Mkapa ainanga serikali ya Kikwete

Mkapa ainanga serikali ya Kikwete

Mkapa alikuwa wapi mpaka tukafika hapo. Mafao anayopata nini faida yake?
 
Ni aibu taifa kuwa omba omba. Hatuna sab
abu ya kuwa omba omba wakati tuna rasilimali lukuki. Matatizo haya yote yanaletwa na uongozi mbovu wa kitaifa. Ni aibu kutetea uovu kwa kivuli cha udini. Kama tunalika taifa hili lazima tubadilike, tuache tabia ya kubebana na kuoneana aibu. Kikwete anahaki ya kubebeshwa lawama zote za matatizo haya.
Si tu kumpa lawama bali anatakiwa kujiuzulu
 
Tatizo nasisi watanzania ni wajinga sana,waliosoma na wasio soma yaleyale,tutaishia kulalamika na kuandika humu kwenye jukwaa lakini hakuna kinatakachofanyika,maana kinachofanyika ndani ya hii nchi ni sawa na kwamba watu wako usingizini,hawaelewi,hawajui wala hawatajua.Tunaomba kitu gani na mwisho mpaka tunahesabiwa kiwango na kuonekana wametuchoka,kipi ambacho TZ hatuna mpaka tuwe waombaji maarufu?na kwa nini tumegeuka matonya wa kiwango hiki?Tukisema tukatae kwa nguvu ya umma watu watasema chadema hao je kule Misri ilikuwa ni kwa msukumo wa chama cha upinzani?au hiyo ndio ilionekana ni njia pekee ya kuunganisha nguvu za wananchi na kudai haki au mabadiliko?kila kukicha watu wanadhoofishana kwa kusema eti haki haiombwi kwa maandamano ni kwa majadiliano,unategemea kupata muafaka gani kwa majadiliano na CCM?acha tuwe ombaomba lakini tutakapokuja kukataa huenda kukawa dhahabu zimeisha au almasi hakuna,na ndio maana kwa kuwa watoa hela nao wamechoka sasa wanakuja na mashariti ya ushoga.Tutafakari
 
Mkapa ni hopeless. Amesahau uhuni alioufanya ikulu. Kufanya biashara akiwa ikulu yeye na mke wake. Akae kimya asitukumbushe uhuni alioufanya yeye na Mramba.
 
Inawezekana alikua amelewa jamani
Mkapa ni hopeless. Amesahau uhuni alioufanya ikulu. Kufanya biashara akiwa ikulu yeye na mke wake. Akae kimya asitukumbushe uhuni alioufanya yeye na Mramba.
 
Mkapa ni hopeless. Amesahau uhuni alioufanya ikulu. Kufanya biashara akiwa ikulu yeye na mke wake. Akae kimya asitukumbushe uhuni alioufanya yeye na Mramba.

katika mazingira hayo bora kufanya biashara ikulu kuliko kuruhusu maamuzi ya ajabu ya kukubali ushoga kutokana na tabia ya kuombaomba
 
Baada ya maovu yote aliyotufanyia hili taifa ikiwa ni pamoja na kutuwekea serikali ya sasa, bado ana ubavu wa kuongea! Only in Tanzania.

Du mkuu naona hujataka hata kumumunya neno moja. Hongera!
 
Yawezekana sababu ya taifa hiki kuwa ombaomba ni kwa vile makao makuu yapo dodoma. Labda yahamishiwe kanda ya kaskazini
 
Tatizo nasisi watanzania ni wajinga sana,waliosoma na wasio soma yaleyale,tutaishia kulalamika na kuandika humu kwenye jukwaa lakini hakuna kinatakachofanyika,maana kinachofanyika ndani ya hii nchi ni sawa na kwamba watu wako usingizini,hawaelewi,hawajui wala hawatajua.Tunaomba kitu gani na mwisho mpaka tunahesabiwa kiwango na kuonekana wametuchoka,kipi ambacho TZ hatuna mpaka tuwe waombaji maarufu?na kwa nini tumegeuka matonya wa kiwango hiki?Tukisema tukatae kwa nguvu ya umma watu watasema chadema hao je kule Misri ilikuwa ni kwa msukumo wa chama cha upinzani?au hiyo ndio ilionekana ni njia pekee ya kuunganisha nguvu za wananchi na kudai haki au mabadiliko?kila kukicha watu wanadhoofishana kwa kusema eti haki haiombwi kwa maandamano ni kwa majadiliano,unategemea kupata muafaka gani kwa majadiliano na CCM?acha tuwe ombaomba lakini tutakapokuja kukataa huenda kukawa dhahabu zimeisha au almasi hakuna,na ndio maana kwa kuwa watoa hela nao wamechoka sasa wanakuja na mashariti ya ushoga.Tutafakari

nakuunga mkono hasa majadiliano mfano halisi madaktari majadiliano yao yamekwama
 
Kumzungumzia Huyu mswahili wa Msoga ni kupoteza muda tu, kwani udhaifu wake wa kiuongozi hata wale malaya wauza uchi pale Jolly club wanaujuwa. nchi ni kama haina Rais.

