Maisha ni safariSikia dada yangu,huyo ni mmeo wala usihofie ule uongo. Kuna wakati wanaume huwa tunalazimika kudanganya baada ya kujua huyo mtu uliyenaye anataka kusikia nn! Yaani km mwanamke nampenda,na nnajua kuna vitu hapendi nitasema uongo kwenye hiyo category. Nikuhakikishie huyo mtu wala usihangaike na talaka,talaka ni makaratasi tu,mtakuwa mnachelewa tu kuanza kutengeneza familia. Kumbuka ndoa ya kanisani haina talaka. Mimi nilioa mwaka 1997,lkn kufikia mwaka 2005 ndoa yangu ilikuwa jehanam. Lkn nilivumilia kulinda heshima ya watoto wangu. Mwaka 2008,nilipata mtu na nikaanza naye urafiki nikiwa ndani ya ndoa. Sikuwa nimemuacha mke wangu,na muda mwingi niliutumia sana kwa mke wangu ingawa ukweli ndoa haikuwepo. Mwaka 2010 nikabahatika kupata mtoto na huyo rafiki yangu,huyu wa ndoa hata kujamiiana tulikuwa tumeacha. Tulibaki hivyo,na hakujua km nimezaa nje na nilikuwa kila ijumaa jioni naenda kwa mpenzi wangu narudi jpili. Mwaka 2013 niliumwa jicho na kufanyiwa upasuaji,nilikuwa nahitaji mtu mwenye upendo nami kunihudumia. Hapo ndo ulikuwa mtihani. Nilichagua kwenda kwa mke wangu wa ndoa baada ya kutoka hospital. Lkn kilichonipata Mungu anajua,siku 3 baadae nikaita taxi nikatimkia Kwa mpenzi wangu. Na siku iliyofuata nikampigia simu mke wangu nikaweka wazi uhusiano wangu na kwamba tayari tulikuwa na mtoto wa miaka 3. Hakuweza kustahimili zile taarifa,kesho yake akapeleka canter akabeba kila kitu cha ndani na watoto wangu akawaacha hapo. Sikumfanya chochote,kesho yake nikaenda keko nikanunua fenicha zote mpya. Na maisha yanaendelea na yule aliyekuwa mpenzi wangu,ndo mke wangu hadi leo. Na huwezi amini yaani hapa naona km nimekutana naye jana tu. tunapendana ile mbaya na tayari tuna mtoto mwingine now ana miaka 4. Baada ya maelezo haya marefu,leo ukienda usirudi tena kule kwako..
Baby kwanini unamfundisha mwenzio tabia mbaya ?Pole kwa mkasa,,, fanya hivi usimuache saiv maana upo kwenye mshtuko endelea nae huku ukitibu jeraha lako, ukijiona umepona mbwage
Baby kwanini unamfundisha mwenzio tabia mbaya ?
Mimi namshauri hamsamehe tu na maisha yaendelee.
Kwaiyo bora avumilie tu
Afie hapohapo kabisaaa
Kumbe alikuja kuongeza nyama baadae baada ya kuona futa limezidi.Kabla hajaongeza maelezo mengineyo hilo ndo lilikuwa jibu sahihi
hicho ndo alichonijibu pía. Alitaka amalize maana aliogopa kuachwaKwa hili kuficha ni amekosea, msamehe
Lakini yawezekana ni kwasababu mgogoro ulikuwa haujafikia talaka na pengine alihofia kukwambia utamuacha,, lakini kukubali mkaweka kikao na mtalaka wake mtarajiwa basi ni wazi anakupenda
Kukuficha ni kuchanganyikiwa huku home kimenuka arudi kwako baby wake akuelezee dah kiubinaadamu kuna hali ya kusema acha nimalize hili ndo nimwambie sasa
Wanawake mkiambiwa ukweli huwa mnagoma.Amante kwa kutumia mda wako kunipa ukweli. Huyo mwanamke niKweli haishi humo kwakuwa Hata kazi anafanyia mbali na hapo kwa mumewe. Me binafsi ninachoumia ni ile kuficha ukweli wa jambo zito kiasi hicho.
Kweli niko heartbroken. Nadhani nikipona naweza amua otherwise.
