Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,139
- 88,800
Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni.
Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana.
Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali sana sana sana mida ya asubuhi na jioni, na yote ni kwasababu ya uzembe wa huyo mkandarasi na timu yake.
Mamlaka husika hebu tuoneeni huruma wakazi wa Kimara, kama mnajali.