Mkapa aipa kolabo Wizara ya Magufuli

Mkapa aipa kolabo Wizara ya Magufuli

Ndugu hivi umeisoma vizuri road geometry manual tunayotumia? Kama huna nijubu nikupe pia angalia uwiano wa urban roads na trunk & regional roads!

Huyo naye sijui anataka wakijenga wasilibe hadi mifereji? Ajali ni suala la madereva kujiongeza tu! Wewe uko katikati ya jiji unakimbilia wapi? Tusiwe wavivu, barabara hizo hazina uhusiano na ajali!
 
attachment.php

RAIS Mstaafu Benjamini Mkapa amekuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Bodi ya Wakandarasi unaofanyika tarehe 14 Mei 2015. Mwenyeji wake akiwa Dr.John Magufuli , ikumbukwe Mkapa ndiye aliyezianzisha Bodi hizo na Magufuli akazisimamia vilivyo. Makandarasi na Wahandisi wamekiri kuwahi kualikwa Ikulu na Mkapa wengi ikwa mara yao ya kwanza kufika Ikulu.

Rais mstaafu Benjamin Mkapa apewe hi kwa kusisitiza kuwa wakandarasi wazalendo waendelee kupewa kipaumbeke katika kupewa kazi za ujenzi na si makampuni ya nje.
Wakandarasi wengi wameupongeza msimamo huo na kwamba hatimaye ujumbe wao wa siku nyingi umeanza kueleweka na viongozi wa ngazi za juu.
mkapa alisisitiza kuwa makampuni ya ujenzi ya nje yanarudisha fedha kwao pindipo wanapolipwa, tofauti na wazalendo wanaowekeza nchini.
Rais Mkapa alisisitiza pia kuwa anapinga kwa nguvu zote, ati "ushirikiano" wa kibiashara na nchi za ulaya (EU/Africa Cooperation) na kusema ni mbinu tu za kunyonya nchi za Afrika, kwa maana hilo litaongeza utegemezi na kupelekea kunyonywa tu rasilmalizetu. Kwa sheria walizojiwekewa ulaya hakuna nchi ya Afrika inaweza kufanya biashara ya faida na nchi hizo.

Wakandarasi wengi walisikika kuwa Mkapa bado kichwa!
 
Huyo naye sijui anataka wakijenga wasilibe hadi mifereji? Ajali ni suala la madereva kujiongeza tu! Wewe uko katikati ya jiji unakimbilia wapi? Tusiwe wavivu, barabara hizo hazina uhusiano na ajali!

Mkuu, Usalama barabarani unakuja na udereva mzuri na mchongo bora wa barabara.

Usikurupuke bila ya kufikiri au angalau kujisomea katika mtandao.

Kuna kampuni za wahandisi zinazofanya kazi ya utafiti wa kutengeneza barabara imara ili kupunguza ajali.

Kama hakuna uhusiano wa ujenzi wa barabara na ajali, hawa wahandisi wasingefanya utafiti wa kujenga barabara za kuzidisha usalama.

Sumbua ubongo kidogo!

Soma hapa. Kama huelewi, uliza.

For 50 years, ARRB have been undertaking quality, independent road safety research and consulting projects.

Road safety engineering research focuses on ways to improve the road environment in order to reduce road safety risk, as part of the Safe System approach.

Well-researched design guidelines, monitoring of road crashes, timely problem identification, and implementation of remedial treatments and evaluation of countermeasures are all critical to the safety of the road network.

ARRB’s expertise in road design and traffic engineering includes:

development of road safety strategy and action plans.

speed limits and speed management
blackspot, mass action and proactive programs.

road safety audit procedures, training and implementation.

accident analysis and countermeasure development.

roadside hazard management
safety for pedestrians, cyclists and motorcyclists.

human factors in road design and traffic management.

investigation of road design practices
development of road design and traffic management guidelines.

evaluation of remedial treatments and effectiveness of traffic control devices
economic evaluation of road safety treatments and program.

Intelligent Transport Systems (ITS) and road safety.

railway level crossings.

source: arrb.com.au
 
Mimi nimekukimbia!

Mkuu,

Hapa tupo kujifunza na kuelimishana.

Kuna wachangiaji wengine hawajafundishwa "debate etiquette" mashuleni.

Wanakurupuka na kutumia lugha ya dharau / kejeli kwa mchangiaji badala ya kujenga hoja za kunipinga.

Ninakusoma na ninajielimisha.
 
Njoo na majibu ya kihuni kama mlevi wa gongo, nakupa za uso.

