Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
- Thread starter
- #461
MWISHO
POSTA mtaa wa Samora kuna vitabu chungu nzima ila cha Alfu Lela Ulela kimoja kinauzwa Tsh 11,000 na vipo vitabu 11 jumla unatakiwa uwe na Tsha 121,000Wakuu nitapata wapi vitabu vya Alfu Lela Ulela
Masahihisho kidogo Sehemu ya 1
Commoro hawatumii shilling wanatumia franc. Comorian franc
Hahahah uwiiii huyo kitimoto wangemtoa wapi?Ile chupa wangetia mafuta ya Kitimoto bhaas, wangekula goodtime kisiwani na yasmini wao😎
Hahahahhaa uwiiiiiiiiiii mbavu zanguMkuu tupe na ww mkasa wako wa yule jini aliyekulawiti! Umenishtua sana.bado yupo?
We mdada sio vizuri kubishana na wanaume wasomi. Hiyo inaitwa franc za kikomoro sio shilingi za kikomoro. Njoo PM nikueleweshe vizuriWee mkaka soma vizuri acha kulalamika soma vizuri
. Aliahidi mamilioni ya shilingi za ki Comoro kwa sheikh yeyote atakayefanikiwa kumrudisha Yasmin.