Hayo ni matarajio yako kwa uoga unaokutawala. Huyu kashindwa kwa yake, hayo ya ajaye huo ni utabiri tu. Hii nchi akipatikana mtu mwenye akili haistahili kuombaomba. Tunachotakiwa kufanya ni kumuomba Mungu awafumbue macho nyinyi mnaopigia kura chama kwa mazoea na woga wa vita. Zile NET za mbu ndio zitatuponza tushikishwe ukuta kama hujui
Itakuwa hivyo labda wananchi (tena dunia nzima) mkatae kutumia paper money..
Lakini kama tunaendelea na paper money hakuna kitu mchele utakuwa tsh.6000
mara ya mwisho nakumbuka wakati mkapa walifanya sherehe kwa kufaulu kuomba na kusamehewe, kukopesheka..etc
Sawa bana tutashukuru tukipata kiongozi wa namna hiyo..