Utanifahamu tu bila ya kubahatisha!

Keep talking, someday you'll say something intelligent!

Nyie ndo wale wanaaga watoto na mke kuwa wanaenda 'abroad' AKA ng'ambo.....kumbe mkuu ukweli upo next door hapo Kampala..
 
Sidhani kama Mh. DK. J. P. Magufuli ndiye anasababisha madereva wasifuate sheria za usalama barabarani. Maana madereva wengi ni walevi na wanaongea na simu wakiendesha vyombo vya moto!
 
Nakubaliana na nondo yako, si ajabu hata kuona matanganzo mengi ya TV yanasisitiza ni hatari kuendesha ukiwa umelewa.
 
Rais mstaafu Benjamin Mkapa apewe hi kwa kusisitiza kuwa wakandarasi wazalendo waendelee kupewa kipaumbeke katika kupewa kazi za ujenzi na si makampuni ya nje.
Wakandarasi wengi wameupongeza msimamo huo na kwamba hatimaye ujumbe wao wa siku nyingi umeanza kueleweka na viongozi wa ngazi za juu.
mkapa alisisitiza kuwa makampuni ya ujenzi ya nje yanarudisha fedha kwao pindipo wanapolipwa, tofauti na wazalendo wanaowekeza nchini.
Rais Mkapa alisisitiza pia kuwa anapinga kwa nguvu zote, ati "ushirikiano" wa kibiashara na nchi za ulaya (EU/Africa Cooperation) na kusema ni mbinu tu za kunyonya nchi za Afrika, kwa maana hilo litaongeza utegemezi na kupelekea kunyonywa tu rasilmalizetu. Kwa sheria walizojiwekewa ulaya hakuna nchi ya Afrika inaweza kufanya biashara ya faida na nchi hizo.

Wakandarasi wengi walisikika kuwa Mkapa bado kichwa!

Hata na mimi nakubaliana Mkapa ni Kichwa!
 
Unajua vitu vingine bwana watu wanavyotakaga kusifia hata uelewi misingi yake.

Hivi nani asietaka kuona wazalendo wanaendesha kila kitu ndani ya Tanzania na kuiacha hela yao humu humu ndani.

Wants ni zaidi ya wishful thinking, kuwekeza wenyewe inataka mtu awe na hela ya kutosha na kwa Tanzania naona inabidi uwe tajiri uliyeshiba sio tia maji tia maji kabla ya kujitia kihere here cha kufanya biashara na serikari.

Yaani baada ya mkutano tu wakandarasi kitu cha kwanza kulalamika ni malipo ambayo yanachelewa sana na kuwaletea gharama zingine za mikopo, suppliers nao malalamiko kucheleweshewa kwa wakandarasi kunawaumiza biashara zao maana mkandarasi anakuwa hana hela kwendelea na tender nyingine na wao kukosa biashara; I am thinking the bank too zitakuwa sceptical too soon kutoa mikopo ya wakandarasi inaofanya biashara na serikari kama hii tabia aitobadilika.

Huu utaratibu ni kila sehemu iwe unatoa chakula mashuleni au unazoa taka; sidhani mzungu anayepiga hesabu ya return n time basis anaweza kufanya upuuzi na kama yupo it is only a matter of time before he is out.

In other words alichokisema bwana Mkapa is just the popular thing among the Tanzania audience for now lakini tofauti kabisa serikari kuwa committed kuwawezesha watanzania particularly watu wenye mitaji ya kubahatisha; no wonder wavuta pumzi kama hakina Manji hii biashara ya tender ndio inawatajirisha wana hela za kusubiri malipo ya miaka bila ya kuathirika kiuchumi hakiba za nguvu.

Inafika wakati tuache ushabiki na kuita kijiko kama kijiko sio koleo.
 
Mkuu, Usalama barabarani unakuja na udereva mzuri na mchongo bora wa barabara.

Usikurupuke bila ya kufikiri au angalau kujisomea katika mtandao.

Kuna kampuni za wahandisi zinazofanya kazi ya utafiti wa kutengeneza barabara imara ili kupunguza ajali.

Kama hakuna uhusiano wa ujenzi wa barabara na ajali, hawa wahandisi wasingefanya utafiti wa kujenga barabara za kuzidisha usalama.

Sumbua ubongo kidogo!

Soma hapa. Kama huelewi, uliza.

For 50 years, ARRB have been undertaking quality, independent road safety research and consulting projects.

