Mkasa wa kweli: Mikito ya kimapenzi Shule ya Boarding

Mkasa wa kweli: Mikito ya kimapenzi Shule ya Boarding

Kwanza kabisa nianze kwa kuwasalimu wale wote mliosoma katika shule za boarding kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... ama kweli, tuliupiga mwingi! Nilisoma shule moja ya kibabe inayopatikana mkoani Kilimanjaro, Kuna kitu kinaitwa Interschool Bush!

Basi bhana! Sherehe ikapangwa, usiku wa siku ya kesho ya sherehe watu waliandaa kodi zao, waliofahamiana na viongozi walikimbizana ofisini kwa ajili ya kuzinyoosha nguo zao! Kundi jingine la wanafunzi lilimwelekea Waziri wa Social kwa ajili ya kujipatia kuponi kwa shilingi elfu nne tu! Wakina sisi tulioiota kesho yetu tulikuwa kwenye darasa mojawapo kwa ajili ya kuendelea na liheso ili siku ya kesho yake watu wapate mtumbuizo wa namna yake kutoka kwetu! Dancers walifanya mazoezi yao kama kawaida!

Siku ya kesho yake mida ya saa tatu hivi, hiace nne ziliingia shuleni hapo, kisha sketi za kupendeza kwa sura, shape na mavazi ziliteremka kwenye hiace tayari kuelekea mapokezi! Walikuwa ni warembo haswa! Mamen ambao walikuwa wagumu kutoa mchango walining'inia madirishani kwenye floor za ghorofa za aggrey kuona kama wataupunguza ugwadu kwa macho! Huku wengine waki save images za watoto wale wazuri ili ziwasaidie hapo baadae!

Case study, tumzungumzie binti mmoja tumpe jina la Catheline ambae nahisi ndo alikuwa mzuri kuliko wote, mwenye kisauti fulani hivi cha mahaba, shape lake sijaona kwa star yeyote hapa bongo, trackle mbinuko na kamwili fulani hivi, mtoto ambae babae ni mrwanda na mama yake ni mtanga! Binti huyo alipokelewa na rafiki yangu, tumpe jina "M" ,kwa ucheshi wake akawa kanipiga gap, nikaamua kuachana na Catheline na kutafuta mwingine! Basi bhana sherehe ikafana mpaka muda wa kuperform nikapanda stagin nikaporomosha verse!

Watu walishangilia uimbaji wangu na sauti tamu iliyoshusha melody nyingi zaidi ikiwa ni pamoja na Iyola ya Harmonize! Baada ya hapo, nilitoka nje ya ukumbi huku nikisindikizwa na macho ya warembo waliokuwa kwenye seat na mabasha wao! Nikasogea fish pond nikawa nimetulizana huku nakunywa maji yangu baridi! Dakika si nyingi, Mwalimu mmoja, labda tumpe jina la Benteke, alisikika akisema,"Wageni mnaruhusiwa kutoka nje walau kuangaza mazingira ya shule yetu!

Chonde Chonde, tusione mgeni yeyote akielekea maeneo ya nyuma ya shule ama sehemu hatarishi kwa afya yake" Baadhi ya wasichana walikuwa wakitoka nje wakimpuuza mchekeshaji aliyekuwa stegin anachekesha huku anatia huruma, labda tumuite Rostam ili tusijichanganye mbele ya simulizi!

Ghafla bin vuu, sauti ya mwanadada iliskika maskioni kwangu, mwanadada ambae hakufunga vishkizo viwili vya shirt yake nyeupe peee iliyonyooshwa na pasi ya gesi! huku mwili wake ukisambaza harufu ya kuvutia ya aroma, kisketi chake kifupi kilichoyaacha mapaja yake nje bila kuyahurumia! alinisogelea kisha kunitizama usoni, macho yake yalikuwa meupe pee yenye kulialia.

