kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 6,260
- 9,572
Hiyo chaji bado mkuu
Chaja tayar c alisema yule demu alikuja na mapenz yao yakaendelea na story ikaisha
Hiyo chaji bado mkuu
Naomba rukhsa kwa wana jf, kama hamto jali nifanye muendelezo?
Naomba rukhsa kwa wana jf, kama hamto jali nifanye muendelezo?
Habari wanajanvi,
Nimesoma post za wenzangu humu ndani kuhusu mahusiano naomba nami leo msome yangu,
Mwaka 2009 baada ya kumaliza chuo niliendeleza maisha na mpnz wangu,kifupi ni mwanamke alikua akinipenda sana na hata nilipokua nachelewa kupata mkopo bado alikua akinisaidia kwa moyo wote bila kujali,Moyo wangu ulimpenda na kumwamini sana,apo bado nilikua nakaa hostel za chuo make kwake kulikua na umbali kidogo, nilipomaliza elimu yangu ikabidi nirudi kuishi kwake ili matokeo yakiwa poa basi tusaidiane kuhangaika uku na kule kupata kazi make yeye kidogo alijuana na watu wengi sana,,kwake tulikua tunakaa wawili tu mimi na yeye,ivo akienda kazin mimi baaz ya kazi nilikua nafanya kama kupika cha mchana kuosha vyombo n.k,kwakua chuo nilikua nafanya ivo so sikuona kama ni kazi kwangu kufanya vile..
Baada ya muda nikaona mwenzangu anabadilika,atoke kazin aje kanuna bila sababu,muda mwingine kupika akawa hataki tena mi nikaona fresh nikawa nawajibika maana sikuona tatizo sababu sikua na mchango wowote kwa chakula na apo sikua na kazi bado,Aliendelea vile ila mimi sikumwambia chochote ilibidi niwe kimya tu ili nisizue mengine,kawaida job alikua anatoka saa 11 jion ila ikafikia kipindi akawa anarudi saa 3 ama 4 usiku,nikimuuliza anasema kazi zilikua nyingi,tulikua tunalala pamoja lkn akanambia niwe nalala chumba cha wageni mpaka apo atakapo nambia.
Kuna rafiki yangu yeye alikua anaishi mkoan ila alitangulia kumaliza chuo na kwa muda huo alikua na kazi tayari,nilijaribu kumshirikisha matatizo yangu lkn alinisihi niwe mvumilivu make bado natafuta na yule ndo nguzo kwa muda ule.Kumbe lengo la mimi kuniamisha chumban yeye alikua anaingia na mwanaume usiku,kuna siku nilikua stng room nasoma gazet akaja mzee flan ivi akamuulizia,ilikua muda kama wa saa 3 ivi usiku,nikamwambia bado hajafika ikabid asubir,Basi tukapiga story pale na mchumba wangu akafika,lkn cha ajabu akamwambia mzee amfate chumban,dah!! Iyo siku nililia sana asikwambie mtu,asubui niliwai kuamka make nilikua napenda kufanya zoez alfajiri,yule mzee alipita akanisalim akaondoka zake
Mbaya zaid,mchumba wangu akasitisha kununua matumizi ya ndani wakati anajua mimi sina kipato chochote na yeye ndie alinishawishi mimi kwenda kwake kwa ahadi ya kunisaidia mpaka ntakapofanikiwa,ukweli uvumilivu ukanishinda kabisa kwa matukio yale, nakumbuka ilikua jtano mida ya mchana iv nilikusanya kila kilicho changu kuna sehemu alikua anaweka pesa zake nikachukua sh 25000 tu,make mpaka kwetu ilikua ni sh 20000,iyo 5000 ilikua ya kula njiani, nikabakiza kama 200000 na ushee kwake,nilirud home kwa mama kijijini kuanza maisha mengine,
Nilikaa kama miezi 8 nikapata kazi kampuni flan na maisha yakaendelea.
Mungu hamtupi mja wake,nashukuru mungu nilichopata nilitumia na kingine nilisave,baada ya muda nikanunua shamba kijini kwetu na nikatafuta watu wakanilimia na kupanda,ivyo kwangu ikawa hatua nyingine,
Siku moja yule rafki yangu akanipigia simu na kunieleza kua ritha yule niliekua naishi kwake ananitafuta sana, mimi nikamwambia amwambie hajui nilipo lkn baada ya usumbufu kuzidi rafk yangu akanisariti na kusema nilipo,
Naomba kuendelea baadae kidogo simu yangu inakata moto,
Sijakulazimisha uje kusoma brother
Chaja tayar c alisema yule demu alikuja na mapenz yao yakaendelea na story ikaisha
SACCOS au VICOBA?MUENDELEZO
Kwanza kabla sijaendelea naomba kusema nanyi kitu kidogo,sipendezwi na kejeli za watu humu ndani,haya ni moja ya maisha yangu niliyopitia wala sipo hapa kutunga hadithi,ukiona nazingua pita kushoto kwan sijalazimisha mtu kuja kusoma apa,,bali nafanya kwa mapenz yangu tu kama mwanakikundi..naomba kuendelea
nlijua barakuda ya mji kasoro teh
izi waga naziita akili za kushikiwa,,,..endelea kuropoka..Huu ujinga sasa unaleta mambo ya bongo mivie? Sisomi tena nawaomba mods waufute kabisa huu uzi. Maana unatuletea ungese
Brother nimeamua kuachana nayo hii simulizi,watu wanauzi sana utazani wananilipa muda naopoteza kuandika hapa,see you next time..Naomba nkununulie powerbank kabisaa
Brother nimeamua kuachana nayo hii simulizi,watu wanauzi sana utazani wananilipa muda naopoteza kuandika hapa,see you next time..
kwa ujumbe wako nimeweza kuelewa,narudi mkuu namalizia kijikaz flan apa then napost tena,,wewe ndio umefanya narud tenaMkuu nmaliZie bas hata kwa pm tafadhal tusifike huko haya ni maneno ya mmu yazoee tu na ndio raha ya hiki kila mtu akiwa upande mmoja tutakosa challenge