Mkapa above the law?: Allegations

why dont you take action then ?? au ndio unafuga kidonda ?
You might as well call me fisadi na hautokuwa wa kwanza, nadhani neno fisadi limepoteza maana yake these days !

Ndio maana nawaita kwa majina yenu - MAFISADI ili kuwaaibisha na hizo pesa zenu za wizi mnazopewa na wezi na mafisadi wa CCM.
 
Ndio maana nawaita kwa majina yenu - MAFISADI ili kuwaaibisha na hizo pesa zenu za wizi mnazopewa na wezi na mafisadi wa CCM.

paint me fisadi yakhe ! and am proud ! tatizo sio kuitwa fisadi, tatizo ni huo mkumbo wa kila mtu kuitwa fisadi. na nadhani hili ni gonjwa wabongo kuiga iga, tutaiga hata visivyopaswa kuigwa !
 
Mkapa is one good example of how Nyerere was sometimes wrong in major decission making!

i think the best way to defend Nyerere hapa ni kwamba he never claimed to be a messiah. He even admitted kwamba walifanya na watafanya makosa ! POINT BLANK !

Ni kiongozi gani unayeweza kusema hajafanya makosa ? Name one kiongozi duniani whether historical or modern times history !
 

Nilishasema hakuna nchi rahisi kutawala kama Tanzania.....tutazidi kunung'unika tu lakini bado CCM (chama cha mbebano)kitaendelea kushika hatamu.

ACTION IS NEEDED NOW
 
Wewe ni nani kuamua hili? fisadi tu lini ukawa na uamuzi mzuri hapa JF?

ni kitu kinachoonekana. unataka niweke common sense pembeni nini ?
hivi wewe unashindana na mimi au ? maana sijajua bado !
 
Kubenea aka Mr. Sugu! If only our country had at least ten journalists like him....
 

Yah! Hii sasa ndio tunataka maana unaambiwa wakimwaga Mboga wewe unamwaga Ugali halafu unaukanyaga. Wamejidai kupoteza ushahidi sasa tunaingi front. Stay tuned more to come.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…