Mkasa wangu

Mkasa wangu

Acha mbwembwe chomeks chaji na Sikh nyingine ukiona tatizo chaji anza kusimulia kuanzia mwisho kuja mwanzo
 
Huyu itakuwa tapeli tu,au shigongo kamuwahi??duh me nshachoka kusubiria sasa
 
Hii ni dharau unakaribisha watu msosi halafu msosi wenyewe haujaiva umenikera baas tu ngoja nikuvumilie huenda ukarud kumalizia
 
Tangu jana saa moja na dk 20 usiku simu imekata chaji. Hahahahahahaqa
 
mabwiku tafadhali kuja malizia hiki kiporo unaniumiza moyo wng kuchungulia kila saa
 
Last edited by a moderator:
mabwiku tafadhali kuja malizia hiki kiporo unaniumiza moyo wng kuchungulia kila saa

Dahhh samahanin sana bhana nilikua nishasahau kabisa huyu jamaa kani quote ndo nikaona notification..bt kunawatu mnamajibu ya kuboa sana,hata kama niliishi kwa demu kila mtu kuna maisha alipitia so kunicheka nisawa na bure
 
Last edited by a moderator:
hapa sioni cha kukulaumu. Mm nimepita chuo najua hali halisi,
wanasema kama hautakua strong nani atakua strong badala yako?

Msg yako tu unanipa moyo wakuendelea,kuna watu humu majibu yao sijayapenda
 
Huu ujinga huu. Hujaombwa keleta mastor yako halafu unasimulia nusunusu inamaana toka jana hadi leo bado simu imekata moto?

Ndio maana ulikuwa unapikishwa na mwanamke.

Sijakulazimisha uje kusoma brother
 
Hii ni dharau unakaribisha watu msosi halafu msosi wenyewe haujaiva umenikera baas tu ngoja nikuvumilie huenda ukarud kumalizia

Nimerud mkuu,nimeomba maelekezo ya kupost tena pale mwanzo,hakuna alienielewesha
 
Back
Top Bottom