...Butiku alikuwa na tabia moja nzuri sana akiwa kwenye power, nayo ni kusaidia watu wengi mahali pa kukaa, nyumba yake siku zote ilikuwa imejaa watu, mmoja wapo alikuwa Museveni, maisha yake yote Dar, mpaka akiwa anasoma Mlimani, alikuwa akikaa kwa Butiku na hata kusaidiwa hela na mahitaji yake yote na Butiku, Museveni ndiye peke yake anayemhifadhi sasa hivi ama sivyo Butiku, angeshakuwa kichekesho mjini...
Huenda kwa sasa [Luhigo, Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa THA] physically amechoka kwa umri, sasa subiri huko mbele ya haki ndio utaelewa nani kati ya mkapa na huyu Luhigo atakayekuwa amechoka kwenye kila kiungo cha mwili, maana huko mkapa atapewa mihela yenye moto aibebe kichwani yeye si greedy na mingine aitafune huku ikiwa inawaka moto!
Bravo Mzee Luhigo, wazee hebu mtafuteni mawasiliano yake tuweze kujua anvyoendelea na ikiwezekana kumsaidia kwa chochote maana viongozi kama yeye ni adimu sana Tanzania!
Nyerere... siku zote alikuwa akimdharau sana Butiku, kiasi kwamba asingeweza kumsikilza...
Kwa wanafunzi wa Nyerere, details za closest deputy wa Rais tumezifuatilia. Na sio rahisi 'kumiliki' facts kuhusu mtu kama Butiku. Kwa mfano, maisha pale kwa Butiku sio kweli kama picha uliyo ileta. Nyumba ya Butiku haiku jaa watu zaidi ya familia ya kawaida ya Kitanzania ambapo tuna familia kubwa zaidi ya Baba na Mama na watoto. Tena kwa kipindi kirefu kwa Butiku kulikuwa empty kwa sababu mji ulikuwa hauja kamilika. Mke wake na mtoto walitimua. Mke mwingine nae baadae wakatimuana kabla familia haijawa kubwa. Mara nyingi pale palikuwa empty. OK?
Kwa hiyo, tutakapo kuja kujadili hili la Nyerere kumdharau Butiku kumbuka humiliki hizi facts peke yako.
Na kwamba japo mambo binafsi yanayo zunguka maisha ya Rais hakuna anae yajali Bongo kwa sababu aidha Wanahistoria wapo kama hawapo, au kwa sababu 'mwanamme mzima huwezi kuuliza mwanamme mwenzako Kikwete ana watoto wangapi' na 'kujua nani mke wa Kawawa hakuleti maji Kigoma' bado tupo wanafunzi wa Historia tunao fuatilia maisha ya hawa viongozi wetu.
Kwa wanafunzi wa Nyerere, details za closest deputy wa Rais tumezifuatilia. Na sio rahisi 'kumiliki' facts kuhusu mtu kama Butiku. Kwa mfano, maisha pale kwa Butiku sio kweli kama picha uliyo ileta. Nyumba ya Butiku haiku jaa watu zaidi ya familia ya kawaida ya Kitanzania ambapo tuna familia kubwa zaidi ya Baba na Mama na watoto.
Tena kwa kipindi kirefu kwa Butiku kulikuwa empty kwa sababu mji ulikuwa hauja kamilika. Mke wake na mtoto walitimua. Mke mwingine nae baadae wakatimuana kabla familia haijawa kubwa. Mara nyingi pale palikuwa empty. OK?
Si Kweli Kuwa Mkapa Alitaka 3rd Term Mkuu Wa Medani,hapo Umeleta Jipya Ktk Agenda Unayoifahamu Wewe Mwenyewe. Tumuulize Jenerali Ngwilizi Au Mark Mwenyewe Utaufahamu Ukweli Mkuu.
Mkapa Alimtuma Dr.omary Kumpiga Chini Salmini 2000 Akiwa Mwanza Alipothubutu Kuwaonya Wakuu Waondoke Madarakani Bado Wakiwa Wana Nuru Wasisubiri Kupigwa Mawe, Mwinyi Akaenda Zenj Kumalizia Kazi Ambayo Ben Alimpa Dkt.omary,
unakumbuka Askari Wa Miavuli? Nakukumbusha Tena Akiwa Ikulu Bustanini Baada Ya Kuapishwa 2000 Aliulizwa Na Mwandishi Yule Tvt Je Anafikiria Kujiongezea Muda Madarakani Baada Ya 2005,na Alilijibu Hilo Kwa Uso Mkakamavu Kamwe Haitotokea Kwangu,nitajikita Na Uandishi Na Mambo Ya Nje Ya Nchi Hii,sasa Haya Aliyatamka Kabla Hajateua Waziri Mkuu Wala Baraza Jipya Lake Alilobatiza Siku Hiyohiyo Jina Askari Wa Miavuli.
Nahofia Kuhoji Sana Ktk Hili Ila Ni Vema Mkuu Na Sisi Tutambue Kuwa Mark Hakuwa Waziri Kabla Ya Mahojiano Ya Mkapa Na Tvt Yaliyozaa Askari Wa Miavuli,frederick Hakuwa Na Uhakika Na U-pm Wake Na Ninyi Ndio Mliotabiri Kuwa Mark Ndiye.
