Mkapa huwa unatafuta nini Karagwe, Kagera?

mpk

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
3,115
Reaction score
3,864
Tarehe 26 Desemba Mkapa alikuwa Karagwe na alisali kanisa la St George mjini Kayanga. Alhamisi kuu hii amesali kanisa hilo hilo. Na mwezi wa saba mwaka jana alikuwa Karagwe ikiaminika kwamba alikwenda kwenye msiba wa rafiki yake Balozi Ruhinda. Kwa ujmla tangu aondoke madarakani ameenda Karagwe mara nyingi sana.

Kuna uvumi ambao haujawahi kukanushwa kwamba wakati wa utawala wake alijibinafisisha kiwanda cha Kagera Sugar na kwamba anamiliki zaidi ya hekta elfu 40 za mashamba ya miwa. Na kwamba alipokuwa rais aliwahi kuchelewa kuhutubia mkutano wa hadhara Karagwe kwamba alikuwa na kikao cha kamati ya ulinzi na usalama kilichofanyika Kagera Sugar, kumbe alikuwa anakagua mashamba yake.

Hivi tunavyoongea yupo Karagwe amelala KDRDP anapopendelea kulala. Hutoka pale kusalimia kwa Balozi Ruhinda na marehemu Balozi Tibandebage. Maswali ni mengi kuliko majibu, Mkapa huwa anatafuta nini Karagwe?
 
Kwani kagera hai~hitaji wageni? Na wawekezaji?we tanzanian, we are free karibu uwekeze songea!
 
Mpk ongea mambo ya maana, huna habari kwamba Mkapa ni kiongozi wa kupigiwa mfano tz baada ya kujiona mna bahati unaruka na hoja manyoya ukome. Mpelekeni mumuonyeahe na Kyle mlongo ili awekeze kwenye mapolomoko kagera watoto we nu wapate ajira na umeme use wa uhakika Isingiro na vijiji vyake vyote. Kama hamtaki Mkapa so aje Sumbawanga awekeze Mkapa utalala kwangu
 
Hahaaaa.....haya majungu sasa.....kwani anapaswa kuwa na mipaka ya kutembea? Kama ana miradi yake huko ambayo iko kihalali kisheria kosa lake ni lipi? Au unafikiri baada ya kustaafu utumishi wa umma unapaswa kulala kitandani? You may be retired but not tired.
 
Mpk ongea mambo ya maana, huna habari kwamba Mkapa ni kiongozi wa kupigiwa mfano tz baada ya kujiona mna bahati unaruka na hoja manyoya ukome. Mpelekeni mumuonyeahe na Kyle mlongo ili awekeze kwenye mapolomoko kagera watoto we nu wapate ajira na umeme use wa uhakika Isingiro na vijiji vyake vyote. Kama hamtaki Mkapa so aje Sumbawanga awekeze Mkapa utalala kwangu
Div 5.
 
Naomba kujua hasa kwa vijana wa ufipa hivi ni kweli msimamo wa babu Slaa na chama chenu uko palepale kwamba mkishika dola mtaruhusu utengenezaja wa gongo kisheria????
cc yeriko & ben-saa12 jioni
 
Si hilo tu, HATA MTIBWA inajulika na shamba na anahisa kwenye Kiwanda, Fika tu pale MAnungu na Ulizia watakuambia na kukuonyesha mashamba yake.
 
Tarehe 26 Desemba Mkapa alikuwa Karagwe na alisali kanisa la St George mjini Kayanga. Alhamisi kuu hii amesali kanisa hilo hilo. Na mwezi wa saba mwaka jana alikuwa Karagwe ikiaminika kwamba alikwenda kwenye msiba wa rafiki yake Balozi Ruhinda. Kwa ujmla tangu aondoke madarakani ameenda Karagwe mara nyingi sana.

Kuna uvumi ambao haujawahi kukanushwa kwamba wakati wa utawala wake alijibinafisisha kiwanda cha Kagera Sugar na kwamba anamiliki zaidi ya hekta elfu 40 za mashamba ya miwa. Na kwamba alipokuwa rais aliwahi kuchelewa kuhutubia mkutano wa hadhara Karagwe kwamba alikuwa na kikao cha kamati ya ulinzi na usalama kilichofanyika Kagera Sugar, kumbe alikuwa anakagua mashamba yake.

Hivi tunavyoongea yupo Karagwe amelala KDRDP anapopendelea kulala. Hutoka pale kusalimia kwa Balozi Ruhinda na marehemu Balozi Tibandebage. Maswali ni mengi kuliko majibu, Mkapa huwa anatafuta nini Karagwe?

