Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
- Thread starter
- #21
Kwikwikwikwi lori la sprite
-tosha kwa leo
Ila hizo soda hautopewa bure, unatakiwa ununuzi mwema, zisubiri kwani ni siku ya jua kali pia! Teeeh....
Kwikwikwikwi lori la sprite
-tosha kwa leo
Mchungaji: Halleluiah x3
Mkalimani: Mtakula Halua x3
Mchungaji: My name is Doctor Livingstone
Mkalimani: Jina langu ni Mganga Anayeishi kwenye jiwe
Mchungaji: I am coming from Johannesburg
Mkalimani: Ninatoka katika mfuko wa Yohana
Mchungaji: I am a Preacher
Mkalimani: Mimi ni Mchicha
Mchungaji: You know, today is Sunday
Mkalimani: Mnafahamu, leo ni siku ya Jua Kali
Mchungaji: And I want to give you a story
Mkalimani: Na ninataka kuwapa Mtori
Mchungaji: Jesus is a Messiah x3
Mkalimani: Yesu ni Mmasai x3
Mchungaji: Jesus is about to come back
Mkalimani: Yesu anakaribia kuja nyuma
Mchungaji: And He is coming with the Holly Spirit x3
Mkalimani: Na anakuja na Lori la SPRITE x3
Mchungaji: Thank you and GOODBYE!
Mkalimani: Asante na UNUNUZI MWEMA!
watakao cheka sana ni wale wenye imani nyingine tofauti na ukristo. Au hata kama ni mkristo aliyecheka basi hajui biblia au hayuko vizuri katika Neno la Mungu; he/she ain't taking much time meditating the word of God. That's the truth and am standing on it. Tchao!
Mbona hata aliyetoa kichekesho ni MKRISTO (I hope Wilbert is a Christian)? Being a Christian has nothing to do with THAT joke, imani iko moyoni sio kila mtu ajue ww ni dini gani mkuu! Mbona watu mnapenda kukimbilia kwny UDINI, UKABILA n.k? JF ni kwaajili ya Great Thinkers, think again before you write it!
Mchungaji: And He is coming with the Holly Spirit x3
Mkalimani: Na anakuja na Lori la SPRITE x3
hii kali nimecheka hadi mkuu wa kazi kanishtukia nipo JF
Haichekeshi
Haichekeshi
hahahaha! Ktk lori la sprite na mm anijie nayo ya kwngu. Hlf kumbe yesu ni mmasai?
kuwa na Respect na Iman za watu ewe Mb\/\/a