kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,490
- 1,363
..Labda muumba anayetumia Herufi ndogo..Kumbe Jeipiem alikuwa chaguo la Muumba!
Sasa kwanini zoezi la uchaguzi mkuu lilifanyika kama tayari alikuwa ameisha chaguliwa? Tungeachia basi 'moshi' mweupe upae juuuu, mawinguni badala ya kufanya voting; labda tulikuwa tukifanya formalities tu za uchaguzi, you never know!