Kabla ya kuongea chochote alivua cheni yake iliyokuwa na letter C kisha kunivisha shingoni kwangu, akasogeza kiti mbele yangu akavishika viganja vyangu kwa viganja vyake, ndipo nilipomuona Mzabzab kwa mbali aliyekuwa anakuja upande wetu huku amefula hasira kali kwa ajili ya kuliamsha tifu katika shule yetu hiyo ya kibabe!

Narudi sasa hivi kuendeleza kisa...
Ng'ari Ng'ari
 
Lyamungo na machame hiyo au lyamacha madogo mmefaidi Sana ss Kaka zenu hatujawahi fanyiwa hizo Mambo kutokana na utukutu wetu , Ila umenitamanisha sana
 
hapo fish pond na domitory la aggrey
[emoji23][emoji23]& H+r+m+b+e²
Mkuu, mimi sijasema chochote kitu, ngoja mods waje watishie kufuta uzi [emoji26][emoji26]
images.jpg
 
Inaendelea:
Basi bhana, Mzabzab akaishia njiani baada ya kuona binti amekuwa karibu sana na mimi!

Maongezi yangu na Catheline yalifana sana, ndipo aliponiambia asili ya wazazi wake na kunambia wao wapo Tanga! Alizungumza mengi pamoja na kunisifia kuhusu uimbaji wangu. Wanafunzi walikuwa wakitutazama tu kwa wivu wa kiwango chake! Baada ya hapo nilirudi bwenini kwa muda. Nusu saa baadae baada ya hotuba ya mwalimu mkuu kuisha nilirejea maeneo ya sherehe, ndipo kumuona Catheline akiwa na marafiki zake wanne wamemzunguka Mzabzab, sijui walikuwa wanaskiliza nini kutoka kwake, muda huo wanakula chakula! Vyakula havikumalizika kwenye sahani zao, walikuwa wakila kidogo sana na kuacha, muda wote huo nilikuwa nawa zoom tu kwa mbali huku roho inaniuma!

Hatimaye ulifuata muziki, watu wakabambia vya kutosha, couple za kutosha zilionekana, ilifikia stage, ukumbi ukageuka casino, wadada walipandishiwa mizuka sio poa! Ikafikia stage dj akaanza kupiga miziki ya slow motion hasahasa zile za misosi za akina John Elton kama Sacrifice! Watu wakacheza kwa mahaba sana, nilishuhudia jinsi ambavyo Catheline alikuwa tayari wa moto huku akiwa kamkumbatia Mzabzab, mikono yake ikizunguka mgongo wa Mzabzab! Muda huo wanabadilishana mate kwenye pembe moja ya jengo huku mtoto wa watu akiwa anapapaswa na kubinywa binywa (sio chai, mliosoma boarding mkahudhuria mabash ya Advance, naomba mseme kitu)

Nifupishe story kwa kusema kuwa kuna wadada walipigwa pmb location tofauti hasahasa toilets, lakini kama unaongea vizuri na viongozi hata mahala pazuri pa show ulipewa! Catheline alikuwa mhanga wa tukio!

Nilirudi bwenini kulala, nikapata na homa, kile kihoma cha wivu wivu na maumivu fulani hivi ya moyo!

Siku zikaenda lakini baada ya mwezi mmoja tulipata taarifa kuwa katika shule ya H kuna wasichana sita wamebainika kuwa ni wajawazito! Katika kuulizia ulizia, kumbe na Catheline ni mmoja wao, pia deputy wao nae dhoruba lilimsomba! Muda huo mzabzab hana raha hata kidogo, ni full wasiwasi, moyo wangu ulikuwa na maumivu, ikizingatiwa nina kimemo kutoka kwake alichonitumia ndani ya wiki mbili zilizopita! Kweli masomo lazima yakuelemee, muda huo Sir wa Phys anawakatia Electronics, Dah!

Kengele ikagongwa tukakusanyika assemble, mwalimu mkuu akatokeza mbele akiwa na karatasi....

Ngoja niende kuoga kwanza, ntarudi tuendeleee....
 
