Aaah wapi wakati hata stahiki zake bado hazijalipwa na sasa ni takiribani mwezi wa pili, kuna wema hapo mkuu?Sawa.
Jiwe mbona tumemshukuru baada ya kumaliza kazi yake ya kuteka, kuua na kutesa watu.
r.i.h Jiwe
Tutamlipa, mbona kazini kwetu kuna mbaba kastaafu huu mwaka wa tatu hajalipwa bado stahiki zake?Aaah wapi wakati hata stahiki zake bado hazijalipwa na sasa ni takiribani mwezi wa pili, kuna wema hapo mkuu?
Mkuu huyo baba wa hapo kazini kwenu si inawezekana michango yake labda haijaenda yote kwenye mfuko, au hata labda kuna issue ma'document'.Tutamlipa, mbona kazini kwetu kuna mbaba kastaafu huu mwaka wa tatu hajalipwa bado stahiki zake?
Jiwe alibeba pesa mifuko ya hifadhi ya jamii kujinasua akaamua kuondoa fao la kujitoa, kuvunja mifuko na kujifanya abaiboresha kwa maslahi ya watumishi.
Sasa mtu kama huyo atendewe fadhila ili iweje?.
Vijana tunashindwa kuacha kazi kwakuwa tukifanya hivyo hatutapata pesa zetu.
Kiukweli utawala wa mwenda zake binafsi sipendi urejee tena hapa tz. Yaani hata kuchangia hapa kwa kutumia akili tuliogopa. Hao wastaafu hasa waliotangulia mbele za haki bila kupata chao, waliopo wanavyosumbuka, dahMkuu huyo baba wa hapo kazini kwenu si inawezekana michango yake labda haijaenda yote kwenye mfuko, au hata labda kuna issue ma'document'.
Jiwe docs zote ziko fresh ingebidi iwe chap tu. Halafu hayo mambo ya fao la kujitoa si mambo ya kisheria tu mkuu na as long as bado tunaishi mabadiliko ya sheria yatakuja tu. Mbona zishabadilika sheria nyingi tu mkuu ili kuboresha maisha.
unamteta ole sabaya muaji mkubwa huyuMzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri.
Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa kisawasawa hadi ikabidi Ben mwenyewe asimame kortini kama shahidi wa utetezi.
Ben alikumbuka pia kwa machungu na hasira tuhuma alizopewa na zikamchafua sana licha ya kwamba sio za kweli na nzito mno. Maswala kama ya kuwa alitumia jina la ikulu kujipatia mkopo binafsi wa Bilioni 1 wakati si kweli na kwamba migodi ya makaa ya mawe aliwapa wakwe zake na sivyo ilivyokuwa yalikuwa tuhuma zilizomsikitisha sana.
Mambo ya namna hiyo yalimfanya akatamka kwamba 'The public service is so thankless' yaani utumishi wa umma humalizika kwa teke la punda, hauna wema.
Binafsi nikitafakari hatima za viongozi waliowahudumia vyema wananchi nyakati fulani namna wanavyoondolewa madarakani kwa fedheha bila kukumbuka chembe ya fadhila zao na utumishi wao mwema nabaini kwamba BEN alikuwa sahihi.
Nawasihi viongozi wa umma wajiandae kisaikolojia kwa habari hii ya teke la punda ili wasipate maumivu makubwa pale wanaporudishiwa mabaya kwa mema.
Naona una huzuni nyingi baada ya bosi wako kusimamishwa kazi. Kama ulitegemea vya bure, ni wakati wako sasa huu kuanza kujifunza kuishi kwa jasho. Hakuna namna.Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri.
Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa kisawasawa hadi ikabidi Ben mwenyewe asimame kortini kama shahidi wa utetezi.
Ben alikumbuka pia kwa machungu na hasira tuhuma alizopewa na zikamchafua sana licha ya kwamba sio za kweli na nzito mno. Maswala kama ya kuwa alitumia jina la ikulu kujipatia mkopo binafsi wa Bilioni 1 wakati si kweli na kwamba migodi ya makaa ya mawe aliwapa wakwe zake na sivyo ilivyokuwa yalikuwa tuhuma zilizomsikitisha sana.
Mambo ya namna hiyo yalimfanya akatamka kwamba 'The public service is so thankless' yaani utumishi wa umma humalizika kwa teke la punda, hauna wema.
Binafsi nikitafakari hatima za viongozi waliowahudumia vyema wananchi nyakati fulani namna wanavyoondolewa madarakani kwa fedheha bila kukumbuka chembe ya fadhila zao na utumishi wao mwema nabaini kwamba BEN alikuwa sahihi.
Nawasihi viongozi wa umma wajiandae kisaikolojia kwa habari hii ya teke la punda ili wasipate maumivu makubwa pale wanaporudishiwa mabaya kwa mema.
