MKAPA: Leo ni nafasi yangu kujisafisha.............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MKAPA: Leo ni nafasi yangu kujisafisha..............

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, May 8, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,508
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Mstaafu Mkapa akichukua nafasi ya kipekee mahakamani kwenda kutetea ufisadi ndani ya serikali yake pale Kisutu mahakamani ambako swahiba wake Profesa Mahalu alimtegemea amnasue......................utetezi wa Mkapa kimsingi ni kuwa yeye na baraza la mawaziri haliwajibiki chini ya sheria ya manunuzi na wanayo mamlaka ya kufanya watakavyo........................it was the most incriminating evidence one could think of......................eti baraza la mawaziri liliidhinisha ufisadi kwa hiyo mtuhumiwa hana kesi ya kujibu!!!!!!!!!! Takukuru kama inafanyakazi basi Mkapa ni wa kumuunganisha kwenye hii kesi siyo kama shahidi bali mtuhumiwa nambari one...............Lakini tunajua Takukuru haiko huru kwa hiyo itaukubali ushahidi wa bosi na Mahalu is technically free but let us not forget Mkapa will one day answer to his Maker.....................I can't wait to see him being dumped in hell..................despite his futile defence before God..................
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Kasheshe kweli Nchi yetu inaongozwa na viongozi mafisadi kweli tutafika tunakokwenda huko mbele?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  The way these friends are bullying us, its like there is a special designated heaven for them, which will be free of judgement, tormenting, and eternal fire!
   
 4. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,726
  Likes Received: 3,144
  Trophy Points: 280
  Sijui kama tutafika tunakokwenda. Utetezi unaonyesha dhahiri ni wale wale! Kununua jengo kwa thamani hiyo ndio tatizo sasa wao wanachotuonyesha hapa ni kwamba ilikuwa halali kununua hilo jengo. Sisi maswali yetu ni KWA THAMANI HIYO KWELI NA KAMA NDIVYO WHY??????? wakati nchi na wananchi wake ni maskini kupindukia.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,814
  Trophy Points: 280
  mkapa anafanya mazoezi ya kupanda kizimbani coz next time tunampandisha kama mtuhumiwa.
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Alipotumia hiyo clause ya watu kupeana amri kwa mdomo tu, kwa "usalama wa taifa", nikajua Mkapa anaendeleza kuwa arrogant as hell.

  Basically alichosema ni kwamba hii nchi yetu nyie hamna haki ya kutuuliza kitu, tutapeana amri kwa mdomo na hakuna mahakama itakayogusa hayo.

  Halafu hana hata aibu kutetea Wataliano kukwepa kodi katika deal hili, ndiyo kwanza anasema "Alhamdullilah"!

  Anamhusisha allah na ufisadi.
   
 7. J

  JOJEETA Senior Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu kibonge ndo aliuza nchi kabisa,halafu alipotakiwa kushtakiwa jk akamkingia kifua eti 2mwache mzee we2 apumzike....mbona hapumziki?ona alivyonenepeana jaman?kweli ndege wafananao ndio warukao pamoja bila haya kaenda mahakamni?Tanzania imeangamizwa jaman
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,508
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu......................tatizo ni kuwa system yote is rotten kuanzia mahakama, polisi na vyombo vyote vya dola.................it is very sad.............
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,508
  Trophy Points: 280
  [MENTION]Jojeeta [/MENTION]baada ya huyu mporaji kujilimbikizia mali sasa anajiona Ni Mwenyezi Mungu...............lakini kuna siku Mungu wa ukweli atamuulizia ampe hesabu zake hapo ndipo kilio na kusaga meno kitapoanza...............
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,508
  Trophy Points: 280
  Kiranga tumwombee uzima ili aje afikishwe mahakamani na serikali ijayo ambayo itakuwa ni ya chadema.............aje ajibu huu utumbo khalafu aone cha moto.............
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,508
  Trophy Points: 280
  Daudi mchambuzi.............kwa watu tunaochukia dhuluma siku huyu bwana anapanda kizimbani ndiyo tutajua uwajibikaji umewasili TZ...............kabla ya hapo not yet uhuru kabisa.........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Rutashubanyumaaka Ruta -ambaye-hataki kurudi Nyuma. Hivi hapo Mkapa ana kosa gani.? Kama kunacheji ililiwa sawa lakini kama
  • kuna mchezo walifanya
  • tena mchezo huo kama ni kweli ulilifanywa kwa masalahi ya taifa
  • tena mashali hayo hayakupitishwa tu na mkapa (kama taasisi ya Rais)bali baraza la mawaziri

  BAsi mi naona hakuna tatizo.

