Samahani kwa kua kimya wana jamii,kwanza nitoe shukran kwenu kwa wale mliokua mnafatilia simulizi hii,hii simulizi imenikutanisha na mtu ambae sikuwai kufikiri wala kuwaza kua na ukaribu nae hata kidogo,
Iko ivi,baada ya watu kuniandikia maneno ya kuboa na kuchukiza humu ndani,niliomba kwa mwenye huitaji wa mwendelezo aje inbox ntatuma,walikuja wengi sana inbox nikaona napo nikazi kutuma kwa kila mtu kwan walikua wengi mno,,ikanibidi niwe mpole tu nirudi kule,kuna mtu alikua anasumbua sana nimpe namba make anashida ya msingi sana tuzungumze,mi sikujali nikapotezea,
Aliendelea kuni pm lkn sikujibu kitu,alichofanya akatafuta post zangu za nyuma akachukua namba akanipigia,kuna post nilipost kipnd flan kuomba msaada wa mawazo ya ugonjwa wa mtoto wangu pacha wa kike,na pale nilikua naitaji msaada wa haraka ikabidi niweke namba zangu,basi akapiga then akajitambulisha na kunambia yeye ni yule ambae alikua ananitafuta jf,nikasema poa nambie,akanambia anaitaji kufaham mwendelezo wa hadith yang japo kwa kifupi ili tufanye kitu,nikamwambia sawa lkn haiwezekan niongee na simu muda wote huo kwa kukusimulia simulizi,tafuta njia nyingine na sio iyo,nikamwambia nakuja dar siku flan je hawezi kuvumilia kidogo kama atakua poa nitamcheki tuonane dar,akakubali ila akanambia usitoe mwendelezo kwanza mpaka tutakapo chekiana,siku naenda dar nikamwambia nakuja dar ila nakaa siku mbili tu then narud,akasema ukifika airport kesho unitafute,nikamwambia na muda nitakao ondoka na nindege ya saa ngapi,,
Nilifika jk nikampigia akanambia yupo nje alikuja na mark-x black iv,ile nasogea si akashuka kwenye gari,dah sikutarajia kabisa ugeni ule,nikajitambulisha nae akanambia kua ndie alikua akinitafuta,nikampa location yang kwa muda ule akanipeleka na story mbili tatu tukapiga,,
Nakuja