Road safety engineering research focuses on ways to improve the road environment in order to reduce road safety risk, as part of the Safe System approach.

Well-researched design guidelines, monitoring of road crashes, timely problem identification, and implementation of remedial treatments and evaluation of countermeasures are all critical to the safety of the road network.

ARRB's expertise in road design and traffic engineering includes:

development of road safety strategy and action plans.

speed limits and speed management
blackspot, mass action and proactive programs.

road safety audit procedures, training and implementation.

accident analysis and countermeasure development.

roadside hazard management
safety for pedestrians, cyclists and motorcyclists.

human factors in road design and traffic management.

investigation of road design practices
development of road design and traffic management guidelines.

evaluation of remedial treatments and effectiveness of traffic control devices
economic evaluation of road safety treatments and program.

Intelligent Transport Systems (ITS) and road safety.

railway level crossings.

source: arrb.com.au
Kukimbilia net ndo kushughulisha ubongo huko? Huu ndo uvivu wa wa-TZ madesa yanatuharibu sana!! Shughulisha ubongo kwa kuangalia hali halisi na ujihoji kwenye halmashauri ya kichwa chako mwenye, siyo kukimbilia maandishi wa watu!! Kama hao watafiti wako hawajagusia habari ya uendeshaji salama na kuzingatia mwendokasi sitawaelewa!! Ulishaiona Nairobi-Thika highway? Uliza kama hakuna ajali!! Mchango mkubwa wa kudhibiti ajali uko kwa madereva, wakizingatia sheria nakuhakikishia ajali zitapungua mno!! Kwa mjini hutasikia ajali ya kuanguka, bali zitabaki zile mnazoparurana kwenye mataa tu!!
 
Tatizo la Wabongo, hawapendi kusoma.

Nimeandika kwamba usalama wa barabara unatoka kwa madereva na jinsi barabara zinavyojengwa.

Wewe ulikurupuka na kuandika barabara hazina uhusiano na ajali. Huu ndio ubongo wako ulivyokutuma kuandika hapa.

Sasa nionyeshe Mhandisi yoyote atakayekataa kuwa hivi vitu viwili vinaenda pomoja, kumbuka wewe umekataa kwamba hauna uhusiano.

Kama unajua Kiingereza, hao Wahandisi wa Australia pia wameandika hivyo hivyo; wanafanya utafiti wa kujenga barabara ili KUPUNGUZA AJALI. Hamna barabara isiyokosa ajali lakini tunaweza kupunguza ajali kwa kuendesha vizuri na kujenga vizuri.

Mtu yoyote mwenye akili hawezi kuchonga barabara zenye mashimo pembeni au katikati na kusema hazisaidii kuongeza ajali.

Wewe una ubishi wa kitoto na wa kijinga. Huwezi kutegemea dereva tu aepushe ajali kama unavyodai. Ukionyeshwa watalaam wanavyofanya utafiti wa kujenga barabara kupunguza ajali unakimbilia kusema ajali ziko kila barabara. Nani alibisha?

Japan wana barabara imara kama Marekani.
Wana sheria kali barabarani kama Marekani.
Lakini watu wanaokufa Japan ni chini ya 6000 kwa MWAKA.
Marekani wanakufa 30,000.

Unajua kwa nini?

Kutumia mtandao una faida zaidi ya kuangalia ngono!
 
Tatizo la Wabongo, hawapendi kusoma.

Nimeandika kwamba usalama wa barabara unatoka kwa madereva na jinsi barabara zinavyojwngwa.

Wewe ulikurupuka na kuandika barabara hazina uhusiano na ajali. Huu ndio ubongo wako ulivyokutuma kuandika hapa.

Sasa nionyeshe Mhandisi yoyote atakayekataa kuwa hivi vitu viwili vinaenda pomoja, kumbuka wewe umekataa kwamba hauna uhusiano.

Kama unajua Kiingereza, hao Wahandisi wa Australia pia wameandika hivyo hivyo; wanafanya utafiti wa kujenga barabara ili KUPUNGUZA AJALI. Hamna batabara isiyokosa ajali lakini tunaweza kupunguza ajali kwa kuendesha vizuri na kujenga vizuri.

Mtu yoyote mwenye akili hawezi kuchonga barabara zenye mashimo pembeni au katikati na kusema hazisaidii kuongeza ajali.

Wewe una ubishi wa kitoto na wa kijinga. Huwezi kutegenea dereva tu aepushe ajali kama unavyodai. Ukionyeshwa watalaam wanavyofanya utafiti wa kujenga barabara kupunguza ajali unakimbilia kusema ajali ziko kila barabara. Nani alibisha?

