Kama kawaida Yao Chadema wamekuwa wakirukia mambo ya CCM,ila kwa suala la List of Shame wao ndio walionlianzisha.............
NINGEPENDA KUWAKUMBUSHA WAKULU HAO KUWA THE BASIC SOCIAL UNIT/ENTITY NI MOYO,MEANING PSYCHOLOGICAL MOYO AND ANATOMICAL ONE,HIVI BASICALLY BINADAMU WOTE WENYE PSYCHOLOGICAL STATUS SAWA WANAFANA BILA KUJALI VYEO,MALI,KUJULIKANA N.K INGAWA HIVYO VYOTE HUWA VINACHANGIA HEALTH PSYCHOLOGY IWAPO VITATUMIKA KWA UADILIFU.
HIVYO KUTOKUWA MWADILIFU KATIKA KUTUMIA STATUS ULIYOKUWA NAYO YAPELEKEA ILL-PSYCHOLOGY,NA NDIO MAANA NI RAHISI KUMKATA MUOVU KWA SABABU ILL-PSYCHOLOGY YAPELEKEA RESTLESS.
NAWASHAURI TU NYIE MAFISADI-CHENGE,MKAPA,ANNA MKAPA,YONA ......BORA MUREJESHE PEACE OF MIND KWA KUKIRI MAKOSA NA KUREKEBISHA ACCORDINGLY....KILA MWANADAMU ANA MAKOSA,NYIE YA KWENU NI KU ABUSE TAIFA LA WATU 40MIL,BASI REJESHENI HIZO HAKI ZETU,ILI MUPATE HEALTH-PSYCHOLOGY ,MUSIJE MUKAANZA KUROPOKAROPOKA HADHARANI TENA PASIPOSTAHIKI KAMA YULE MWENZENU EL,MUKAPATA KI SUGAR,HEART ATTACK .....et al.
NI MTIZAMO TUUU.manouver
Ya Ben, Anna, Yona na wengine yameshaandikwa sana na media na pia kunachozungumzwa hapa si chama cha siasa. La msingi ni kupata mtu mwenye ujasiri wa kulianzisha goma na wengine wajiunge wacheze. Naamini watu wengi sana wanayajua ya BWM na wnzake, ila wenye ujasiri wa kusimama bungeni (kulianza goma) si wengi. Huyu mheshimiwa amethubutu na huenda ikawa mwanzo wa BWM kulazimishwa kuongea na pia kuchukuliwa hatua stahiki.
Mkapa na wenziwe warudishe migodi hiyo haraka sana, na wakamatwe haraka iwezekanavyo na kurundikwa Keko, bila dhamana ili mkondo wa sheria za wananchi uweze kufanya kazi yake!
Kwenye hili hakuna mjadala, sheria imevunjwa ni lazima ilipiwe!
kwani Mkapa wameshamtolea kinga ya kutomshtaki??hii ndiyo maana hana muda wa kujitetea,na kanuni mpya bunge ndio baso tena,tusahau kabisa mzee mkapa kutiwa nguvuni.
tukomae na hawa mapapa ambao wanaakamatika kwanza!
That is what i have been saying always.zitto it is my hope you still online,this is is good idea to initiate before you go for presidntial position..Ndo maana nasema wapinzani waachane na kugombea uraisi, mapinduzi ya kweli tutayapata bungeni, wapinzani wangekuwa na majority wangeweza kumvua kinga mwizi wetu tukamshitaki na kumyanganya kila kitu alichonacho.
Ndo maana nasema wapinzani waachane na kugombea uraisi, mapinduzi ya kweli tutayapata bungeni, wapinzani wangekuwa na majority wangeweza kumvua kinga mwizi wetu tukamshitaki na kumyanganya kila kitu alichonacho.
Wapinzani wanachukua Hoja na kuzifanya zao kwasababu zikiletwa na wanaCCM baadae wanakumbushwa ibara ya 15:1 ya katiba ya CCM, inabidi wafunge mdomo, then wapinzani wanaanzia hapo, i dont see any problem with this. Huyu ndugu kimaro ninajua mpaka sasa ameshaelezwa akasome ibara ya 15:1 na spika na anaweza asijaribu tena katika kipindi cha ubunge chake kulisemea tena hili swala, kwa hali hiyo tunahitaji watu wa kupick hiyo hoja na kuiweka sehemu yake.
Serikali ya kikwete inahitaji kurudisha kiwira mikononi mwa serikali maana watu wenyewe hata kulipa hawajalipa, na sheria ya PPRA haikufuatwa then we are on the right move kurudisha kiwira.
Tukipata mkataba kati ya serikali na kampuni ya mkapa tunaweza kwa kusaidiana na wanasheria kujadili vizuri zaidi with confidance na kuishauri serikali kitu cha kufanya, ambaye anaweza kupata tafadhali tuwekee.
Siku zote nawaambia Changes lazima zitatokea ndani ya CCM na sio huko kwenu wapinzani. Kwani wengi wa wapinzani (sio wote) ni CCM au waganga njaa!