Mkasa ulionikuta baada ya kumtongoza msichana wa JF

Mkasa ulionikuta baada ya kumtongoza msichana wa JF

Kwani mwanamke huwa anafuata nini kwa mwanaume? Huwa anafuata kuchafuliwa na hayo majasho. Unatakiwa umnukishe majasho yako na yeye alowe chapachapa. Unamgalagaza nywele timutimu. Huo ndo uanaume na si kuwa na v8. Wewe vipi?

Mwenye hela huwa anaenda kwa mwenye hela mwenzake na wala si kwa chokambaya
 
mwenye hela huwa anaenda kwa mwenye hela mwenzake na wala si kwa chokambaya

Siyo kweli! Mwenye hela usiku kucha anapiga kagoli kamoja tu wapi na wapi bwana.Ukiona hivyo mwanamke mwenye hela anakwenda kwa mwenye hela mwenzie basi ujue huyo mwanamke ni mchaga!
 
Ila pole lakini wewe ulichoogopa ni nini?
 
Natangaza humu JF kwamba kama mwanamke ni tajiri ila hana mpenzi anayemtosheleza na hajui atampata wapi wa kumtosheleza aje kwangu. Siihitaji pesa yake bali nitampa mapenzi anayoyahitaji. mimi nina maisha yangu ya kawaida tu si fukara sana na wala si tajiri. Please....PM me if you are in need.
 
Na hapo naona ulikua hujapiga hesabu ungempeleka gest ya sh ngapi kwa jinsi alivyo matawi ya twiga ungemwambia tu hali yako tu ilivyo,halafu hukujiuliza kua alishakutana na wana jf wangapi kwa style hiyo.
 
Kwa hiyo unataka kuniambia huna tofauti na amos makalla anaeishi nyumba isiyo na mlango wala dirisha?
 
Mwanamke si wa kumuogopa hata akiwa na nini always try to set your mind free !
 
Back
Top Bottom