Japan wana barabara imara kama Marekani.
Wana sheria kali barabarani kama Marekani.
Lakini watu wanaokufa Japan ni chini ya 6000 kwa MWAKA.
Marekani wanakufa 30,000.

Unajua kwa nini?

Kutumia mtandao una faida zaidi ya kuangalia ngono!
Ume-panic kiongozi tuliza akili kwanza ndo uje!
 
Tatizo Wabongo hatupendi kuelimishwa na tuna ubishi wa kijinga na hisia nyingi.

Naona elimu imekuingia, hujajibu hoja.

Wewe ndiyo uliyekurupuka na kusema hamna uhusiano baina ya ajali na barabara kama ubongo umeganda.

Au hujasema?

Nani ka- panic sasa?
 
B.W.M. hapo kachemka, marock barabara anapaka rangi nyeusi na kokoto alafu mvua kama kawa zinazoa kupeleka mabondeni.
 
sio mbaya hapo ndipo uelewa wako ulipoishia.
nyumba ya mkuu wa kituo cha polisi imeuziwa x-mkuu wa kituo. sasa inakaliwa na raia pembeni mwa kituo. halafu current mkuu wa kituo anaenda kupanga uraiani.
ama mweli wewe unaakili!

Kwani ninyi mlitaka magofu yale yamelikiwe na akina nani kama si Senior Citizen wa nchi hii?
kwanini TBA inashindwa kwenda na planned speed ya ku establish Makazi mapya ya Utumishi wa Umma?

Kama kila tenure ingelezalisha nyumba na kuwauzia watumishi wapya sidhani kama leo tungalikuwa na tunakumbuka nyumba za Muingereza za Osterbay.
 
Unajua vitu vingine bwana watu wanavyotakaga kusifia hata uelewi misingi yake.

Hivi nani asietaka kuona wazalendo wanaendesha kila kitu ndani ya Tanzania na kuiacha hela yao humu humu ndani.

Wants ni zaidi ya wishful thinking, kuwekeza wenyewe inataka mtu awe na hela ya kutosha na kwa Tanzania naona inabidi uwe tajiri uliyeshiba sio tia maji tia maji kabla ya kujitia kihere here cha kufanya biashara na serikari.

Yaani baada ya mkutano tu wakandarasi kitu cha kwanza kulalamika ni malipo ambayo yanachelewa sana na kuwaletea gharama zingine za mikopo, suppliers nao malalamiko kucheleweshewa kwa wakandarasi kunawaumiza biashara zao maana mkandarasi anakuwa hana hela kwendelea na tender nyingine na wao kukosa biashara; I am thinking the bank too zitakuwa sceptical too soon kutoa mikopo ya wakandarasi inaofanya biashara na serikari kama hii tabia aitobadilika.

Huu utaratibu ni kila sehemu iwe unatoa chakula mashuleni au unazoa taka; sidhani mzungu anayepiga hesabu ya return n time basis anaweza kufanya upuuzi na kama yupo it is only a matter of time before he is out.

In other words alichokisema bwana Mkapa is just the popular thing among the Tanzania audience for now lakini tofauti kabisa serikari kuwa committed kuwawezesha watanzania particularly watu wenye mitaji ya kubahatisha; no wonder wavuta pumzi kama hakina Manji hii biashara ya tender ndio inawatajirisha wana hela za kusubiri malipo ya miaka bila ya kuathirika kiuchumi hakiba za nguvu.

Inafika wakati tuache ushabiki na kuita kijiko kama kijiko sio koleo.
Mkuu inaelekea wewe ni muajiriwa na huna experience na hii interface ya business na Government in terms of tendered jobs.
Mkapa will go down in history as the president who led by principles.
Aliunda TRA ambayo ni business friendly.
Aliunda TANROADS na Road Fund, with The Road Fund specifically funding expansion of roads networks.
Kwa wale waliofanya kazi za TANROADS wanakumbuka wakati wa utwala wake malipo yakichukua sana sana wiki mbili, hata kama mkandarasi anadai bilioni moja!

So Mkapa is talking from experience an knowledge of the present situation.
 
Anaweza akawa anaongea na historical experience lakini vitu inaonekana haviko hivyo kwa sasa; hoja yangu sikujianzia tu mara baada ya Mh kumaliza mkutano wadau wa sector walikuwa wakilalama nje wakati wanahojiwa na wanahabari kwamba malipo ni mgogoro, suppliers nao walilalamika hivyo inawaletea wakati mgumu kwa sababu wakandarasi wengi miradi yao inasiamama kwa kukosa malipo. If you go down the chain malalamiko ayatoisha kutokana na kucheleweshewa malipo na hapo in the long run ni madhara ya sector.