Aliyemtaka Mkapa Aendelee Kuwa Rais Baada Ya 2005 Anapatikana Ktk Hansard Za Bunge La Mzee Wa Ukerewe,rejea Kumbukumbu Hizo Na Si Vinginevyo. Baraza Limenoga Kwa Soga
Ninaposema humiliki facts nina maana kuna vitu unavisema kana kwamba ni siri unazozijua wewe mwenyewe na hivyo unazipinda unavyo taka.
wakati hapo hapo uli purport kuwakemea wanao dhihaki watu waadilifu kwamba wamechoka. Hiyo contradiction hujaieleza umeanza kuwakia vitu vingine.
FMES;
Kwanza nashukuru hatimaye kunifahamisha hakuna anaye-own facts hapa. Unaporudia kitu kwa mtu aliye kutamkia hicho kitu maana yake umeanza kukielewa. Naona tunaanza kusogea mbele taratibu. Well get around the innuendos, the few-letter words and all the jazz. Well get there! Facts ambazo nasema huzimiliki, kwa hiyo huwezi kuzipinda ni kama hizi: "Kuchoka kwa Butiku ni sawa kwa sababu hakuwa msafi, huko Nyerere Foundation amefanya mangapi ya faulo na hela? Akiwa Ikulu amefanya mengi sana ya ufisadi na kwenye hilo sijawahi kuficha." Hilo wewe hujawahi kuficha? Ha ha ha haaaa. You didnt get it all, did you? Unaongea kana kwamba uko entitled to these bent facts. Wewe una uhakika gani na hilo? Una access gani ya hizo data ambazo wengine hawana? Yani nacheka ile mbaya.
Kuhusu mimi kuchekesha hapa JF najivunia uhuru unaoniwezesha kuto taka kukumbatiwa wala kukumbatia lolote bila kulipima mwenyewe. Nataka uhuru wa fikra, kwa sababu nimeapa mbele ya madhabahu ya Mwenye Enzi Mungu kupigana na kila aina ya unduli dhidi ya mawazo ya Bin Adam. Kwa hiyo, unapo niita nina mawazo finyu, hilo kwangu mara nyingi ni dhihirisho, ni vindication, ya kwamba niko njia sahihi, kwamba kuna uchache wa mawazo kama yangu kwa hiyo labda ni mawazo asili. Ki ufupi ndio hiyo falsafa inayonifanya niswalishe lolote, la yeyote, ninalo liona limepinda. Wewe hujazoea kupingwa, inaonekana, na unadhani nakutafuta.
Hilo la deputy wa Nyerere kufanya ufisadi Ikulu nalikataa kata kata bila wewe ku substantiate. Na kithibitisho ambacho naki foreclose kabla hujahangaika kukileta ni kwamba wewe unajua kwa sababu wewe ni FMES, na umefika Butiama na ukaingia na kutoka kwa the Mugandas toka siku za utoto wao.
La mwisho, nimesema si vibaya, na una unayo haki - tena labda wajibu wa kuni characterize unavyotaka, lakini kumbuka ukisema kuwavuta those wenye akili finyu kama zako unatukana wasio husika. Sio vizuri kutukana watu ki jumla jumla hivyo. Ahsante.
Nina mashaka makubwa sana kama taarifa hizi ni za kweli.
Kuna haja ya wana JF kuwa na utaratibu wa kufuatilia taarifa mbali mbali zinazoletwa humu ndani kabla ya kuanza kuzichangia.
Nina mashaka makubwa sana kama taarifa hizi ni za kweli.
...ndani ya hii forum kuna ndugu wa kweli wa Butiku, pamoja na Mwalimu mwenyewe, na wametulia kimyaa na wanasoma kila kitu, Zanaki angebisha hizi dataz ningeeelewa maana yeye ndie hasa wa huko ndani,
FMES,... Zanaki angebisha hizi dataz ningeeelewa maana yeye ndie hasa wa huko ndani,
Quote: Kuhani Mkuu
Hilo la deputy wa Nyerere kufanya ufisadi Ikulu nalikataa kata kata bila wewe ku substantiate. Na kithibitisho ambacho naki foreclose kabla hujahangaika kukileta ni kwamba wewe unajua kwa sababu wewe ni FMES, na umefika Butiama na ukaingia na kutoka kwa the Mugandas toka siku za utoto wao.
Quote:- FMES
Unajua ninarudia kuwa akili zako ni finyu sana, toka BCS niemsema mara nyingi sana jinsi Butiku,alivyoshirki sana kwenye kuifilisi Gapex, kwa kumtumia rafiki yake Nyakyoma, na nikasema hata jinsi muandishi mmoja wa habari ambaye alikuwa akiandika sana kuhusu ukweli wa Butiku na Gapex, jinsi Butiku alivyomahimishia ubalozi wetu London, sasa wewe hukuwepo kwenye hizi forum, na sina mpango wa kurudia habari hizo kial wakati maana kuna mengi sana sasa ya mafisadi, yes mimi ni Field Marshall Super Emergency System, ninaweka ishu facts pamoja na dataz tena very clear, zako ziko wapi mkuu?
Hebu tueleze ni kwa nini Warioba alishindwa kule Nyerere Foundation, kama sio Butiku kutotaka kuingiliwa kwenye ulaji? Acha filimbi mkuu kama huna hoja!