Brother kuna mambo mengi ya kufanya usikomae na usiyoendana nayo.Upo finyu kweli kweli..
Nani alikuambia mimi mwanasiasa?
Nimeandika imekuchoma nasema na bado.. mtaisoma namba hadi meno yote yawaishie[emoji88][emoji382][emoji382][emoji382]
Na lowassa jePOLEN SANA , MKAPA NA KIKWETE NDIO WALIOMUWEKA KWENYE KITI . JAPOKUWA CHAPUO LA WENGI LILIKUWA MEMBE .
U trend au unaonekana kituko tu! Humu jfCocochanel akiandika lazima nitrendi.. mfano uzi huu.. mimi penda kuburudika humu sana
Nimewachoma na hayo maneno na bado[emoji382][emoji382][emoji382] mtaendelea kupokea kama kawaida. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1437][emoji1437][emoji1437]
Atakavyorudi atawafunga midomo hiyoMshamba anayeogopa kurudi Dar.
Ukitaka kumwendea uwe msafi kweliTumemwendea sana, tena In humble way, but he can't listen,
Ukimwendea kama Ulivyopanga ataanza kukuwekea visasi,
Nawasilisha
Ha ha ha haaaaa
Nionyeshe uzi humu nikazichukue basi.. ha ha haaaa [emoji1782]
U trend au unaonekana kituko tu! Humu jf
Ova
Leo Mkapa mnamwona anafaa? Mara hii mmeshasau Kiwira. Lugoda et al ?Tumemwendea sana, tena In humble way, but he can't listen,
Ukimwendea kama Ulivyopanga ataanza kukuwekea visasi,
Nawasilisha
Msiwanyie kama mlivyomfanya LissuRais ni Rais bana Pigeni kelele zenu ila mkileta fyokofyoko mtakiona.
Tena nyie akina nape na Katina Kinana mtapata tabu sana.
Sasa anarudi kwa kishindo. Mshamba ni yule anarekodiwa kiboya.Mshamba anayeogopa kurudi Dar.
I also stand with Dr JPMAcha uongo mkuu, Membe safari yake iliishia kwenye tano bora, wala jina lake halikukatwa kama alivyokatwa Lwaigwan bali kura ndo zilipelea akawa out na wakabaki wagombea watatu tu sasa unaposema Membe alikuwa ni chaguo la wengi sijui umetumia kigezo kipi!
I stand with Dr J. P. Magufuli.
[emoji120][emoji120][emoji120]I also stand with Dr JPM
Sijui watanzania tunataka nini, kwakweli najiuliza sana maswali,
Tukifanyiwa hivi, ohooo uyu mbaya afai bora MTU wa aina fulani, hamjui kwamba Mungu anasikia maombi, basis Mungu akimleta, utasikia tens ahoooooo uyo siyo, tulimtaka nani.....?
Pumbavu.........pambana na hali zenu
Ili awaulize kuko salama? Maana wakiwa mbali anahisi labda wanakutana na wabaya wake sasa ndo kama hivyo kusema ishu fulani naijua ishu fulani naijua ni nouma sanaHata akiwa likizo hajiamini.. anatembea na wakuu wa vyombo vya ulinzi lika aendako
Tukifanyiwa vipi? Tunataka turudi tulikotoka kazi na bata na uchumi unaopaa sasa saizi kuna nini kipya hakikufanyika?I also stand with Dr JPM
Sijui watanzania tunataka nini, kwakweli najiuliza sana maswali,
Tukifanyiwa hivi, ohooo uyu mbaya afai bora MTU wa aina fulani, hamjui kwamba Mungu anasikia maombi, basis Mungu akimleta, utasikia tens ahoooooo uyo siyo, tulimtaka nani.....?
Pumbavu.........pambana na hali zenu
..na zile za NHCCoco nani asiye mwizi na fisadi ?! Labda wale waliotuletea kivuko cha 1978 kikageuzwa kifaru cha kijeshi [emoji23][emoji1787] ?!