Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
- Thread starter
- #161
Wasalimie jamaa zako wa mwananyamalandio mimi mwenyewe
Wasalimie jamaa zako wa mwananyamalandio mimi mwenyewe
baada ya salam??Wasalimie jamaa zako wa mwananyamala
WasalimieNgojja niende fb kwako nikacheke
hahaaa mamaee " hizo nguvu za kucheza karata wamezitoa wapi hao"... huyo waliyemtoa chambo kwenda kumuangalia huyo so called harish ni zwazwa wa kiwango cha SGR .. mimi nisingekubali AiseeSEHEMU YA 08
Mara kwa mara nilikuwa nikitupa macho kila upande wa chumba hicho kwa hisia kwamba Harishi angeweza kutokea mle chumbani.
Asubuhi kulipokucha Yasmin alikuja kutugongea mlango.
“Amkeni. Kumeshakucha” Alikuwa akituambia wakati akigonga. Tukatambua kuwa alikuwa ni yeye.
Tukafungua mlango.
“Mmeamkaje?” akatuuliza.
“Tunashukuru tumeamka salama” nilimjibu kwa niaba ya wenzangu.
Wenzetu waliolala chumba kingine walikuwa hawana habari ya tukio lililotokea usiku. Nikawaeleza mbele ya Yasmin. Wakasikitika sana na kupata hofu.
“Sasa nendeni mkaoge halafu niwaandalie chai” Yasmin akatuambia.
Tukaenda kuoga. Kwanza waliingia watu wanne kwa vile vyoo vilikuwa vine. Walipotoka nikaingia mimi na mwenzangu.
Yasmin akatuandalia chai pale sebuleni. Ilikuwa chai iliyotengezwa kwa maziwa ya unga na iliyoungwa kwa iliki, tangawizi na bdalasini. Pia alitupa mikate iliyotengezwa kwa mayai.
SASA ENDELEA
Yeye mwenyewe alikunywa chai pamoja na sisi. Nikamuona amefurahi na kuchangamka licha ya kwamba usiku wa jana yake tu tulishuhudia machungu ya kuuawa mwenzetu.
“Ningekuwa nakula na wageni kila siku namna hii ningechangamka, lakini mh!” Yasmin alisema kama aliyekuwa akisema pek yake.
“Ni kweli Yasmin lakini tutafanyaje? Tunapenda kukusaidia lakini hatuna uwezo. Kama hivyo umeona mwenzetu ameshauawa na sisi hatujui maish yetu yatakuwaje!” nikamwambia Yasmin kwa huzuni.
“Kusema ukweli napenda niendelee kuwa na nyinyi hapaili nipate wenzangu wa kuzungumza nao. Lakini haitawezekana nyinyi muwepo hapa mkiwa hai.”
“Na pia hatuna mahali pengine pa kwenda” nikamwambia Yasmin.
“Huu ni mtihani. Sijui mtatumia mbinu gani muwe salama”
“Labda tuendelee kujifichaficha humu ndani” Mwenzetu mmoja akaingilia yale mazungumzo.
“Humu ndani atawagundua tu” Yasmin akamjibu.
“Sasa tutakwenda wapi jamani!”
“Mimi sijui niwambie nini ndugu zangu!” Yasmin akatuambai.
Tulipomaliza kunywa chai Yasmin aliondoa vyombo. Alituacha tumekaa tukiendelea kujadiliana. Baadaye kidogo alirudi akiwa na karata.
“Hizi karata ziko siku zote. Huyu mwendawazimu ananiletea. Lakini sina mwenzangu wa kucheza naye”
Tulipoona karata tukazunguka duara. Yasmin akakaa na kutugawia.
“Tunacheza mchezo gani?” nikamuuliza Yasmin.
“Tunacheza mchezo wa arbasitini”
Mchezo huo ulikywa maarufu kule Zanzibara na Comoro.
Tukaanza kucheza karata. Tukasahau kabisa habari ya Harishi. Mchezo ulinoga sana. Kelele zetu zikawa zinasikika hadi nje.
Ilipofika saa tano Yasmin akavunja mchezo na kutuambia tukatembee tembee. Tukiona jua la saa saba ndio turudi kula chakula. Mda ule alitaka kwenda kupika chakula.
“Niwapikie nini?” akatuuliza.
“Tupikiechochote tu utakachopenda” nikamwambia.
“Basi nitawapikia pilau”
“Tutashukuru sana”
“Sasa mtakapokuja, kwanza mchungulie na kusikiliza. Mkimuona Harishi msiingie ndani, rudini huko huko mtakakotoka. Anaweza kuja ghafla”
“Tumekuelewa” nilimjibu.
Baada ya hapo tulitoka tukarudi kule kwenye boti letu.
