Baada ya kumaliza chuo, akaajiriwa kwenye shirika moja la umma miaka kadhaa iliyipota na hajaoa. Siku moja alipokuwa akitoka kazini akaona foleni imezidi barabarani hivyo akaamua kupumzika kwenye mgahawa moja maarufu katikati ya jiji ili kupitisha muda, akiwa pale mgahawani alikaa jirani na mrembo mmoja mwenye sura ya upole fulani hivi...!
Baada ya kujuliana hali na maneno ya hapa na pale wakajikuta wanazoeana kwa muda mfupi kiasi cha kubadilishana mawasiliano. Uhusiano ukazidi kukua ndipo siku moja akamkaribisha binti nyumbani.
Bila hiyana alikaribia, baada ya mlo na vinywaji wakajitupa uwanjani, pre-match rom zikafanyika, ilipofika wakati sasa jamaa ameshapagawa, yule binti akasitisha ushirikiano ghafla na kujiinamia huku akilia. Ikumbukwe kuwa wakati huo jamaa akili zimeshahama, akaanza kumhoji na kumbembeleza kulikoni, lakini yule dada alikataa katakata kuendelea na mechi bila kusema kinachomsibu.
Baada ya jamaa kung'ang'ania ikabidi aseme ukweli,k wamba yeye aliolewa na mumewe ameshafariki kwa haka kagonjwa ketu hivi karibuni,n aye amethibitika kuwa ni mwathirika, hivyo hapendi kumwangamiza kijana mdogo kama huyo best yangu.
Sasa sielewi rafiki yangu alikumbwa na pepo au nini, pamoja na kuambiwa ukweli akaona kama anadanganywa na wakati huo muda ulishaenda na maduka yamefungwa na hakukuwa na akiba ya kondom, matokeo yake akajipa moyo na kuzama kavukavu pamoja na jitihada kubwa za binti kumkatalia.
Ni muda sasa umepita, jamaa yangu baada ya kupima nae ameonekana ni hiv+. Hajui amlaumu yule dada au ajilaumu yeye mwenyewe. Yupo hata ukitaka nitakuonyesha.
Mambo haya yanatokea sana kuna ishu kama hiyo ilitokea chuoni UDSM kwa waliokuwepo hapo 2015 watakuwa mashaidi ingawa ilisoviwa na marafiki na wadeni Wa block C mabibo hostel ndiye aliyejua tu ktk staff.
Ilikuwa hivi kuna jamaa anaitwa David huyu aliingia chuon hao 2012 as fresh for 4 yrs program in coet akakutana na msichana Wa pspa akiwa mwaka wa 2 ktk intercourse ilitokea kama hivyo ingawa yule msichana hakulia ila alimweleza wazi D kuwa yeye ni mwathirika. Tangia hapo wakawa marafiki wakusalimiana na kutembeleana rooms. Tatizo lilikuja tokea pale rummate wa D akawa ana mfuata kwa siri yule mdada kwa siri kwa kuiba namba ya cm toka kwa D. Basi yule mdada alimkataa jamaa kwa kipindi kirefu huku ikiwa siri yao tu bila rummates kujua chochote.
Jamaa akazidi kumfosi sana yule mdada na mpka wanaingia mwaka wa pili wakati mdada anaingia mwaka wa mwisho pspa teari wakawa ktk mahusiano, kumbuka hapo D hajui kuwa rafiki yake au rummate wake anamahusiano na yule mdada.
Walipoingia mwaka wa pili wakt mdada yupo mwaka wa 3 jamaa tu aliporudi toka long leave kwao Sumbawanga afya yake ilionekana kuyumba lakini alijipa moyo sana kuwa ni maralia za kawaida. Kuna siku alizidiwa sana ilibidi arudi kwao kisha akarudi tena muda si mrefu kuendelea na masomo. Ktk hali hii ya afya ya kusuasua na kumbuka watu 3 waliokuwa first year pamoja walikuwa wanaishi tena pamoja isipokuwa D hivyo walizoeana sana. Ktk matani ya kawaida kbsa wakamtania jamaa akapime...jamaa akakubali koz anajiamini koz ni msichana mmoja tu aliyeshiriki nae na alimwamini sana nahisi kimwonekano na kiukweli macho si kipimo.
So wakapanga wakapime chuo kuna hosptal pale. Walivyopatiwa majibu koz jamaa hana ndugu wa karibu hivyo alshea na wale rafiki 3 waliokutan first year ukimtoa D amabapo kipindi hicho yupo blok D na wale walinunua rum pale pale C. Wale marafiki wakaanza kumuuliza mahusuano yake na wasichana jamaa akasema tangu azaliwe hakuwai kushiriki tendo na yeyote isipokuwa yule mdada rafiki na D. Hapo sasa ikajulikana kuwa wanamahusiano officially .
Wale marafiki walikasilika kuwa kwanini kama yule msichana alijua hali ya afya yake asimwambie jamaa. Kumbuka msichana anaishi hapohapo blok B ni la wasichana. So wakawa wanamtafuta....wakakutana chuo cafteria 1 wale jamaa lengo lao lilikuwa ni kumfanyia fujo na kumpuga yule dada lakini mmoja wao akapata busara ya kumhoji yule dada kuwa mambo haya ni ya kawaida ktk chuo hivyo kwanini hakumwambia jamaa kuwa ana HIV majibu ya yule mdada yalikuwa hivi
Nimemkataa sana Mara nyingi yeye akalazimisha sawa kosa la nani
Mpka hapo story zilikuwa zimeshaanza kuzagaa lakini hakuna anayemfahamu mdada Wa pspa wala yule jamaa.
Baada ya majibu yale wale rafiki 3 hawakumpiga bali Wakamsema sana yule dada kwa kitendo alichofanya.
Hapo ndipo D akajua baada ya kuambiwa yaliyotokea kumbuka wote 3 + D ni marafiki ingawa D anakaa blok D .
Baada ya kujua D arirudi rum aliishiwa nguvu na akasikitika sana juu ya kitendo kile kwanza jamaa kumzunguka koz angemwambia kama angejua mapema na yote yasingetokea from the beginning.
Si muda mrefu story zilisambaa sana sema watu wakawa hawawajui wahusika.
Cha kushangaza story zilifika kijijini kwao na baadhi ya wanafunzi wakaanza kuulizwa na wazazi wao ndipo ikajulikana kuwa yule jamaa kule kijijini ni mtu aliyekulia ktk mazingira ya kidini Sana RC na alikuwa kijana Wa kutolewa mfano pale kijijini hivyo alijulikana sana .
Hii ni story ya kweli kabisa ukitaka undani uliza mtu aliyeishi hapo hostel 2014 atakupa another side.
Tusipime Kwa macho ukimwi upo .