Mkasa ulionikuta baada ya kumtongoza msichana wa JF

Mkasa ulionikuta baada ya kumtongoza msichana wa JF

Siyo kweli!!!! Mwenye hela usiku kucha anapiga kagoli kamoja tu wapi na wapi bwana........Ukiona hivyo mwanamke mwenye hela anakwenda kwa mwenye hela mwenzie basi ujue huyo mwanamke ni mchaga!!!!!

Kweli ndugu! ila wachaga wanakaubaguzi,badilikeni bana.
 
utofauti wa kipato ulinifanya nikose confidense

Kwani uliona cash iliyokuwepo kwenye pochi yake? na je kama hiyo V8 aliazima kama defense ili aone utakujaje?Maana humu JF kuna ambao wana mpaka private jets ma G600,kwa wanavyoandika unaweza ukazimia.Pengine wewe ni mmoja wapo mzee wa mabobish JF ni zaidi ya chaka ujue.
 
Nipe namba yake nami nijaribu. Mie hata hela ya daladala sina nitakomaa kimtindo.
 
Mkt hao unawauliza,"ni kipi hujawahi kufanyiwa mwilini mwako, na unatamani kufanyiwa?Akikupa tu unamaliza vyote.
 
Ukiona hivyo ujue ulijiproud sana,kama ukiongea hali halisi yako huwezi kumuogopa as long anajua uhalisia wako,kama anakubaliana nao poa kama haridhiki nao ni poa pia.Ila wewe itakuwa maneno na misifa mingi
 
Mkuu kama hutaki pesa yake hicho kipengele cha utajiri kinaingiaje hapo?? Si utoe chance kwa mwanamke yeyote asiyetoshelezwa umsaidie
Nimetoa ofa kwa mwanamke tajiri kwa kuwa kutokana na maisha yake inakuwa ni vigumu kwake kukutana na watu wa kawaida. Hivyo unavyosema wewe ni sawa lakini huyu asiye na uhuru wa kumpata mtu wa kumridhisha ndiye asaidiwe maana anateseka kuliko hao wenye nafasi ya kuonana na sisi kiurahisi. Mbona sisi tupo tu na hao wanawake wa kawaida kimaisha huwa wanatukataa kwa kisingizio hatuna kitu matokeo yake wakiwapata matajiri wanajikuta hawatoshelezwi! Tajiri wa kiume yuko bize muda wote na usiku ukiingia analala fofofo. Akishtuka usingizini anawaza mali zake tu asije akaingiliwa na majambazi. Mapenzi hamna hapo.........
 
Kwani mwanamke huwa anafuata nini kwa mwanaume? Huwa anafuata kuchafuliwa na hayo majasho. Unatakiwa umnukishe majasho yako na yeye alowe chapachapa. Unamgalagaza nywele timutimu. Huo ndo uanaume na si kuwa na v8. Wewe vipi?

Umempa somo zuri sana.
 
Back
Top Bottom