Ni tabia ya maumbile ya binaadamu kutokata tama na kujaribu kubahatisha kila mara hasa kwa watu kama sisi ambao tulikuwa katika hatari. Kwa mara nyingine tulijaribu tena kuliwasha lile boti. Kila mmoja wetu alijaribu kuliwasha bila mafanikio.
Tukakaa chini ya mti na kuanza kujadiliana. Hata hivyo mjadala wetu ulikuwa kama usio na maana yoyote kwani haukutupa ufumbuzi wa jinsi ya kusalimisha maisha yetu.
Kikubwa tulichokizingatia ni kujaribu kumkwepa Harish kadiri itakavyowezekana. Tuliona kama tutafanikiwa kumkwepa tunaweza kuendelea kuishi.
Tuliendelea kukaa pale chini ya mti hadi saa saba tulipoamua kurudi kwa Yasmin. Tulimtuma mmoja wetu aingie akachunguze kama Harishi yuko ndani aje atuambie.
Mwenzetu huyo akaingia ndani. Sisi tukawa tunamchungulia kwenye dirisha. Alinyata hadi ndani. Tukawa hatumuoni tena. Tukahamia kwenye dirisha jingine. Tukamuona amesimama pembeni mwa ukumbi akiangalia huku na huku. Akaenda jikoni kuchungulia kisha akatoka.
Alipotoka jikoni alikwenda moja kwa moja kwenye mlango wa chumba cha Yasmin na kutega masikio yake kwenye mlango. Alisikiliza kwa muda kidogo kisha akaanza kugonga mlango taratibu.
Mlango ukafunguliwa ghafla. Aliyetoka alikuwa Yasmin. Alitoka haraka haraka akaufunga mlango kisha akamuashiria yule jamaa aondoke. Nikajua kuwa hapakuwa salama.
“Moshi unajaa kwenye chupa, Harishi anakuja!” Yasmin alimwambia.
Yule mwenzetu aliposikia vile aligeuka ili aondoke lakini ghafla tena mlango ukafunguliwa. Harish akaibuka mbele ya yule mtu. Alikuwa ameshika upanga wake. Akamshika yule jamaa kwa mkono mmoja.
“Unataka ukimbie wapi wewe?” akamuuliza akiwa amemtolea macho.
ITAENDELEA
Ukaoge uende kanisani maana leo ni siku ya bwana wenubaada ya salam??
kwani ni lazima kwenda kanisani??? We tupia hiyo story bwanaUkaoge uende kanisani maana leo ni siku ya bwana wenu
Tulia basi unajua nafanya nini sahivi?Endelea basi
tupia story acha kelele@wa stendi umemuona mwanaume mwenzetu huyu anatumia ID ya kike ili anaingize watu mkenge?
Yaani mijinga kweli kweli " halafu seems like ni mi-limbukeni na kauli ya mwanamke " Anacho washauri ndio wanachokifuata" pasipo kuangalia usalama wa maisha yao ... Jinga sanaWewe jamaa kwani haujamjulia harishi shuaitwain???
Muda wankutupia stori ni baada ya saa ngapi.....Kuna kijisehemu nilicheka lkn inauma....jamaa mazembe Sana....unaogopa mvua kuliko harishi..etu tungeloa
Mkuu tulikuwa tunaogopa kulowa na mvuaYaani mijinga kweli kweli " halafu seems like ni mi-limbukeni na kauli ya mwanamke " Anacho washauri ndio wanachokifuata" pasipo kuangalia usalama wa maisha yao ... Jinga sana
Hahaaa ameota anafanywa nini ""......?? daaahhhSubra itakusaidia..usije ukamzini binti wa Rais...
Haya Mambo yapo Sana...Mimi nasumbuliwa na jini simjui.anaonekana anapenda nipige Punyeto....yawezekana anapenda shahawa....I just knew it... someone will reject it but it is....Dua zinanisaidia...ananimaliza nguvu za kiume but ninazo bado napambana nae...tangu zaman.... Nina miaka 27 sasa...na nimeoa 4 yrs katika ndoa.....
Nilikuwa nikipiga bao 4 ndani kwa ndani...saa hii...hata nikiwa na mke nakosa nguvu japo hamu ninayo na muda wa alfajir nikipiga mzigo....napiga kweli...kwa nn nguv Sina????
Huyu jini aliisha wahi kuninajisi.siku moja..nilikuwa nimelala nikahisi nalawitiwa...kitu kama maji baridii vikiingia mk.unduni pale pa kunyea aka hajakubwa. Nilisikitika sana
Hawa jamaa wapo na niwasumbufu, sijajua Kama ni sababu siku moja alinijia msichana mzur Sana....akaniambia wenzio wanakuacha...niliingia hotel flan kubwa Kula.. kweli nikaona gari inazunguka, nikanawa nlmikono nikatoka, nikawaulizlja jamaa kwa nn mnaniacha wakadai muda umeisha tuondoke, nikahoji ndio msiniambie?! Hapakuwa na jawabu la maana.....
