Sehemu ya mwisho
Hakukuwa na cha ziada zaidi ya kupewa updates kuhusu wale kina dada kubainika kuwa ni wajawazito na kuelezwa kuwa sababu kubwa ilikuwa ni sisi na kilichopelekea ni ile bush! Hivyo sherehe za namna hiyo zikawa zimepigwa marufuku. Sasa ukawa ni mchaka mchaka wa masomo, ikawa ukibainika hata mguu mmoja uko nje ya eneo la shule, ujue umekwenda na maji!
Tulipata taarifa kuwa wale wakina dada sita wamefukuzwa shule rasmi na hata hakuwepo hata mmoja wao aliyefunguka kuwa mimba ni ya nani
Masomo ya Advance yalikwenda vizuri, tukahitimu, tukaingia mtaani...
Mwezi mmoja baada ya masomo nikaenda kutembea DSM. Siku moja nikiwa katika tembea tembea za huku na huko nikakutana na wakina dada wawili wamevaa madera, halafu huko nyuma wamejazia, wanatembea huku yanasuguana, nikaamua niwafuate kwa nyuma wanakoenda ili niuonje utamu ule kwa macho ili uje unisaidie hapo baadae kwenye u CHAPUTA! Wakati tuko njiani sambamba, wale wanadada waligeuka, yule wa upande wa kushoto alinitazama kwa nusu dakika, tukajikuta tunashangaana sote! kumbe alikuwa ni Catheline!
Ameongezeka mwili, tracle lipo la kutosha, sio tena yule, ingawaje hapa maisha yanaonesha kumpiga kwa kiasi fulani! Nikaamua kusogea karibu ili kuzungumza naye mawili matatu. Akanambia kwa sasa ameolewa na mwanaume japo sio wa rika yake (41 yrs) na wanalea mtoto wa Mzabzab na soon anategemea kumbebea ujauzito mwanaume huyo kama shukrani! Anasema kimaisha anajitosheleza kimahitaji japokuwa mmewe alimkatalia kujishughulisha na ujasiriamali wa aina yoyote ile, pia aliniambia kuwa rafiki yake kipenzi, mmoja kati ya wale waliokuwa wakimsikiliza mzabzab siku ile, naye alikumbwa na tukio, inasikitisha sana aise[emoji26]
Basi bhana, nikachukua mawasiliano yake, mwisho wa siku nikakutana nae Ubungo akiwa na mwanae kwenye pikipiki, ama kweli mtoto kafanana na Mzabzab sio poa! Wiki moja baadae nilimuomba mbususu nimchakate, alikubali bila hiyana, aliileta nikaichakata. Kwa kufupisha story alinitunuku tunda mara nne! Akanambia kuwa anaenda kuwatembelea kwao Tanga, lakini tokea kipindi hicho nilipoteza mawasiliano nae!
MWISHO