Simbamwene
JF-Expert Member
- Jun 22, 2008
- 286
- 58
Kwenye milima ya usambara kuna shamba la hekta 3000? Wasambaa wasinge hamishiwa mombo na handeni?
Mkuu siunajua humu JF mtu anaonekana ameongea point mpaka aikosoe serikali sasa saa nyingine mpaka chumvi zinazidi then utaona watu wanamgongea sanks kibaaao.we jaribu kuchunguza utajua tu...chuki, uongo na majungu ndo watu wanafurahia.ukijaribu kunyoosha mstari unakua kama enemy of the people vile.This is almost nonsensical propaganda.
The author should get his facts correct before putting pen to paper.
3000 Hectares in Lushoto?
Come on give me a break!!
I dont see that area in Lushoto, Mombo probably yes.
Halafu kijijini, mtu analipwa kiasi gani-kibarua to be exact.
The author should find comparable rates from other areas.
Ama sivyo kwa tunaoelewa rates hii inaonekana upuuzi mtupu.
Na nasema hivyo si kwa ajili ya kusapoti Mkapa , la hasha, ila makala hii imejaa propaganda zaidi kuliko facts.
na Asha Bani, Lushoto
Alisema maeneo ambayo yanahodhiwa na rais huyo mstaafu ni zaidi ya lile alilojenga nyumba kubwa ya kifahari ambako anaishi baada ya kustaafu.
Upuuzi mtupu!Wabongo bwana, yaani tumesahau yote aliyofanya Mkapa kwa nchi yetu. barabara zote alizojenga, Dar - Mwanza sasa hivi ni safari ya masaa tu ukilinganisha na siku za nyuma ambapo tulikuwa tunakwenda kwa siku mbili. uwanja wa taifa, madaraja, alivyoinua uchumi nchi yetu ikaanza kupata heshima kimataifa, tumesahau kwamba aliikuta nchi ikiwa imekwisha kabisa.
Tumesahau kazi ngumu aliyoifanya ya kulipa madeni aliyokopa Mwinyi na kuirudisha nchi kwenye mstari, tumesahau pia kazi ngumu aliyoifanya mkapa ya kurudisha heshima ya mfanyakazi ambaye wakati wa mwinyi alipoteza kabisa thamani, tumesahau alivyofuta kodi ya kichwa, alivyofuta ada za shule ili kuwezesha wengi waende shule na mengine mengi ambayo hatuwezi kuyahesabu. Leo tunamdhihaki na kumnyanyasa namna hii. Kwakweli binadamu hatuna wema jamani. Muacheni mzee wa watu apumzike. kaifanyia makubwa nchi yetu. hata kama aliiba, alichokifanya pia kinaonekana. Hawa wapinzani wanapewa ruzuku kila siku, hatujawasikia hata wamesaidia kusomesha watoto yatima. Waende zao huko bwana. Mwacheni Mkapa wetu.
Oooh poor Tanzania what's wrong with you? Nchi ni nzuri lakini kutokana na viongozi kufanya dhambi nyingi nchi ni kama imelaaniwa vile! Tutafika kweli?Mahakama ipi? Hizi mahakama za Kikwete zinazosema "muacheni mzee apumzike"? Au wameanzisha mpya?
Wabongo bwana, yaani tumesahau yote aliyofanya Mkapa kwa nchi yetu. barabara zote alizojenga, Dar - Mwanza sasa hivi ni safari ya masaa tu ukilinganisha na siku za nyuma ambapo tulikuwa tunakwenda kwa siku mbili. uwanja wa taifa, madaraja, alivyoinua uchumi nchi yetu ikaanza kupata heshima kimataifa, tumesahau kwamba aliikuta nchi ikiwa imekwisha kabisa.
Tumesahau kazi ngumu aliyoifanya ya kulipa madeni aliyokopa Mwinyi na kuirudisha nchi kwenye mstari, tumesahau pia kazi ngumu aliyoifanya mkapa ya kurudisha heshima ya mfanyakazi ambaye wakati wa mwinyi alipoteza kabisa thamani, tumesahau alivyofuta kodi ya kichwa, alivyofuta ada za shule ili kuwezesha wengi waende shule na mengine mengi ambayo hatuwezi kuyahesabu. Leo tunamdhihaki na kumnyanyasa namna hii. Kwakweli binadamu hatuna wema jamani. Muacheni mzee wa watu apumzike. kaifanyia makubwa nchi yetu. hata kama aliiba, alichokifanya pia kinaonekana. Hawa wapinzani wanapewa ruzuku kila siku, hatujawasikia hata wamesaidia kusomesha watoto yatima. Waende zao huko bwana. Mwacheni Mkapa wetu.
Katika pichaattached , sioni jumba kubwa la kifahari, sana sana an ordinary cottage!!!!!!
This is almost nonsensical propaganda.
The author should get his facts correct before putting pen to paper.
3000 Hectares in Lushoto?
Come on give me a break!!
I dont see that area in Lushoto, Mombo probably yes.
Halafu kijijini, mtu analipwa kiasi gani-kibarua to be exact.
The author should find comparable rates from other areas.
Ama sivyo kwa tunaoelewa rates hii inaonekana upuuzi mtupu.
Na nasema hivyo si kwa ajili ya kusapoti Mkapa , la hasha, ila makala hii imejaa propaganda zaidi kuliko facts.