Makini sanaMzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri.
Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa kisawasawa hadi ikabidi Ben mwenyewe asimame kortini kama shahidi wa utetezi.
Ben alikumbuka pia kwa machungu na hasira tuhuma alizopewa na zikamchafua sana licha ya kwamba sio za kweli na nzito mno. Maswala kama ya kuwa alitumia jina la ikulu kujipatia mkopo binafsi wa Bilioni 1 wakati si kweli na kwamba migodi ya makaa ya mawe aliwapa wakwe zake na sivyo ilivyokuwa yalikuwa tuhuma zilizomsikitisha sana.
Mambo ya namna hiyo yalimfanya akatamka kwamba 'The public service is so thankless' yaani utumishi wa umma humalizika kwa teke la punda, hauna wema.
Binafsi nikitafakari hatima za viongozi waliowahudumia vyema wananchi nyakati fulani namna wanavyoondolewa madarakani kwa fedheha bila kukumbuka chembe ya fadhila zao na utumishi wao mwema nabaini kwamba BEN alikuwa sahihi.
Nawasihi viongozi wa umma wajiandae kisaikolojia kwa habari hii ya teke la punda ili wasipate maumivu makubwa pale wanaporudishiwa mabaya kwa mema.
Huyu mama ni mpuuzi sanaAaah wapi wakati hata stahiki zake bado hazijalipwa na sasa ni takiribani mwezi wa pili, kuna wema hapo mkuu?
Tutamlipa, mbona kazini kwetu kuna mbaba kastaafu huu mwaka wa tatu hajalipwa bado stahiki zake?
Jiwe alibeba pesa mifuko ya hifadhi ya jamii kujinasua akaamua kuondoa fao la kujitoa, kuvunja mifuko na kujifanya abaiboresha kwa maslahi ya watumishi.
Sasa mtu kama huyo atendewe fadhila ili iweje?.
Vijana tunashindwa kuacha kazi kwakuwa tukifanya hivyo hatutapata pesa zet
Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri.
Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa kisawasawa hadi ikabidi Ben mwenyewe asimame kortini kama shahidi wa utetezi.
Ben alikumbuka pia kwa machungu na hasira tuhuma alizopewa na zikamchafua sana licha ya kwamba sio za kweli na nzito mno. Maswala kama ya kuwa alitumia jina la ikulu kujipatia mkopo binafsi wa Bilioni 1 wakati si kweli na kwamba migodi ya makaa ya mawe aliwapa wakwe zake na sivyo ilivyokuwa yalikuwa tuhuma zilizomsikitisha sana.
Mambo ya namna hiyo yalimfanya akatamka kwamba 'The public service is so thankless' yaani utumishi wa umma humalizika kwa teke la punda, hauna wema.
Binafsi nikitafakari hatima za viongozi waliowahudumia vyema wananchi nyakati fulani namna wanavyoondolewa madarakani kwa fedheha bila kukumbuka chembe ya fadhila zao na utumishi wao mwema nabaini kwamba BEN alikuwa sahihi.
Nawasihi viongozi wa umma wajiandae kisaikolojia kwa habari hii ya teke la punda ili wasipate maumivu makubwa pale wanaporudishiwa mabaya kwa mema.
Umegusa.....Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri.
Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa kisawasawa hadi ikabidi Ben mwenyewe asimame kortini kama shahidi wa utetezi.
Ben alikumbuka pia kwa machungu na hasira tuhuma alizopewa na zikamchafua sana licha ya kwamba sio za kweli na nzito mno. Maswala kama ya kuwa alitumia jina la ikulu kujipatia mkopo binafsi wa Bilioni 1 wakati si kweli na kwamba migodi ya makaa ya mawe aliwapa wakwe zake na sivyo ilivyokuwa yalikuwa tuhuma zilizomsikitisha sana.
Mambo ya namna hiyo yalimfanya akatamka kwamba 'The public service is so thankless' yaani utumishi wa umma humalizika kwa teke la punda, hauna wema.
Binafsi nikitafakari hatima za viongozi waliowahudumia vyema wananchi nyakati fulani namna wanavyoondolewa madarakani kwa fedheha bila kukumbuka chembe ya fadhila zao na utumishi wao mwema nabaini kwamba BEN alikuwa sahihi.
Nawasihi viongozi wa umma wajiandae kisaikolojia kwa habari hii ya teke la punda ili wasipate maumivu makubwa pale wanaporudishiwa mabaya kwa mema.
Amenukuu Kitabu chake...na vitabu vinaishi.....Pole sana kwa msiba. Kwamba tokea Mkapa aseme yake na wewe haya wasema leo?
Kwa hakika ukiona manyoya tambua kuwa huyo kesha liwa kichwa!