Nilikwepo kwenye kikao.Mimi ni mwanamke
Nipo kwenye mahusiano ya kuishi pamoja kupika na kupakua na mwanaume Mwenye miaka 45 kwa muda wa miaka 3 Huku tulipanes Mipango yakuoana. Wakat tunaanza alidai Ana watoto 2 (ke na me) mama tofauti ila hajawaoa. Na mtoto mkubwa anaishi na shangazi yake. Anadai alichelewa kuoa kutokana na ugumu wa maisha aliyokulia na pia alihaso sana hadi Leo kufikia alipo.
Kuna kipindi niliwahi kupata tetesi kwamba améoa ila alikataa katakata. Juzikati alipata msiba wa moja ya mzazi wake ikabidi aende ila alikataa mimi nisiende. Baada yayeye kuondoka nikapanga Safari nikamfwata ila nilipofika stand akanipotezea hakuja kunipokea.
Niliamua kutumia mbinu zangu hadi kufika kwao na kukuta msiba.
Nilishangaa kukuta ameoa tena ndoa ya kanisani. Tulipokaa na kuzungumza alijitetea kwamba walishaachana kwa kuwa hawakuwa na maelewano na ni kama ndoa haikuwepo. Walishasuluhishwa ikashindikana. Ila Bado mwanamke alikuwa hajahamisha Mali zake kutoka kwenye nyumba ya mwanaume (aliikuta alipoolewa).
Pía alijitetea alinificha kwa kuwa aliogopa nitamwacha.
Mipango iliyopo: amesema anatoa talaka kisha mengine yaendelee kama yalivyopangwa.
Sasa wazoefu na wasio wazoefu naomba mnishauri nifanyejee?? Maana siko vizuri.
Nyongeza:
Tuliwekwa kikao mimi yeye mkewe na ndugu zake. Nikamuuliza alikuwa wapi mbona ckuwahi kumsikia Hata cku moja wala kumuona? Mkewe alikiri kutokuwa vizuri na mumewe na pía ashapata mwingine. Na watu wote walikiri kwamba ile ndoa kiuhalisia ilibaki vyeti. Na ndio wakashauri talaka ili kila mtu awe huru.
Bwana ameomba msamaha sana na anatishia Hata kujiua.
Asante kwa kushirikiiNilikwepo kwenye kikao.
Funga ndoa wacha uoga,ukiharibu yatakukuta kama yalimkuta anayeandikiwa talakaMimi ni mwanamke

Wanawake mkiambiwa ukweli huwa mnagoma.
Dawa Ni kuwadanganya tu.
Cha kufanya hakikisha unapata unachokihitaji kwa moyo wako kuwa na amani.
Haya Mambo ya kuwa na mume wako peke yako ushakosa Tena.
Wewe Ni mke wa pili au tatu kabisa.!!
Prepare your future.
Tatizo huwezi kufunga ndoa ya kanisaniNilisisitiza talaka pia. Na kama akipotezea ntamuacha nitakapopata nguvu. Mali añadai hawakuchuma chochote pamoja maana amani ilidumu kwa mwaka mmoja tu baada ya hapo maruerue. Vitu vyote alivikuta
Information is power.Msamee tu mrudi home maisha yaendelee ila tabia ya kukatazwa Jambo na kung'ang'ania sio nzuri utakuja kufa bure mtu akikukataza Jambo uwe unaelewa maana umekuta ayo ungekuta makubwa zaidi si ungeumia moyo na kumwacha je ungepata faida gani kiranga si kizuri
Msamehe tu muendelee kufaidi edenhicho ndo alichonijibu pía. Alitaka amalize maana aliogopa kuachwa
Nimeng'ang'ania nn sasa na kiranga changu ni kipii?? Sasa nisingeenda si nisingeujua ukweliMsamee tu mrudi home maisha yaendelee ila tabia ya kukatazwa Jambo na kung'ang'ania sio nzuri utakuja kufa bure mtu akikukataza Jambo uwe unaelewa maana umekuta ayo ungekuta makubwa zaidi si ungeumia moyo na kumwacha je ungepata faida gani kiranga si kizuri