Huyu msichana mrembo ndio uhusiano ukaanzia hapo..ni mzur kuliko kawaida...
Bado namhusisha na jini....hajaolewa yupo tu.
Alafu wanaponzwa na uroho wao yaani kila saà wao wanataka kulä tu kama makinda ya ndegewavuvi wajinga hawa.. Ningekuwa mimi ile chupa ya moshi ningeifunga kifuniko chake. Ili moshi ukijaa mchizi ashindwe kutokea mbona kazi rahisi tu hiyo.
kwahiyo mkuu Jini amekula 0713 ... hahaaa daahh bado siamini aiseeSubra itakusaidia..usije ukamzini binti wa Rais...
Haya Mambo yapo Sana...Mimi nasumbuliwa na jini simjui.anaonekana anapenda nipige Punyeto....yawezekana anapenda shahawa....I just knew it... someone will reject it but it is....Dua zinanisaidia...ananimaliza nguvu za kiume but ninazo bado napambana nae...tangu zaman.... Nina miaka 27 sasa...na nimeoa 4 yrs katika ndoa.....
Nilikuwa nikipiga bao 4 ndani kwa ndani...saa hii...hata nikiwa na mke nakosa nguvu japo hamu ninayo na muda wa alfajir nikipiga mzigo....napiga kweli...kwa nn nguv Sina????
Huyu jini aliisha wahi kuninajisi.siku moja..nilikuwa nimelala nikahisi nalawitiwa...kitu kama maji baridii vikiingia mk.unduni pale pa kunyea aka hajakubwa. Nilisikitika sana
Hawa jamaa wapo na niwasumbufu, sijajua Kama ni sababu siku moja alinijia msichana mzur Sana....akaniambia wenzio wanakuacha...niliingia hotel flan kubwa Kula.. kweli nikaona gari inazunguka, nikanawa nlmikono nikatoka, nikawaulizlja jamaa kwa nn mnaniacha wakadai muda umeisha tuondoke, nikahoji ndio msiniambie?! Hapakuwa na jawabu la maana.....
Huyu msichana mrembo ndio uhusiano ukaanzia hapo..ni mzur kuliko kawaida...
Bado namhusisha na jini....hajaolewa yupo tu.
Khaaa kwani tupo wote hadi nijue?Tulia basi unajua nafanya nini sahivi?
hahahhahahahhahahahaha uwii jaman nimecheka sana hahahhahahahaAlafu wanaponzwa na uroho wao yaani kila saà wao wanataka kulä tu kama makinda ya ndege
Mkuu umeoa miaka 23 au uliteleza?Subra itakusaidia..usije ukamzini binti wa Rais...
Haya Mambo yapo Sana...Mimi nasumbuliwa na jini simjui.anaonekana anapenda nipige Punyeto....yawezekana anapenda shahawa....I just knew it... someone will reject it but it is....Dua zinanisaidia...ananimaliza nguvu za kiume but ninazo bado napambana nae...tangu zaman.... Nina miaka 27 sasa...na nimeoa 4 yrs katika ndoa.....
Nilikuwa nikipiga bao 4 ndani kwa ndani...saa hii...hata nikiwa na mke nakosa nguvu japo hamu ninayo na muda wa alfajir nikipiga mzigo....napiga kweli...kwa nn nguv Sina????
Huyu jini aliisha wahi kuninajisi.siku moja..nilikuwa nimelala nikahisi nalawitiwa...kitu kama maji baridii vikiingia mk.unduni pale pa kunyea aka hajakubwa. Nilisikitika sana
Hawa jamaa wapo na niwasumbufu, sijajua Kama ni sababu siku moja alinijia msichana mzur Sana....akaniambia wenzio wanakuacha...niliingia hotel flan kubwa Kula.. kweli nikaona gari inazunguka, nikanawa nlmikono nikatoka, nikawaulizlja jamaa kwa nn mnaniacha wakadai muda umeisha tuondoke, nikahoji ndio msiniambie?! Hapakuwa na jawabu la maana.....
Huyu msichana mrembo ndio uhusiano ukaanzia hapo..ni mzur kuliko kawaida...
Bado namhusisha na jini....hajaolewa yupo tu.
hahaa mkuu Yaani mkiahidiwa pilau tu " Akili zina waruka " Mnapenda kula kula kama panya road ... haya ona huyo mwingine nae papuchi imemponza mwisho wa siku amekufa"... Hivi kwenye mazingira kama hayo Hata dushe lina simama kweli .. duh!!!! kuna watu wana vipajiMkuu tulikuwa tunaogopa kulowa na mvua