RAIS Mstaafu Benjamini Mkapa amekuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Bodi ya Wakandarasi unaofanyika tarehe 14 Mei 2015. Mwenyeji wake akiwa Dr.John Magufuli , ikumbukwe Mkapa ndiye aliyezianzisha Bodi hizo na Magufuli akazisimamia vilivyo. Makandarasi na Wahandisi wamekiri kuwahi kualikwa Ikulu na Mkapa wengi ikwa mara yao ya kwanza kufika Ikulu.