By the way waziri mwenyewe alikiri kwenye mkutano huo huo kuwa ni kuna tatizo la kudaiwa na kadai serikari ya "Kikwete ina hela italipa" to quote the specif language used; how soon?

Wizara ya fedha baada ya budget ya mwaka kupitia waziri na naibu waziri wa fedha kwa nyakati mbali mbali ilidai inafanya uhakiki wa madeni kwa sababu kuna watu wanaongeza kima cha madeni ambayo sio halali. On the other hand kuna ripoti ya CAG inayobainisha upungufu wa kiutendaji uanopelekea matatizo hayo hayo; hivi inachukua miaka ku-mesh up the two to solve the problem.

Watu waache excuses wafanye biashara kama inavyotakiwa kuto athiri uchumi na ajira za watu wengi waliopo kwenye sector au waseme serikari aikupata matarajio ya budget kuweza kulipa on those lines wataweza lipa mikakati ya miradi ya mwaka ufuatao au hata hizo fursa wanazozinada zipo and are sustainable au kutaka kuwapa watanzania matatizo tu kwa kuchukua risk risk na hela zao kwa jinsi serikari inavyofanya mambo the future is bleak.

Or else some people need to be fired kama awawezi ipangia serikari matumizi sahihi.
 
Mkuu ndio maana nasema wala hujui industry ya construction inavyo work.
Mkapa alifanya kazi kubwa kui streamline ili iwe efficient.
Unayohadithia ya sasa ni kutokana na kui abuse system hiyo na ndio maana wakandarasi hawalipwi kwa vile hela badala ya kwenda kazini, watu serikalini wanaila.
 
Hoja yako hipo zaidi on intention or what was during his era and the ideal beliefs. Mkapa amekuwa champion mkubwa sana wa self development policies tangia aache uraisi which is not a bad thing. Kila mwansiasa kwa sasa anaimba nyimbo hizo hizo it is the popular thing to say and what most Tanzanians wishes for that to happen.

Lakini mkapa huyo ukimuuliza wakati anafanya privatization za mabenki na sector nyingine mbona hakuwapa wazalendo kipaumbele cha kuchukua hisa za mabenki kwanza na sehemu zingine alizofanya privatization.
Hata leo kuna wanasiasa wanalalama sehemu za kigamboni kuachiwa mwekezaji badala ya kupewa wazalendo.

Mimi naangalia katika uhalisia based on the business environment, current political and social issues, national challenges; kwenye uhalali wa hoja zao.

Uwezi kufanya vitu bila ya capital hata yeye mkapa ukimuuliza atakwambia sababu kubwa ya mabenki kununuliwa na wageni ilikuwa hakuna internal buyers, and not much has changed since then very few Tanzania can risk to participate in large industrial activities that need large sums of capital or else kungekuwa na case kubwa sana ya raisi na mawizara kila uchao kusafiri kutafuta capital investment za kuja.

Sasa basi hata hicho kidogo ambacho mtanzania anachoweza ku risk nacho kwenye safe investment za serikari malipo yanachelewa kwa muda mrefu sana ndio maana miradi ya barabara mingine imeishia nusu kati au kwenye hatua za awali kabisa. Hivi unaniambia akija mkenya au mgeni kutokana na mazingira yenyewe na hela ya kumaliza mradi kwa utaratibu wa malipo ya serikari anaweza nyimwa kweli considering watanzania wana demand barabara sehemu zao?

Ndio maana nakwambia wewe unaongea kwa what is ideal mimi nakwambia uhalisia wenyewe wanachosema ni kwa sababu tu wanajua watanzania wanataka kusikia lakini nia hakuna kutokana na facts zenyewe, jinsi serikari inavyodaiwa kwenye investment na namna zake za ulipaji unaotaka mtu kuwa very patient na watanzania wangapi kwa sasa wenye huo moyo wa kusubiri madeni ya miaka au wenye kipato cha kumaliza miradi bila kufidiwa mpaka mwisho. Vinginevyo kusingekuwa na sababu ya miradi kuishia kati sehemu nyingi either kwa sababu ya ubadhirifu au kukosa mapato the situation does not foster large social participation but rather those with enough funds to embark on this risk taking mission.
 
Back
Top Bottom