Huyu jamaa akili zake bwana kama Vangi kweli . Yaani mtu akiwa kazini analipwa mshahara kwa kazi aliyo omba mwenyewe leo anaia tunasema tuone mazuri machache na kuacha uovu mkubwa ? ama kweli wewe ni vangi haya kama sijui maana yake .Wabongo bwana, yaani tumesahau yote aliyofanya Mkapa kwa nchi yetu. barabara zote alizojenga, Dar - Mwanza sasa hivi ni safari ya masaa tu ukilinganisha na siku za nyuma ambapo tulikuwa tunakwenda kwa siku mbili. uwanja wa taifa, madaraja, alivyoinua uchumi nchi yetu ikaanza kupata heshima kimataifa, tumesahau kwamba aliikuta nchi ikiwa imekwisha kabisa.
Tumesahau kazi ngumu aliyoifanya ya kulipa madeni aliyokopa Mwinyi na kuirudisha nchi kwenye mstari, tumesahau pia kazi ngumu aliyoifanya mkapa ya kurudisha heshima ya mfanyakazi ambaye wakati wa mwinyi alipoteza kabisa thamani, tumesahau alivyofuta kodi ya kichwa, alivyofuta ada za shule ili kuwezesha wengi waende shule na mengine mengi ambayo hatuwezi kuyahesabu. Leo tunamdhihaki na kumnyanyasa namna hii. Kwakweli binadamu hatuna wema jamani. Muacheni mzee wa watu apumzike. kaifanyia makubwa nchi yetu. hata kama aliiba, alichokifanya pia kinaonekana. Hawa wapinzani wanapewa ruzuku kila siku, hatujawasikia hata wamesaidia kusomesha watoto yatima. Waende zao huko bwana. Mwacheni Mkapa wetu.
Macho yako yana makengeza?
Mina shauri hao wanakijiji wajichangishe watafute wakili wampeleke mkapa mahakamani!
Serayajimbo said:Kwa sasa vipo vikwazo vingi na sababu nyingi zinazochangia maliasili isiwe chanzo kikubwa cha maendeleo ya uchumi wetu; kwa mfano Azimio la Arusha limekuwa likijadili juu ya maendeleo kupitia ujamaa, kwa bahati mbaya katika maudhui ya azimio hilo, maadili ya uongozi ndiyo yamepewa kipaumbele, alisema Mkapa.
Alisema ili kufikia malengo ni lazima kutimiza masharti manne ambayo yatagusa watu, ardhi, sera nzuri na uongozi bora ambapo kwa upande wa watu ni lazima wawe na elimu bora
Hayo mazuri aliyoyafanya yalikuwa ni hisani au wajibu wake? Kwa kukusaidia ilikuwa ni wajibu wake kuyafanya hayo na zaidi ya hayo...We gave him privileges ambazo huwa zina responsibilities. Tulimpa urais ili ayatekeleze hayo. Sasa akitenda kinyume na wajibu tuliompa ni lazima awajibike. Hizo ndio principles za uongozi mkuu...!Wabongo bwana, yaani tumesahau yote aliyofanya Mkapa kwa nchi yetu. barabara zote alizojenga, Dar - Mwanza sasa hivi ni safari ya masaa tu ukilinganisha na siku za nyuma ambapo tulikuwa tunakwenda kwa siku mbili. uwanja wa taifa, madaraja, alivyoinua uchumi nchi yetu ikaanza kupata heshima kimataifa, tumesahau kwamba aliikuta nchi ikiwa imekwisha kabisa.
Tumesahau kazi ngumu aliyoifanya ya kulipa madeni aliyokopa Mwinyi na kuirudisha nchi kwenye mstari, tumesahau pia kazi ngumu aliyoifanya mkapa ya kurudisha heshima ya mfanyakazi ambaye wakati wa mwinyi alipoteza kabisa thamani, tumesahau alivyofuta kodi ya kichwa, alivyofuta ada za shule ili kuwezesha wengi waende shule na mengine mengi ambayo hatuwezi kuyahesabu. Leo tunamdhihaki na kumnyanyasa namna hii. Kwakweli binadamu hatuna wema jamani. Muacheni mzee wa watu apumzike. kaifanyia makubwa nchi yetu. hata kama aliiba, alichokifanya pia kinaonekana. Hawa wapinzani wanapewa ruzuku kila siku, hatujawasikia hata wamesaidia kusomesha watoto yatima. Waende zao huko bwana. Mwacheni Mkapa wetu.
Raia Mwema ni gazeti la uchambuzi mkuu, unaongea nini? Au huwa unaogopa kulisoma?Huyu bro ni mwandishi wa matukio sio mchambuzi. Habari kama hizo unazipata kwenye magazeti kama Raiamwema nakadhalika
Vangi,
Ni kweli tumesahau. Lakini nakuhakikishia hatutasahau jinsi alivyoanzisha biashara akiwa Ikulu. Hatutasahau jinsi alivyouza NBC kwa bei chee kwa Makaburu kwa kupewa kitita cha hongo. Hatutasahau jinsi alivyojimegea mgodi wa Kawira. Hatutasahau jinsi alivyoingiza kampuni ya ndugu zake kwa mabavu ya Ikulu kutusimamia TANESCO. Hatutasahau jinsi alivyojinunulia dege la fahari kwa hela zilizojaa rushwa. Hatutasahau jinsi alivyotuwekea mazingira ya kumpata Kikwete kuwa rais wetu mpya. Hatutasahau, na ukitaka ninaweza kuendelea tena na tena........