wakati mwingine napata shida kuamini kama hivi ndio wasomi wa tanzania wanavyoweza kuchangia katika hii mitandao ya kijamii,kichefuchefu kitupu,kila kukicha ni kuongelea watu tu,simple minded people they are always like this,otherwise tujikite zaidi katika issues.mkapa hakuwa na maana mnayofikiri bila kushughulisha akili zenu kwa maana ni yeye aliyetumia miaka mitano ya kwanza kuzunguka dunia nzima kuomba tusamehewe madeni yetu, na ndipo wafadhili wengi walikuja na mtazamo wa kutusamehe lakini kwa kuzielekeza kwenye maandeleo yetu wenyewe ,na ndipo miradi ya kifisadi mikubwa kabisa kuzidi hata migodi na maliasili vilifanyika,kama vile MEM,TASAF. kama ni kuwa ombaomba taifa hili halijaanza leo jana wala juzi,huyu kafundishwa na waliomtangulia.na kama watanzania hatutakuwa tayari kwanza kuvaa kaniki ili kufufua viwanda vyetu vya nguo basi hata atawale nani? kuombaomba hakutakwisha n'go.
 
Akizungumza katika mkutano wa Mkapa HIV Foundation, kasema lazima taifa hili lijiheshimu na lirudishe heshima yake kwa kutumia sera yake ya kujitegemea.

Kasema kasoma makala fulani kupitia laptop yake kuwa Tanzania ni ya tatu duniani kwa kuomba ikitanguliwa na Afghanistan na Irak.

Maoni yangu:
Kiukweli hii ni aibu kwa serikali ya 'handsome' boy kuomba hivyo. Hivi Tanzania tangu vita ya nduli hadi leo ndo imetuathiri kiasi hiki? Akina irak tunawasamehe kwa madhila waliyopitia. Tanzania umepitia madhila gani? Hii ni aibu kwa JK.

Chanzo: ITV NEWS

Tanzania ni ya kwanza kwa kuombaomba BARANI AFRIKA.
 
Baada ya maovu yote aliyotufanyia hili taifa ikiwa ni pamoja na kutuwekea serikali ya sasa, bado ana ubavu wa kuongea! Only in Tanzania.
Mkuu hapo umeongea, mkapa hawezi kukimbia dhambi yake!
 
Tusilalame, Katina haityuruhusu kumshitaki rais Wala kuhoji maamuzi yake, kanakwamba si mfanyakazi wetu! Kwani jamani. Manager anaweza kumdharau Mwana hisa wa ka kampuni, iweje raisi. awe na uwezao huo? Wana hisa si ndo wenye maamuzi ya mwisho j ya maamuziyanayohusu nchi yetu, tu aruhusa kikatiba kuandamana kupinga Haya!
 
Akizungumza katika mkutano wa Mkapa HIV Foundation, kasema lazima taifa hili lijiheshimu na lirudishe heshima yake kwa kutumia sera yake ya kujitegemea.

Kasema kasoma makala fulani kupitia laptop yake kuwa Tanzania ni ya tatu duniani kwa kuomba ikitanguliwa na Afghanistan na Irak.

Maoni yangu:
Kiukweli hii ni aibu kwa serikali ya 'handsome' boy kuomba hivyo. Hivi Tanzania tangu vita ya nduli hadi leo ndo imetuathiri kiasi hiki? Akina irak tunawasamehe kwa madhila waliyopitia. Tanzania umepitia madhila gani? Hii ni aibu kwa JK.

Chanzo: ITV NEWS

Kauza Mashirika ya Mwalimu, Kalundika pesa BoT akasema uchumi umekuwa. Huyu, ametutia umaskini ambao tutakuja shtuka badae sana. Nakumbuka nilishiriki kufunga mitambo ceramics tile pale morogoro, mipya, haipo kabisa pale. Kaleta wawekezaji bomu. Namwachia Vicent Nyerere amalizie. kuna watu hawa, wa mgodi wa kiwira, wanatakiwa kukaa kimya kabisa, tena sehemu yenye temperature ya chini.
 
Back
Top Bottom