Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,261
- 144,357
Nakuambia nimeshanunua uniform mpya na nimekata bonge la kitop kwa my kid sisterz....... ninawasiliana na jamaa wa Bose wanitengenezee audio system ya nguvu ili nikiweka souja boy .... jiji la Dar lizizime!
Just watch this space for updates!
Ahahahahahahahahaaaa.....that's why you are my favorite people!!!!
wewe acha tu.... baada ya hapo tunahamia viwanja vya jangwani na kucheza...... I work it out... tccha... I work it out... I work it out.... mpaka fisadi akimbie jiji......
utakimbia wewe na kumuacha che nkapa anadunda na kundi lake la ufisadi boys.wakiwa wanaporomosha kile kibao chao ambacho kimeshika chati cha "tume ufisadi"
Funika kombe shetani apite...Ataweza huyo... ule mwili wenyewe tu umejaa ufisadi inside out... akijaribu kucheza tu anaanguka kwa Presha hadi anachoka...... lol
Ataweza huyo... ule mwili wenyewe tu umejaa ufisadi inside out... akijaribu kucheza tu anaanguka kwa Presha hadi anachoka...... lol
labda kwa vile balali kafa lakini ungekiona cha mkatakuni
sasa hizo fujo ! na nafurahi sana kuona watz tunapoweka common sense pembeni na kushika mirija ya uchizi na kufanya maamuzi. sitoshangaa kama watu watakamatwa kwa kufanya fujo then tutaanza kulalamika ovyo !
Kada,
Kukamatwa hakutaanza leo! Wapemba wanakamatwa kila siku zanzibar na life inaendelea kama kawaida pale magogoni kama vile hakuna kinachoendelea
nimekuelewa. Usitumie arguments ambazo ni kweli serikali ilikiuka kukava ujinga kama huo wa kufanya fujo ili ionekane kama watu wanaonewa. Huo ni UCHOCHEZI na tena haupaswi kuigwa na ni SIFA MBAYA !
Ukiendelea kutetea ujinga kama huo, basi nitajua nini nia yako na hiyo itasababisha mifarakano ndani ya nchi na kutoleta maendeleo.
Kumbuka, fujo hazichangii bali zinabomoa. Kama unaona kufanya fujo ndio chachu ya maendeleo, plz peleka hizo fujo kwingine !
Kada,
kama kuzomea ni fujo, basi kushangilia pia ni fujo..... kiongozi yeyote wa kisiasa anayetegemea kushangiliwa akifanya vizuri, basi atazomewa tu akifanya vibaya. Ndiyo demokrasia hiyo kama hukujua hili.
Niite utakavyoniita ila Mkapa akionekana sehemu yoyote ile ni kuzomewa tu!
ahh ok ! basi naweza kusema darasa limekupiga chenga ! and i vow not to debate with you that much !
nilidhani utakuwa unajua kitu kinachoitwa "substantial disruption".. anyway. i cant argue with you no more.
eti kama kuzomea ni fujo basi kushangilia ni fujo yaani hayo ni mawazo ya ABUNUWASI ! (kwa hiyo kucheka na kulia kote ni sawa kwa kuwa unatoa sauti eeh ??)
Sasa naelewa why your arguments are based on UCHOCHEZI !
why use a word if i dont know the word ?
i simply rest my case !
you simply didnt know what i was talking about, kazi ku-act unajua !
utakapojua substantial disruption nadhani utaacha huo uchochezi wako !