unataka kuoneshwa nani mkuu?Yupo wapi unioneshe.
Natumaini huyo hapatikani Dar
huyo kaburi lake lilikuwa kwenyw huo mgahawa na ndo maana akaenda hapo.Baada ya kumaliza chuo, akaajiriwa kwenye shirika moja la umma miaka kadhaa iliyipota na hajaoa. Siku moja alipokuwa akitoka kazini akaona foleni imezidi barabarani hivyo akaamua kupumzika kwenye mgahawa moja maarufu katikati ya jiji ili kupitisha muda, akiwa pale mgahawani alikaa jirani na mrembo mmoja mwenye sura ya upole fulani hivi...!
Baada ya kujuliana hali na maneno ya hapa na pale wakajikuta wanazoeana kwa muda mfupi kiasi cha kubadilishana mawasiliano. Uhusiano ukazidi kukua ndipo siku moja akamkaribisha binti nyumbani.
Bila hiyana alikaribia, baada ya mlo na vinywaji wakajitupa uwanjani, pre-match rom zikafanyika, ilipofika wakati sasa jamaa ameshapagawa, yule binti akasitisha ushirikiano ghafla na kujiinamia huku akilia. Ikumbukwe kuwa wakati huo jamaa akili zimeshahama, akaanza kumhoji na kumbembeleza kulikoni, lakini yule dada alikataa katakata kuendelea na mechi bila kusema kinachomsibu.
Baada ya jamaa kung'ang'ania ikabidi aseme ukweli,k wamba yeye aliolewa na mumewe ameshafariki kwa haka kagonjwa ketu hivi karibuni,n aye amethibitika kuwa ni mwathirika, hivyo hapendi kumwangamiza kijana mdogo kama huyo best yangu.
Sasa sielewi rafiki yangu alikumbwa na pepo au nini, pamoja na kuambiwa ukweli akaona kama anadanganywa na wakati huo muda ulishaenda na maduka yamefungwa na hakukuwa na akiba ya kondom, matokeo yake akajipa moyo na kuzama kavukavu pamoja na jitihada kubwa za binti kumkatalia.
Ni muda sasa umepita, jamaa yangu baada ya kupima nae ameonekana ni hiv+. Hajui amlaumu yule dada au ajilaumu yeye mwenyewe. Yupo hata ukitaka nitakuonyesha.
Mleta thread hapo mwisho amemalizia na sentensi hii "Yupo hata ukitaka nitakuonyesha"unataka kuoneshwa nani mkuu?
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baada ya kumaliza chuo, akaajiriwa kwenye shirika moja la umma miaka kadhaa iliyipota na hajaoa. Siku moja alipokuwa akitoka kazini akaona foleni imezidi barabarani hivyo akaamua kupumzika kwenye mgahawa moja maarufu katikati ya jiji ili kupitisha muda, akiwa pale mgahawani alikaa jirani na mrembo mmoja mwenye sura ya upole fulani hivi...!
Baada ya kujuliana hali na maneno ya hapa na pale wakajikuta wanazoeana kwa muda mfupi kiasi cha kubadilishana mawasiliano. Uhusiano ukazidi kukua ndipo siku moja akamkaribisha binti nyumbani.
Bila hiyana alikaribia, baada ya mlo na vinywaji wakajitupa uwanjani, pre-match rom zikafanyika, ilipofika wakati sasa jamaa ameshapagawa, yule binti akasitisha ushirikiano ghafla na kujiinamia huku akilia. Ikumbukwe kuwa wakati huo jamaa akili zimeshahama, akaanza kumhoji na kumbembeleza kulikoni, lakini yule dada alikataa katakata kuendelea na mechi bila kusema kinachomsibu.
Baada ya jamaa kung'ang'ania ikabidi aseme ukweli,k wamba yeye aliolewa na mumewe ameshafariki kwa haka kagonjwa ketu hivi karibuni,n aye amethibitika kuwa ni mwathirika, hivyo hapendi kumwangamiza kijana mdogo kama huyo best yangu.
Sasa sielewi rafiki yangu alikumbwa na pepo au nini, pamoja na kuambiwa ukweli akaona kama anadanganywa na wakati huo muda ulishaenda na maduka yamefungwa na hakukuwa na akiba ya kondom, matokeo yake akajipa moyo na kuzama kavukavu pamoja na jitihada kubwa za binti kumkatalia.
Ni muda sasa umepita, jamaa yangu baada ya kupima nae ameonekana ni hiv+. Hajui amlaumu yule dada au ajilaumu yeye mwenyewe. Yupo hata ukitaka nitakuonyesha.
Yes it does mkuuYani mtu akwambie ameathirika then uendelee kupiga?? It doesn't make sense,i think that's why umejihami hapo chini kwamba tukitaka utatuonesha.
Anyway mayb alikuwa na nyota ya HIV.
Hivi wewe ni mwanaume? Achana na mnara wewe. Ukisimama unaweza kugegeda hata mlangoYani mtu akwambie ameathirika then uendelee kupiga?? It doesn't make sense,i think that's why umejihami hapo chini kwamba tukitaka utatuonesha.
Anyway mayb alikuwa na nyota ya HIV.
Hivi wewe ni mwanaume? Achana na mnara wewe. Ukisimama unaweza kugegeda hata mlango