Inaendelea:
Basi bhana, Mzabzab akaishia njiani baada ya kuona binti amekuwa karibu sana na mimi!

Maongezi yangu na Catheline yalifana sana, ndipo aliponiambia asili ya wazazi wake na kunambia wao wapo Tanga! Alizungumza mengi pamoja na kunisifia kuhusu uimbaji wangu. Wanafunzi walikuwa wakitutazama tu kwa wivu wa

Kengele ikagongwa tukakusanyika assemble, mwalimu mkuu akatokeza mbele akiwa na karatasi....

Ngoja niende kuoga kwanza, ntarudi tuendeleee....
Dah,we jamaa ilikuaje ukamuachia mtoto aisee...dah
 
Inaendelea

Mwalimu wa nidhamu alikuwa akija assemble kwa mwendo wa taratibu huku wanafunzi tukiendelea kukusanyika mahala pale, haikuwa kawaida yake kumuona assemble maana alikuwa ni mwalimu fulani asiyependa kukaa assemble labda ikiwa zamu yake. Alionekana akiwa na sura ya hasira kitu ambacho hakikuwa kawaida yake.

Wakati huo rafiki yangu mzabzab alikuwa amekaa pembeni yangu huku akikunja vidole mkononi mwake na kung'ata midomo yake. Nikamuuliza kaka vipi, akajibu hajisikii vizuri, mara muda kidogo akaondoka pale nilipokuwa nimekaa akaenda kukaa nyuma kabisa ya mstari.. Kutokana na kuwa mimi ni mfupi na nilikuwa nataka kusikia kwa makini yale yaliyomo kwenye ile karatasi basi ikabidi nibaki na kumuacha mzabzab akienda kukaa nyuma mistarini.

Hamjambo wanafunzi?? Alisikika mwalimu wa nidhamu akisema huku sauti yake ikiwa inakwaruza kwaruza, tuliitikia hatujambo shikamoo mwalimu, lakini hakuitikiaa salamu yetu kama tulivotarajia, akasema mngekuwa na heshima kiasi hichi msingefanya ambayo mmeyafanya. Kila mtu alionekana kuwa makini na yale ambayo mwalimu alikuwa akisema juku minong'ono ikisikika nyuma yangu ikisema oyaaa mazeee kimenukaa babaaa.

"Sikuwa nategemea kuwa nitapoteza wanafunzi hawa katika shule yetu na hasa katika darasa langu kwa makosa ya kipuuuzi na kijinga kama haya" alisikika mwalimu wa nidhamu akiyasema kwa jazba sana. Ikumbukwe piaa mwalimu wa nidhamu ni mwalimu wetu wa somo la biolojia. Mbali na kuwafundisha namna mbalimbali za kuweza kuepuka mimba zisizo tarajiwa lakini upuuzi mlioufanya napata shida kujua kama huwa naeleweka darasani, eti rikiboy niia zipi nilifundisha ili kuepuka mimba zisizotarajiwa???, Huyu rikiboy alikuwa ni mwanafunzi mkorofi na allikuwa ni mkubwa kwetu hivyo ameyaanza mapenzi mapema piaa alikuwa mwanafunzi mchangamfu hivyo akafahamika na walimu wengi na wanafunzi pia. Rikiboy akajibuu "nakumbuka sir ulisema kutumiaa kondomi, kumwagia njee hizo ndio nazo zikumbukaa sir" .... Mwalimu akajibu sasa ninini mlichonifanyiaa huko ...rikiboy akajibu tenaa "sir utamu ukizidi huwez kumbukaa kumwaga njeee na pia kondomu tungepatia wapi labda next time ziletwe siki moja kabla ya bash"[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] basi wanafunzi tukachekaa sanaa . Lakini mwalimu hakuonekana kuwa na furaha na ule utani.

Akamuita Mzabzab palee mbelee.......

