Mkasa wangu

Mkasa wangu

Mtoa mada anasimamia usalama wa kura Arusha.
 
Hii tabia ya episodes mods muiangalie ikiwezekana wote wenye tabia hii wapigwe burn
 
Naomba rukhsa kwa wana jf, kama hamto jali nifanye muendelezo?
 
Kwakuwa mleta mada hakuweza kuchaji simu toka jana na kuufanya uzi huu kukosa hitimisho, mi naona kila mwwnye uwezo amalizie sehemu iliyobaki afu tutachangia mwishoni!
 
hapa sioni cha kukulaumu. Mm nimepita chuo najua hali halisi,
wanasema kama hautakua strong nani atakua strong badala yako?
 
Huu ujinga huu. Hujaombwa keleta mastor yako halafu unasimulia nusunusu inamaana toka jana hadi leo bado simu imekata moto?

Ndio maana ulikuwa unapikishwa na mwanamke.
 
Back
Top Bottom