Mkapa awaliza wanakijiji Lushoto

Mkapa awaliza wanakijiji Lushoto

Mahakama ipi hiyo? Kungekuwa na mahakama na sheria zinazotekelezwa Tanzania ungekuta Mkapa yuko Jela au nje kwa dhamana akisubiri hukumu kwa kesi zake za kuiuza nchi kwa wawekezaji uchwara, yeye mwenyewe na familia na marafiki wakiwa miongoni mwa wachwara hao.

Sitamsahau mkapa kwa kujidai kubinafsisha mashirika ya umma yote, hata yale ambayo yalihitaji tu kubadilisha uongozi (managament contract). Alifanya hivyo kwa kuwa mengi ya mashirika alifaidika nayo kwa ile 10% au kupewa vitega uchumi. Hivi ni nani anakumbuka lile panga or something of that nature cha dhahabu alikadidhiwa na kampuni moja ya madini?? Je aliliacha Ikulu kama mali ya serikali/archive au ni lake?? Aliye na zile picha za hongo/rushwa ile adondoshe hapa maana ilikuwa open na media ilirusha. sitakusahau kwa ufisadi wako wa kinafiki wewe mkaa kanisani kiti cha mbele wakati hata ndoa na familia imara huna.
Looo salaleeeeeh
 
Yote tisa,kumi ni hili la Mkapa kudai haifai kuyapa maadili ya uongozi kipaumbele licha ya kwamba mojawapo ya masharti aliyoyataja kama mbadala wa hayo ya Azimio la Arusha ni uongozi bora,ni kivipi utakuwa na uongozi bora bila maadili ya uongozi?Hilo nadhani Ben mwenyewe anaweza jibu.
Ulinena
 
You have said it all, Mahakama za Kikwete? Hakuna mahakama bali michezo ya kuigiza ya kuwapeleka wakina Mramba mahakamani wakati huohuo anachagulia kuwa bosi wa Tanroads wa mkoa! Nchi imepata kiongozi msanii na inaendeshwa kisanii, lakini ole wenu CCM kwani kila mnalolifanya gizani ipo siku litawekwa kwenye mwanga kama ilivoanza kutokea. Mkapa & Kikwete, you wont get away for all the evils you have commited and letting your fellow evils commit.
Hatari
 
Pamoja na mazuri yote hayo (kwa mujibu wako), je ndo tumpigie vigelegele akifanya FYONGO?
Dawa ya malaika muasi ni Jahanam ya MOTO, kama Mkapa hatorudisha aliyoiba basi moto wa ahera unamngoja bila shaka.
Hatutanyamaza mpaka anyooke
Asalaleeeeh
 
Uvivu wa kufikiri, aliamini kila alichoambiwa na wazungu. Sijui kwa vile alilelewa kwa msaada wa masist!!. Cha ajabu alianza kuwatukana wananchi wake kuwa wana wivu, wavivu wa kufikiri n.k badala ya kuwatia morale ya kazi. Je nayo hayo ni ya kusahau????
Kumbe Ben kuwadharau wabongo alianza kitambo,

Nikikumbuka alivyowaita watu wazima malofa na wapumbavu, nabaki kusikitika tuuu.
 
Madongo anayopata mbona tayari ni moto! huyu jehanamu kaianzia duniani ila ana ngozi ngumu kama ya tembo la sivyo angeshakubali makosa na akasamehewa yakaisha, naomba mungu aniongezee siku mpaka nione mwisho wa huyu chinga kwani naamini kuna siku ya siku atalipa vyote alivyokwapua kutoka kwa watanzania na kama si 2010 au 2015 basi 2020 penalt zitaamua nani mshindi, namwombea saaana afike huko
2020 ndio hii chief
 
Mhhhh
 
Aisee
 
Wabongo bwana, yaani tumesahau yote aliyofanya Mkapa kwa nchi yetu. barabara zote alizojenga, Dar - Mwanza sasa hivi ni safari ya masaa tu ukilinganisha na siku za nyuma ambapo tulikuwa tunakwenda kwa siku mbili. uwanja wa taifa, madaraja, alivyoinua uchumi nchi yetu ikaanza kupata heshima kimataifa, tumesahau kwamba aliikuta nchi ikiwa imekwisha kabisa.
Tumesahau kazi ngumu aliyoifanya ya kulipa madeni aliyokopa Mwinyi na kuirudisha nchi kwenye mstari, tumesahau pia kazi ngumu aliyoifanya mkapa ya kurudisha heshima ya mfanyakazi ambaye wakati wa mwinyi alipoteza kabisa thamani, tumesahau alivyofuta kodi ya kichwa, alivyofuta ada za shule ili kuwezesha wengi waende shule na mengine mengi ambayo hatuwezi kuyahesabu. Leo tunamdhihaki na kumnyanyasa namna hii. Kwakweli binadamu hatuna wema jamani. Muacheni mzee wa watu apumzike. kaifanyia makubwa nchi yetu. hata kama aliiba, alichokifanya pia kinaonekana. Hawa wapinzani wanapewa ruzuku kila siku, hatujawasikia hata wamesaidia kusomesha watoto yatima. Waende zao huko bwana. Mwacheni Mkapa wetu.
Kwwli kafanya kazi ila pia huyu mzee kaingiza nnchi hii kwenye hali ya utata Sana ilikaribia kidogo aiuzee tanesco kwa makaburu acha Hilo uchaguz wazanzibar watu walivyo kufaa 2001. Pia kauza nyumba za serikali akishirikiana na magufuli
 
