Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,367
- 95,837
CCM walikuwa na utaratibu wa kikanuni wa kura tatu mtu mmoja, je ni kwa nini Mkapa alivunja kanuni hii na kuamuru kura moja mtu mmoja?serikali ya sasa kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali iliwekwa hapo kwa nguvu ya vikundi. Na Mkapa hakuwa upande wa jk. Muulize lowassa ilikuwaje jk yuko madarakani.
Mkapa huwezi kumuondowa hata kidogo katika watu waliolifikisha hili Taifa hapa lilipo, na ni huyu Mkapa ndio aliuza kitu kwa bei chee, ukiambiwa bei waliouziwa ABSA kuinunuwa NBC unaweza ukalia, huyu Mmakonde wa msumbiji shenzi kabisa, wakati raia wanakonda yeye linanenepeana ikulu kama kiboko, jinga kabisa hili.