Mkalimani wa mahubiri ya kizungu…

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Mchungaji: Halleluiah x3
Mkalimani: Mtakula Halua x3
Mchungaji: My name is Doctor Livingstone
Mkalimani: Jina langu ni Mganga Anayeishi kwenye jiwe
Mchungaji: I am coming from Johannesburg
Mkalimani: Ninatoka katika mfuko wa Yohana
Mchungaji: I am a Preacher
Mkalimani: Mimi ni Mchicha
Mchungaji: You know, today is Sunday
Mkalimani: Mnafahamu, leo ni siku ya Jua Kali
Mchungaji: And I want to give you a story
Mkalimani: Na ninataka kuwapa Mtori
Mchungaji: Jesus is a Messiah x3
Mkalimani: Yesu ni Mmasai x3
Mchungaji: Jesus is about to come back
Mkalimani: Yesu anakaribia kuja nyuma
Mchungaji: And He is coming with the Holly Spirit x3
Mkalimani: Na anakuja na Lori la SPRITE x3
Mchungaji: Thank you and GOODBYE!
Mkalimani: Asante na UNUNUZI MWEMA!
 
Inachekesha vya kutosha! Ucheshi mwingi wa joke hii unatoka kwenye matamshi ya maneno ya kiingereza na ulinganifu wake kwenye lugha ya kiswahili.eg. Jesus is a messiah = Yesu ni mmasai. Pia ufahamu mdogo wa lugha alokuwa nao mkalimani pia ulichangia sana kuleta ucheshi.Asante mleta thread, umenifurahisha vya kutosha.
 
Asante Mkuu,
Mwambie na Senator alewe hili.
Kwani mpaka Xellent ameikubali hii lazima iwemo kenye top ten.
Mtu akishindwa kufurahishwa na hii lazima angaliwe vizuri ufahamu wake?:eyebrows:
 
Mchungaji: And He is coming with the Holly Spirit x3
Mkalimani: Na anakuja na Lori la SPRITE x3

hii kali nimecheka hadi mkuu wa kazi kanishtukia nipo JF
 
Usimhukumu sana Senetor dear Wilbert1974. Unaweza ukawaambia watu unapenda sana kula samaki kwa sababu samaki ni watamu mno. Wawili wa watu hao waweza kupata kichefuchefu na kutapika kukusikia kuwa unakula samaki!
Wanadamu tunatofautiana sana kihisia na ishi kwa kujua hilo siku zote.
 
Pole sana! ila kumbuka ulikuwa unaongeza siku zako kuishi...
Mchungaji: And He is coming with the Holly Spirit x3
Mkalimani: Na anakuja na Lori la SPRITE x3

hii kali nimecheka hadi mkuu wa kazi kanishtukia nipo JF
 
Usimhukumu sana Senetor dear Wilbert1974. Unaweza ukawaambia watu unapenda sana kula samaki kwa sababu samaki ni watamu mno. Wawili wa watu hao waweza kupata kichefuchefu na kutapika kukusikia kuwa unakula samaki!
Wanadamu tunatofautiana sana kihisia na ishi kwa kujua hilo siku zote.
HAPO HYGEIA NIMEKUELEWA MKUU...
 
mbavu zangu jamani aaah kwi kwi kwi kwi kwiii uuuh ha ha ha haa haokoki mtu hapo zaidi ya kusubiri lori la sprite
 
Back
Top Bottom