Vangi,
Ni kweli tumesahau. Lakini nakuhakikishia hatutasahau jinsi alivyoanzisha biashara akiwa Ikulu. Hatutasahau jinsi alivyouza NBC kwa bei chee kwa Makaburu kwa kupewa kitita cha hongo. Hatutasahau jinsi alivyojimegea mgodi wa Kawira. Hatutasahau jinsi alivyoingiza kampuni ya ndugu zake kwa mabavu ya Ikulu kutusimamia TANESCO. Hatutasahau jinsi alivyojinunulia dege la fahari kwa hela zilizojaa rushwa. Hatutasahau jinsi alivyotuwekea mazingira ya kumpata Kikwete kuwa rais wetu mpya. Hatutasahau, na ukitaka ninaweza kuendelea tena na tena........
Umenena
 
Madongo anayopata mbona tayari ni moto! huyu jehanamu kaianzia duniani ila ana ngozi ngumu kama ya tembo la sivyo angeshakubali makosa na akasamehewa yakaisha, naomba mungu aniongezee siku mpaka nione mwisho wa huyu chinga kwani naamini kuna siku ya siku atalipa vyote alivyokwapua kutoka kwa watanzania na kama si 2010 au 2015 basi 2020 penalt zitaamua nani mshindi, namwombea saaana afike huko
Duuuuuh watu mna utabiri sijawah ona.
 
Kwwli kafanya kazi ila pia huyu mzee kaingiza nnchi hii kwenye hali ya utata Sana ilikaribia kidogo aiuzee tanesco kwa makaburu acha Hilo uchaguz wazanzibar watu walivyo kufaa 2001. Pia kauza nyumba za serikali akishirikiana na magufuli
Ndio maana Magufuli anamsujudia sana mzee ben
 
Madongo anayopata mbona tayari ni moto! huyu jehanamu kaianzia duniani ila ana ngozi ngumu kama ya tembo la sivyo angeshakubali makosa na akasamehewa yakaisha, naomba mungu aniongezee siku mpaka nione mwisho wa huyu chinga kwani naamini kuna siku ya siku atalipa vyote alivyokwapua kutoka kwa watanzania na kama si 2010 au 2015 basi 2020 penalt zitaamua nani mshindi, namwombea saaana afike huko
Maweeeeeed
 
Sasa huyo Mwinyi unaemsakama sio ndie aliyekupa mdomo leo wa kusema????????
Uzuri wa wabongo ni usahaulifu... "Mwinyi aliwakuta wanatembea uchi akawavika... walikuwa na utapiamlo akawapa lishe... walitembelea 109 na pijo na bus maarufu Leyland mkapata hilux, terano na bus isuzu mv mkaziona!! Vituo vya Tv vilikuwa ni simulizi za nchi jirani kama vile "Zanzibar, Kenya na Uganda..." tukaanza kuviona hapa kwetu.. kumiliki luninga ilikuwa ubepari na uhujumu uchumi kabla ya mzee ruksa... achilia mbali kunywa chai ilionekana kwamba ni tabia ya wenye asili ya asia yetu iikuwa ni kuguguna dona la yanga!!! Twasubiri atangulie mbele ya haki ndipo tumsifie!!!
TU WANAFIKI WASIO NA SHUKRANI!!
Ila sioni ajabu nchi hii wamewahi sifiwa majizi huku wazalendo wakisahaulika...
 
Marais waislamu huwa wanaleta neema sana kwa watz, ila marais wakatoliki wanachotufanyia maulana anajua.
 
Madongo anayopata mbona tayari ni moto! huyu jehanamu kaianzia duniani ila ana ngozi ngumu kama ya tembo la sivyo angeshakubali makosa na akasamehewa yakaisha, naomba mungu aniongezee siku mpaka nione mwisho wa huyu chinga kwani naamini kuna siku ya siku atalipa vyote alivyokwapua kutoka kwa watanzania na kama si 2010 au 2015 basi 2020 penalt zitaamua nani mshindi, namwombea saaana afike huko

2020 kweli penati zimeamua
 
Uzuri wa wabongo ni usahaulifu... "Mwinyi aliwakuta wanatembea uchi akawavika... walikuwa na utapiamlo akawapa lishe... walitembelea 109 na pijo na bus maarufu Leyland mkapata hilux, terano na bus isuzu mv mkaziona!! Vituo vya Tv vilikuwa ni simulizi za nchi jirani kama vile "Zanzibar, Kenya na Uganda..." tukaanza kuviona hapa kwetu.. kumiliki luninga ilikuwa ubepari na uhujumu uchumi kabla ya mzee ruksa... achilia mbali kunywa chai ilionekana kwamba ni tabia ya wenye asili ya asia yetu iikuwa ni kuguguna dona la yanga!!! Twasubiri atangulie mbele ya haki ndipo tumsifie!!!
TU WANAFIKI WASIO NA SHUKRANI!!
Ila sioni ajabu nchi hii wamewahi sifiwa majizi huku wazalendo wakisahaulika...
Kwahiyo kwako hayo ndo maendeleo?🤦🏾‍♂️
 
Back
Top Bottom