Nimependa exchange kati ya Jidu la Mabambasi na Eric Cartman,
Naomba pia kuwajuza kwa sasa kuna Wazalendo wameweza kupata mradi wa Ujenzi wa barabara na walipata guarantee kupitia benki zetu za hapa hapa changamoto kubwa ni miradi ya serikali GOT kutolipa kwa wakati - erratic cash flow, wanayumba sana ofcourse they are in horrible situation.
Nini cha kufanya ni kurekebisha sheria za manunuzi ziwe nzuri ili kuwawezesha local contractors wapate kazi na waacces benki kirahisi na pia serikali iwe na budget principles - you have cash float tender you don't, better do other business. Ndo dunia ya leo inavyokwenda bla bla hazina nafasi leo.
Swala jepesi lipa wakandarasi kwa wakati sector itakuwa na italeta ushawashi watu kujiunga maana mabenki yapo tayari kutoa mikopo kwa miradi ya serikari.
Kwa hilo lirekebishike serikari lazima sio tu kila mwaka ipange budget halafu hakuna monitoring procedures au vipaumbele vyao. Wewe uwezi kutumia makadirio kufanya miradi wakati auna uhakika na sources of your other income (hizo hela za donors).
Budget aiwezi kuwa aina vipaumbele vya serikari na kujua tukifikia kiasi fulani ni alert sio mpaka serikari ikose hela kabisa kama mwaka jana raisi alivyodai walikuwa wamefilisika bahati nzuri capital gain tax ya $250 baada ya wazungu kubadilishana vitalu ndio iliyo okoa shughuli za serikari vitu vya ajabu hivyo.
Lazima ujue which are reliable sources of income and non guarantee source zako (kwa nchi ambayo short falls are difficult to be covered), weka vipaumbele vyako kikubwa ni shughuli za uendeshaji wa serikari labda mishahara, dawa na mambo ya lazima lengea source ambazo una uhakika nazo huko, vitu ambavyo unaona vinaweza subiri wekea unreable source of income usitoe tender mpaka unapata hela zake, kata marupu marupu ya posho ukifikia kwenye alert etc to do with budgeting monitoring ni vitu vya ajabu sana serikari kukosa hela za mishahara ya walimu, kazi zake including tender inazotoa za chakula cha wanafunzi.
Ni wazi kuna uzembe mkubwa kwa nchi zingine this is unacceptable sio kwamba na wao serikari uwa azipati shortfall kutokana na mambo mengi ambayo awakuyatarajia kwenye source zao; ila wanajiandaa na wanaweza raise funds kwenye bonds market kutokana na watu kuziamini sera zao za maendeleo.
Sio kila mwaka wewe ufikii budget yako na bado unaongeza makadirio kila mwaka, una madeni luluki, una budget deficit na unategemea msaada wa watu wale wale waliokunyima mwaka jana, budget ambayo aina impact ya uchumi mkubwa (kuwafikia watanzania wengi).
I tell you jamaa wa wizara ya fedha na sehemu za uchumi si lolote si chochote ndani ya Tanzania tu-mamskini kwa sababu pia mipango yetu ni mibovu na kuna ombwe la taaluma ya uchumi na finances huo ndio uhalisia ninao uona.