Mkasa huu nimesimuliwa na rafiki yangu

Mkasa huu nimesimuliwa na rafiki yangu

Aibu sana tena kwa msomi aliehitimu Elimu ya juu kushindwa kufanya maamuzi sahihi kwenye mambo hatarishi hivi...Hakika kuna haja ya kuongeza ubora katika hizi elimu zetu..
 
mi nikiambiwa hivopalepale inakalala nahaiamki tena...jamaa alishaambiwa sa sijui afanyeje dada wa watu hana hatia kwa kuwa alitoa taarifa
 
Uongo huu jamani nahis unapima upepo,kwamba ikija kutokea hivyo utafanyaje!!!hahaha ngoma utaendelea ww? Mhuuu si kweli,mda umeenda na maduka yamefungwa je?wakat wanataka kugegedana? Na je kwa nn asinunue mapema bfor ili hali anajua kuwa leo kuna mgeni?uwiiiiii umetuchinja kaka.
 
[inategemea bana
Ha ha ha kumbe inawezekana kufanya siku moja na siku hiyo hiyo mkaabukizana??? niliwahi kuulizwa hili swali hapa hapa jf na mie leo nauliza ha ha ha ha ha ha ha
aaaaa,,,,kwa wenye K kubwa sio rahisi kuambukiza ila zile K mbano ndo sheeda
 
Baada ya kumaliza chuo, akaajiriwa kwenye shirika moja la umma miaka kadhaa iliyipota na hajaoa. Siku moja alipokuwa akitoka kazini akaona foleni imezidi barabarani hivyo akaamua kupumzika kwenye mgahawa moja maarufu katikati ya jiji ili kupitisha muda, akiwa pale mgahawani alikaa jirani na mrembo mmoja mwenye sura ya upole fulani hivi...!

Baada ya kujuliana hali na maneno ya hapa na pale wakajikuta wanazoeana kwa muda mfupi kiasi cha kubadilishana mawasiliano. Uhusiano ukazidi kukua ndipo siku moja akamkaribisha binti nyumbani.

Bila hiyana alikaribia, baada ya mlo na vinywaji wakajitupa uwanjani, pre-match rom zikafanyika, ilipofika wakati sasa jamaa ameshapagawa, yule binti akasitisha ushirikiano ghafla na kujiinamia huku akilia. Ikumbukwe kuwa wakati huo jamaa akili zimeshahama, akaanza kumhoji na kumbembeleza kulikoni, lakini yule dada alikataa katakata kuendelea na mechi bila kusema kinachomsibu.

Baada ya jamaa kung'ang'ania ikabidi aseme ukweli,k wamba yeye aliolewa na mumewe ameshafariki kwa haka kagonjwa ketu hivi karibuni,n aye amethibitika kuwa ni mwathirika, hivyo hapendi kumwangamiza kijana mdogo kama huyo best yangu.

Sasa sielewi rafiki yangu alikumbwa na pepo au nini, pamoja na kuambiwa ukweli akaona kama anadanganywa na wakati huo muda ulishaenda na maduka yamefungwa na hakukuwa na akiba ya kondom, matokeo yake akajipa moyo na kuzama kavukavu pamoja na jitihada kubwa za binti kumkatalia.

Ni muda sasa umepita, jamaa yangu baada ya kupima nae ameonekana ni hiv+. Hajui amlaumu yule dada au ajilaumu yeye mwenyewe. Yupo hata ukitaka nitakuonyesha.
Basi hongera zake!
 
mkuuu hii story inakuhusu ww mwenyewe sema ukweli
 
kutembea na ndom kwenye wallet ni muhimu sana, naificha kabisa lakini lazima iwepo
 
Hii hadithi hadihhi, inaonyesha ni wewe kabisaaaaa! Pole sana…. .
 
Huyo rafiki yako huwa ananunua mihogo mibichi na karanga zinazouzwa na wadada barabarani
 
ila wanaume wengine wamezidi kiranga! Wa kiranga akipata janga haliliwi wala hakaliwi matanga....!
Nina ndugu yangu ni mrembo sanaaa! Ila ameathirika tangu 1997. Hivi karibuni Padre mmoja alimtikea akamwambia hapana mimi nimeathirika natumia ARV. Akamuonesha na dawa alikuwa nazo kwenye mkoba wake. Yule padre alidhani ni mbinu ya kunyimwa kwa vile bibiye ni nesi. Alimganda sana. Basi akakubaliwa. wakadumu kama mwaka hivi kwenye mahusiano. Sasa hivi wameachana na Padre ameshaanza kutumia dawa. Mkikataliwa jamani mshukuru tu hujui Mungu anakuepushia nini. Ila pia ukimwi upo jamani na hauchagui.
 
Yupo wapi unioneshe.

Natumaini huyo hapatikani Dar
 
Back
Top Bottom