Itaendelea wakuu
 
Hapo mbele ukiwa unaelekea aggrey palikuwa panateleza msimu wa mvua niliwahi dondoka nusu nife [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi mwenyewe niliteleza kwenye ngazi za aggrey, kilikuwa ni kipindi cha mvua, muda huo form v wanadeki[emoji23] nikaangukia kiwiko, mkono ulikufa ganzi! Nikajua kiuno ndo basi, nilikuwa nimeshikilia kaluu, ikapasuka pasuka!

Niliacha wamepafanya rough kuondoa utelezi, ila ndo kwanza wameharibu mwonekano!

Vyoo vya aggrey sio poa
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaendelea

Mwalimu wa nidhamu alikuwa akija assemble kwa mwendo wa taratibu huku wanafunzi tukiendelea kukusanyika mahala pale, haikuwa kawaida yake kumuona assemble maana alikuwa ni mwalimu fulani asiyependa kukaa assemble labda ikiwa zamu yake. Alionekana akiwa na sura ya hasira kitu ambacho hakikuwa kawaida yake.

Wakati huo rafiki yangu mzabzab alikuwa amekaa pembeni yangu huku akikunja vidole mkononi mwake na kung'ata midomo yake. Nikamuuliza kaka vipi, akajibu hajisikii vizuri, mara muda kidogo akaondoka pale nilipokuwa nimekaa akaenda kukaa nyuma kabisa ya mstari.. Kutokana na kuwa mimi ni mfupi na nilikuwa nataka kusikia kwa makini yale yaliyomo kwenye ile karatasi basi ikabidi nibaki na kumuacha mzabzab akienda kukaa nyuma mistarini.

Hamjambo wanafunzi?? Alisikika mwalimu wa nidhamu akisema huku sauti yake ikiwa inakwaruza kwaruza, tuliitikia hatujambo shikamoo mwalimu, lakini hakuitikiaa salamu yetu kama tulivotarajia, akasema mngekuwa na heshima kiasi hichi msingefanya ambayo mmeyafanya. Kila mtu alionekana kuwa makini na yale ambayo mwalimu alikuwa akisema juku minong'ono ikisikika nyuma yangu ikisema oyaaa mazeee kimenukaa babaaa.

"Sikuwa nategemea kuwa nitapoteza wanafunzi hawa katika shule yetu na hasa katika darasa langu kwa makosa ya kipuuuzi na kijinga kama haya" alisikika mwalimu wa nidhamu akiyasema kwa jazba sana. Ikumbukwe piaa mwalimu wa nidhamu ni mwalimu wetu wa somo la biolojia. Mbali na kuwafundisha namna mbalimbali za kuweza kuepuka mimba zisizo tarajiwa lakini upuuzi mlioufanya napata shida kujua kama huwa naeleweka darasani, eti rikiboy niia zipi nilifundisha ili kuepuka mimba zisizotarajiwa???, Huyu rikiboy alikuwa ni mwanafunzi mkorofi na allikuwa ni mkubwa kwetu hivyo ameyaanza mapenzi mapema piaa alikuwa mwanafunzi mchangamfu hivyo akafahamika na walimu wengi na wanafunzi pia. Rikiboy akajibuu "nakumbuka sir ulisema kutumiaa kondomi, kumwagia njee hizo ndio nazo zikumbukaa sir" .... Mwalimu akajibu sasa ninini mlichonifanyiaa huko ...rikiboy akajibu tenaa "sir utamu ukizidi huwez kumbukaa kumwaga njeee na pia kondomu tungepatia wapi labda next time ziletwe siki moja kabla ya bash"[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] basi wanafunzi tukachekaa sanaa . Lakini mwalimu hakuonekana kuwa na furaha na ule utani.

Akamuita Mzabzab palee mbelee.......

Itaendelea wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana usiku huu wa saa sita usiku! Nimecheka sana aisee!

Hapa, ngoja niwaite hawa waje waseme neno! rikiboy mzabzab Smart911 Depal cocastic to yeye Kunguru wa Manzese Zee Korofi mpwayungu village
 
Back
Top Bottom