  Issue hii haipishani sana na Issue ya rada kwa seriakali ya UK.tena kule UK kuna mawaziri walipinga Tanzania isiuziwe rada lakini kwa maslahi ya UK Tony blair(kwa mtazamao wake) akafumba macho na masikio.

  Kama kuna kesi ya kuweza kumfunga mkapa hii haimo hata katika 10 bora
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,508
  Trophy Points: 280
  Pakawa.............taratibu za manunuzi hazikufuatwa na jengo ni bovu halina thamani ya malipo.........utetezzi wao ni kuwa wao ni sheria na hawawezi kuwajibishwa na chombo chochote kile.....................huu ni ufisadi mwingine ya kuwa hakuna uwajibikaji kama baraza la mawaziri limepitisha ufisadi..............
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,726
  Likes Received: 3,144
  Trophy Points: 280
  Ruta si umeona Mkapa alivyokuwa anajibu kuhusiana na hilo! eti yeye aliidhinisha jengo linunuliwe lakini haikuwa kazi yake kufuatilia malipo na mengineyo....Huu si upuuzi huu?! Hawa watu wanatukoroga kama mboga ya majani iliyokosa mlenda.
   
 15. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hata kama aliagiza kwa mdomo ..watendaji wake na Katibu Mkuu Kiongozi wake walipaswa kuiweka kwenye kumbukumbu...ili nchi iendeshwe kwa "uwazi" na sio "Wizi"..Lumbanga amesema hajui..Mkapa anashangaa kauli ya Lumbanga kwamba hajui.... Rais wa nchi mmoja kushabikia/ au kutozingatia kanuni za nchi nyingine kukwepa kodi ni Mshangao Mkubwa Zaidi! ... Nilifurahishwa na swali la Wakili aliyemwuuliza iwapo malipo ya pili yalibuniwa na Balozi Mahalu ili azitie kibindoni? Mkapa akjibu kwa.. Mahalu ni mwaminifu...Akasahau kwamba baadhi ya tuliowaamini ndo wametufikisha hapa tulipo!!!!
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,508
  Trophy Points: 280
  [MENTION]
  Pakawa[/MENTION]............Mkapa ni jambazi hilo ndilo ambalo linanichefua....................kwamba hakuna wa kumwajibisha kwa sababu serikali yote imeoza.........
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,508
  Trophy Points: 280
  [MENTION]
  Mtazamaji[/MENTION] kwanza nikupongeze kwa kulijua maana ya tafsiri sahihi ya jina langu.....................lakini fedha imeliwa na jengo halina hadhi ya hiyo hela na Mkapa kakiri kuwa yeye ndiye kinara wa kuidhinisha huo ufisadi kwanini yeye asiwe mshtakiwa nambari one......ya radar yako wazi hata hela zimerudishwa na Mkapa alipitisha na huku akijua ni ufisadi kwa sababu hakufuata taratibu za manunuzi..................sasa kwanini yeye asiwe mshtakiwa nambari one na Sumaye nambari two na wajumbe wengineo wa baraza la mawaziri wakafuata? Tatizo la Mkapa anafikiri baraza la mawaziri lipo juu ya sheria jambo ambalo anajidanganya hata yeye hayupo juu ya sheria na anaweza kushtakiwa kwa ufisadi wake wa miaka 10 in power..........
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,508
  Trophy Points: 280
  BabuK...........Mkapa laana ya ufisadi ndiyo imemfikisha hapo alipo hata hajui namna ya kujitetea na anazidi kutufumbua macho kumbe alikuwa akiendesha nchi bila ya kuzingatia sheria ambazo yeye mwenyewe alizipitisha kumbe alizipitisha akidhani ni za nguruwe tu...........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Rutashubanyuma hapa kwangu leo mambo safi kabisa tunakula ugali Katoga!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wanaweza kupiga chenga mahakama za binadamu, lakini mahakama ya Mungu haikimbiliki, haijibiwi kifedhuli, haitolewi rushwa. Na kuna msemo, kwa kujipa moyo, Mungu atawahukumu hapa hapa, akhera kunakwenda hesabu tu.
  Watanzania hatustahiki kutendewa haya. Vilio vyetu vitageuka kuwa laana kwao. Wangepaswa kulijua hilo-
   
Loading...