NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,863
- 5,155
Imenikumbusha safari7 za marehemu Sindbard Alfu lela ulela
Kweli mkuu nimeiona google imeishia hapo na iliwekwa tangu 2017 FacebookHahaha kwanini mlumbane, hadithi hii imeishia hapo, uki google utaipata huko imeandikwa hivyo hivyo na ikaishia hapo hapo. Msione aendelei, ndio imeisha anakoitoa, mumshukuru kwa moyo wa ku share nasi.
Uki-gooogle unaandikaje itokeeKweli mkuu nimeiona google imeishia hapo na iliwekwa tangu 2017 Facebook
Hivyo hivyo kisiwa cha harishUki-gooogle unaandikaje itokee
Hahaha hata kama ni ujinga huu ni wa kurogwaYaani mijinga kweli kweli " halafu seems like ni mi-limbukeni na kauli ya mwanamke " Anacho washauri ndio wanachokifuata" pasipo kuangalia usalama wa maisha yao ... Jinga sana
hahahahaaaaWewe jamaa kwani haujamjulia harishi shuaitwain???
Muda wankutupia stori ni baada ya saa ngapi.....Kuna kijisehemu nilicheka lkn inauma....jamaa mazembe Sana....unaogopa mvua kuliko harishi..etu tungeloa
Umepata faida gani baada ya kusema nimeKOPI?Vijistori vy a kukopi bana
We lofa tuuUmepata faida gani baada ya kusema nimeKOPI?
SawaWe lofa tuu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hahahaha aisee kweli bhana nimeenda kuichungulia google,blogs kadhaa wameitupia na kweli mtunzi FAKI kaishia hiyo sehemu ya 31.Kweli mkuu nimeiona google imeishia hapo na iliwekwa tangu 2017 Facebook