Mkapa nakushauri achana na Bwana huyo

Mkapa nakushauri achana na Bwana huyo

Walafi wavivu mafisadi wapenda kutafuna pesa za wananchi ndio mnalalamika.. lalamikeni hadi na meno yawang'oke.. na namba bado hamjazisoma.. na moto moto hamjauona.. mnatia kichefuchefu wote na hao woteeeee

Halafu mnafikiri wananchi watawapa nchi.. oyoooo hata mkichinja walio na damu zenu.. mtagonga mwamba tu.. chaguo la Mwenyezi Mungu ni JPM

Hapa kazi tu ndio mwendo

Na bado

Magufuli oyeeeeee
Kumbe Jeipiem alikuwa chaguo la Muumba!
Sasa kwanini zoezi la uchaguzi mkuu lilifanyika kama tayari alikuwa ameisha chaguliwa? Tungeachia basi 'moshi' mweupe upae juuuu, mawinguni badala ya kufanya voting; labda tulikuwa tukifanya formalities tu za uchaguzi, you never know!
 
Walafi wavivu mafisadi wapenda kutafuna pesa za wananchi ndio mnalalamika.. lalamikeni hadi na meno yawang'oke.. na namba bado hamjazisoma.. na moto moto hamjauona.. mnatia kichefuchefu wote na hao woteeeee

Halafu mnafikiri wananchi watawapa nchi.. oyoooo hata mkichinja walio na damu zenu.. mtagonga mwamba tu.. chaguo la Mwenyezi Mungu ni JPM

Hapa kazi tu ndio mwendo

Na bado

Magufuli oyeeeeee
Aisee kumbe wagonjwa wa bipolar ni wengi sana .
 
Kaimbe taarabu na khadija kopa. Politics is not for everyone

Upo finyu kweli kweli..
Nani alikuambia mimi mwanasiasa?

Nimeandika imekuchoma nasema na bado.. mtaisoma namba hadi meno yote yawaishie💀💉💉💉
 
Aisee kumbe wagonjwa wa bipolar ni wengi sana .

Hongera kwa kutueleza kwamba unaugua gonjwa hilo..

Ila bila Cocochanel kunisoma hamulali.. na bado..

Kafanye kazi pesa za dezo hakuna tena.. wavivu hata aibu hamuoni.. akili za kujiongeza kieni huku tuwafunze.. 🐷
 
Cocochanel akiandika lazima nitrendi.. mfano uzi huu.. mimi penda kuburudika humu sana

Nimewachoma na hayo maneno na bado💉💉💉 mtaendelea kupokea kama kawaida. 😀😀😀💃🏽💃🏽💃🏽😀😀😀💃🏽💃🏽💃🏽
 
Umemskia anasema eti nyerere ndiye aliyemweka museveni madarakani, yaani huyu jamaa kachanganyikiwa
Jiwe ni mkuu wa intelijensia ,huenda hayo maneno yana ukweli.Sema tu hajui kuficha siri!
 
Walafi wavivu mafisadi wapenda kutafuna pesa za wananchi ndio mnalalamika.. lalamikeni hadi na meno yawang'oke.. na namba bado hamjazisoma.. na moto moto hamjauona.. mnatia kichefuchefu wote na hao woteeeee

Halafu mnafikiri wananchi watawapa nchi.. oyoooo hata mkichinja walio na damu zenu.. mtagonga mwamba tu.. chaguo la Mwenyezi Mungu ni JPM

Hapa kazi tu ndio mwendo

Na bado

Magufuli oyeeeeee

Mataga huwamnapeleka wapi akili?
 
Back
Top Bottom