamfanyia uCIA ili nijue yupo chuo gani. Ntakupa mrejesho soon
 
Muendelezo.

Basi alipojua mahali nilipo akatinga maskani kijijini,akanikuta nimekaa na bimkubwa tunachoma mahindi.mi nlipomuona nlishtuka sana sababu sikujua amepajuaje,ghafla hisia zikanijia rafiki yangu uledi atakuwa amemwambia nilipo.nikawa nimeinama naanza kulia kwa hasira,mama akanisogelea kaanza kunibembeleza pamoja na huyo demu wangu.mi nkawa nina hasira mpaka natetemeka nkawa nanyanyuka nimtie kichwa kimoja afe tu,ghafra akageuka jini,yaani kama barakuda kama umeishawahi muona kwenye muvi za kinigeria.

Sasa wakati mimi na mama tunatetemeka huku tunarudi kinyumenyume,akatokea babu mmoja pale kijijini na panga[machete]akamvizia akamkata unywele mmoja,baada ya kukatwa unywele demu wangu akaangua chini,yule mzee akanikabidhi ule unywele akaniambia nikauunganishe pamoja na nyele zangu za chini kisha nichome moto huku nataja jina la huyo demu wangu.nikafanya hi vyo,unajua nini kilitokea?????????

Subiri nimtumbue mtu jipu nakuja.
 
saaa ngapi sasa ?hauna powerbenk .kama hauna kachukue pale benk kuu
 
Mbona umepotea mkuu unasubiriwa kwa hamu
rudisha majeshi huku story yako watu wanasubiria mwisho wake ikawaje?
 
Muendelezo.

Basi alipojua mahali nilipo akatinga maskani kijijini,akanikuta nimekaa na bimkubwa tunachoma mahindi.mi nlipomuona nlishtuka sana sababu sikujua amepajuaje,ghafla hisia zikanijia rafiki yangu uledi atakuwa amemwambia nilipo.nikawa nimeinama naanza kulia kwa hasira,mama akanisogelea kaanza kunibembeleza pamoja na huyo demu wangu.mi nkawa nina hasira mpaka natetemeka nkawa nanyanyuka nimtie kichwa kimoja afe tu,ghafra akageuka jini,yaani kama barakuda kama umeishawahi muona kwenye muvi za kinigeria.

Sasa wakati mimi na mama tunatetemeka huku tunarudi kinyumenyume,akatokea babu mmoja pale kijijini na panga[machete]akamvizia akamkata unywele mmoja,baada ya kukatwa unywele demu wangu akaangua chini,yule mzee akanikabidhi ule unywele akaniambia nikauunganishe pamoja na nyele zangu za chini kisha nichome moto huku nataja jina la huyo demu wangu.nikafanya hi vyo,unajua nini kilitokea?????????

Subiri nimtumbue mtu jipu nakuja.

hahahahahahahah
Endeleza na wewe bhana!
 
hahaa@mkorinto, ur crazy! Nimependa huo mwendelezo anyway
 
Sasa mkuu mabwiku kama umeshindwa ku edit ,fanya kama una reply yaani kama unavyo changia mada ila wewe endeleza story..
 
Last edited by a moderator:
........dah hii ni kama kuangalia movie kwenye TV ile ngoma imenoga utasikia usikose kuangalia part II, alafu mbaya zaidi part II hadi weekend ijayo
 
Back
Top Bottom