Nakubaliana na uliyoeleza kuwa anamiliki huku Karagwe,na zaidi Mkapa na Kinana wanamiliki asilimia kubwa katika mgodi wa tin.Hata kinana hawezi kukaa miezi mitatu bila kufika Karagwe.
 
Lakini hata mzee Mengi nae wkt fulani alikuwa hakosi kwensa Murongo Karagwe mara kwa mara ingawa sasa safari hizo hakuna tena. Labda Mzee Mkapa nae akikua ataachani suala la muda tu wakuu
 
Tarehe 26 Desemba Mkapa alikuwa Karagwe na alisali kanisa la St George mjini Kayanga. Alhamisi kuu hii amesali kanisa hilo hilo. Na mwezi wa saba mwaka jana alikuwa Karagwe ikiaminika kwamba alikwenda kwenye msiba wa rafiki yake Balozi Ruhinda. Kwa ujmla tangu aondoke madarakani ameenda Karagwe mara nyingi sana.

Kuna uvumi ambao haujawahi kukanushwa kwamba wakati wa utawala wake alijibinafisisha kiwanda cha Kagera Sugar na kwamba anamiliki zaidi ya hekta elfu 40 za mashamba ya miwa. Na kwamba alipokuwa rais aliwahi kuchelewa kuhutubia mkutano wa hadhara Karagwe kwamba alikuwa na kikao cha kamati ya ulinzi na usalama kilichofanyika Kagera Sugar, kumbe alikuwa anakagua mashamba yake.

Hivi tunavyoongea yupo Karagwe amelala KDRDP anapopendelea kulala. Hutoka pale kusalimia kwa Balozi Ruhinda na marehemu Balozi Tibandebage. Maswali ni mengi kuliko majibu, Mkapa huwa anatafuta nini Karagwe?

Huyu rafiki yake kwani kisha fariki? Please clarify!.
 
Wivu Wa kike
 
taja mipaka ya kusafiri kwake....................unakuwa ka mzaramo bana, umbea tu...
 
Tarehe 26 Desemba Mkapa alikuwa Karagwe na alisali kanisa la St George mjini Kayanga. Alhamisi kuu hii amesali kanisa hilo hilo. Na mwezi wa saba mwaka jana alikuwa Karagwe ikiaminika kwamba alikwenda kwenye msiba wa rafiki yake Balozi Ruhinda. Kwa ujmla tangu aondoke madarakani ameenda Karagwe mara nyingi sana.

Kuna uvumi ambao haujawahi kukanushwa kwamba wakati wa utawala wake alijibinafisisha kiwanda cha Kagera Sugar na kwamba anamiliki zaidi ya hekta elfu 40 za mashamba ya miwa. Na kwamba alipokuwa rais aliwahi kuchelewa kuhutubia mkutano wa hadhara Karagwe kwamba alikuwa na kikao cha kamati ya ulinzi na usalama kilichofanyika Kagera Sugar, kumbe alikuwa anakagua mashamba yake.

Hivi tunavyoongea yupo Karagwe amelala KDRDP anapopendelea kulala. Hutoka pale kusalimia kwa Balozi Ruhinda na marehemu Balozi Tibandebage. Maswali ni mengi kuliko majibu, Mkapa huwa anatafuta nini Karagwe?

Labda sijakuelewa, manake naona kama tayari una majibu
 
Lakini hata mzee Mengi nae wkt fulani alikuwa hakosi kwensa Murongo Karagwe mara kwa mara ingawa sasa safari hizo hakuna tena. Labda Mzee Mkapa nae akikua ataachani suala la muda tu wakuu

Mengi alikuwa na mama mkwe wake hapa. Hujui BSS?
 
Dah,kumbe mkapa tajiri mkubwa sana,kumbe kagera sugar ya kwake?.
Bado na ile benki..dah!!
 
Mpk ongea mambo ya maana, huna habari kwamba Mkapa ni kiongozi wa kupigiwa mfano tz baada ya kujiona mna bahati unaruka na hoja manyoya ukome. Mpelekeni mumuonyeahe na Kyle mlongo ili awekeze kwenye mapolomoko kagera watoto we nu wapate ajira na umeme use wa uhakika Isingiro na vijiji vyake vyote. Kama hamtaki Mkapa so aje Sumbawanga awekeze Mkapa utalala kwangu

kama sielewi hii lugha vilee,ngoja ntafte miwani
 
Back
Top Bottom