tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,895
- 19,774
Ok, pole!
IWAPO WAKATI MALI HIZO ZILICHUMWA WAKIWA BADO HAWAKUPEANA TALAKA KISHERIA(which is true)
Dada atagawana nae tu, huna namna ya kuzuia!
Unless kama umiliki wa hizo mali unasoma tarehe za nyuma ya ndoa yao.
BADO NI MUME WAKE HUYO, until wamepeana talaka!
Sikushauri kuanza au kuendelea kuinvest nae huyo mwanaume mpka hapo utakapooneshwa talaka yao!
Kwamba atakuwa na ushahidi unaoonesha tofali alinunua yeye na sio mkewe?Mkuu kasema nyumba hakujenga nae istoshe ushahidi ndio utatoa judgment kua wagawane mali plus nyumba,au wagawane vyombo,fenicha etc
anaamini mwanaume anasumbuliwa tu!Achana na huyo mwanaume, tena muongo hata talaka ikitoka hutodumu, ukiona mwanaume kakimbiwa na mke yeye ni shida utakuja kulia siku moja
unavyong'ang'ania hiyo ndoa bila shaka ni 35+ ULIPOKUWA BINTI ULIRINGA SANA SAVI HATA MUME WA MTU UNAKOMAA NAE TUMimi ni mwanamke
Nipo kwenye mahusiano ya kuishi pamoja kupika na kupakua na mwanaume Mwenye miaka 45 kwa muda wa miaka 3 Huku tulipanes Mipango yakuoana. Wakat tunaanza alidai Ana watoto 2 (ke na me) mama tofauti ila hajawaoa. Na mtoto mkubwa anaishi na shangazi yake. Anadai alichelewa kuoa kutokana na ugumu wa maisha aliyokulia na pia alihaso sana hadi Leo kufikia alipo.
Kuna kipindi niliwahi kupata tetesi kwamba améoa ila alikataa katakata. Juzikati alipata msiba wa moja ya mzazi wake ikabidi aende ila alikataa mimi nisiende. Baada yayeye kuondoka nikapanga Safari nikamfwata ila nilipofika stand akanipotezea hakuja kunipokea.
Niliamua kutumia mbinu zangu hadi kufika kwao na kukuta msiba.
Nilishangaa kukuta ameoa tena ndoa ya kanisani. Tulipokaa na kuzungumza alijitetea kwamba walishaachana kwa kuwa hawakuwa na maelewano na ni kama ndoa haikuwepo. Walishasuluhishwa ikashindikana. Ila Bado mwanamke alikuwa hajahamisha Mali zake kutoka kwenye nyumba ya mwanaume (aliikuta alipoolewa).
Pía alijitetea alinificha kwa kuwa aliogopa nitamwacha.
Mipango iliyopo: amesema anatoa talaka kisha mengine yaendelee kama yalivyopangwa.
Sasa wazoefu na wasio wazoefu naomba mnishauri nifanyejee?? Maana siko vizuri.
Nyongeza:
Tuliwekwa kikao mimi yeye mkewe na ndugu zake. Nikamuuliza alikuwa wapi mbona ckuwahi kumsikia Hata cku moja wala kumuona? Mkewe alikiri kutokuwa vizuri na mumewe na pía ashapata mwingine. Na watu wote walikiri kwamba ile ndoa kiuhalisia ilibaki vyeti. Na ndio wakashauri talaka ili kila mtu awe huru.
Bwana ameomba msamaha sana na anatishia Hata kujiua.
unavyong'ang'ania hiyo ndoa bila shaka ni 35+ ULIPOKUWA BINTI ULIRINGA SANA SAVI HATA MUME WA MTU UNAKOMAA NAE TU
Ok, pole!
IWAPO WAKATI MALI HIZO ZILICHUMWA WAKIWA BADO HAWAKUPEANA TALAKA KISHERIA(which is true)
Dada atagawana nae tu, huna namna ya kuzuia!
Unless kama umiliki wa hizo mali unasoma tarehe za nyuma ya ndoa yao.
BADO NI MUME WAKE HUYO, until wamepeana talaka!
Sikushauri kuanza au kuendelea kuinvest nae huyo mwanaume mpka hapo utakapooneshwa talaka yao!
Mkuu kasema nyumba hakujenga nae istoshe ushahidi ndio utatoa judgment kua wagawane mali plus nyumba,au wagawane vyombo,fenicha etc
Oh okey!So far mahakama ishaweka wazi kwamba hakuna cha kugawana ila mke kaomba rufaa. Kila siku anapiga simu kumtukana kaka
Oh okey!
REKODI MATUSI mama!
REKODI ILI AWAAACHE MJILIE HUBA LENU!
anaamini mwanaume anasumbuliwa tu!
well anaweza kuwa ametengana na mkewe lakini mradi hakukuwa na talaka na hakukuwa na ndoa nyingine inayotengua ndoa ya kwanza ambayo kimsingi ilikuwa sio yenye sifa ya mitala!
Bi Mrs Bishanga ajue tu kuwa ana kekundu anachezewa!
Umefanya sahihi!Mwanaume ni mkimya huwa si mtu wa drama. Sasa na mimi sitaki kujiweka mbele sana kwenye hayo maswala yao. Binafsi nimeamua kuwaachia wenyewe na nimempa uhuru kwamba yuko huru kurudi kwa mkewe kama anaona ni sawa na kama anaona si sawa basi akamilishe talaka haya mambo yafikie mwisho.
SAFIII!Mwanzoni niliumia lakini kwa sasa niko 50/50 nakimbizana na ndoto zangu. Kama kekundu watakuwa wanajichezea wenyewe.
anaamini mwanaume anasumbuliwa tu!
well anaweza kuwa ametengana na mkewe lakini mradi hakukuwa na talaka na hakukuwa na ndoa nyingine inayotengua ndoa ya kwanza ambayo kimsingi ilikuwa sio yenye sifa ya mitala!
Bi Mrs Bishanga ajue tu kuwa ana kekundu anachezewa!
Ww unaamini kama ninavyoamini. Hua nashangaa sana watu wanaoteseka na ndoa kisa makaratasi.Shida kila mtu anataka kuwa na cheti Cha ndoa.
Mwanaume ambaye alishaoa na haishi na mumewe unahangaika na talaka za mkewe za nini?
Na Mali alizochuma mwanzo zinakuhusu nini!
Anzeni maisha upya, zaeni watoto na investment zenu zote wekeni kwa majina ya watoto.
Watu wataelewa tu, yupi ni mke wa jamaa na yupi ni makaratasi. Mwanaume mwenye ubongo kama wangu vile vikaratasi vya kanisani ni kuhalalisha tu kwenye utambulisho wa kiserikali.
Haviwezi kuniletea shida maisha yangu yawe magumu kisa eti vyeti!!